majini

  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanamiliki majini bila kificho na kuyatumia kwenye tiba sambamba na visomo vya Quran takatifu. Huu sio ushirikina?

    Ushirikina sio kutumia uchawi pekee, hata unapomshirikisha Mwenyezi Mungu na majini huo nao ni ushirikina. Mkasa huu niliweza kuushuhudia live kwa macho yangu 2019, Mgonjwa alipona maradhi yake lakini hadi leo najiuliza ilikuwa sahihi kwa Sheikh / Ustadh kuyatumia majini sambamba na kuitumia...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi Wanawake wa Kilokole tunapowatongozeni na mnasema tusubiri Muongee na Mungu sisi huwa ni Majini au?

    Mnakera sana na ndiyo Wengine hivi sasa tumeamua Kubobea kununua ( Migoma ) tu kwani huwa hawana Usumbufu wala Mbambamba kama mlivyo Wanafiki na Wapuuzi nyie. Na kwa huu Upuuzi wenu mtaendelea Kuhangaika kupata Waume wa Kuwaoa kwa Kuzunguka kama Inzi wa Chooni katika Makanisa yote ya Kilokole...
  3. McCord

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya wavuvi wanatumia vyandarua kuvulia samaki, huu sio uhujumu wa maisha ya viumbe vya majini?

    Uvuvi kwa kutumia vyandarua vya kuzuia mbu unasababisha hata wale samaki wadogo ambao walikuwa na muda wa kukua kuvuliwa na mwisho wa siku idadi ya samaki inapungua. Serikali isimamie uvuvi huu wa holela na kuhakikisha unahitimishwa.
  4. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Diamond atakiwa kuchagua dini kati ya Uislam au Ukristo

    Kufuatia kitendo cha Diamond kusoma neno kwenye moja ya mstari katika Biblia siku ya jana Mlimani City kwenye Mtoko wa Pasaka. Sheikh Shariff Majini amemtaka Diamond aamue moja, kubaki kwenye Uislamu aachane na kufuru ya kujichanganya na Wakristo au aende kwenye Ukristo. Ambapo sheikh amesema...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Jeshi la Polisi limeshindwa kushughulika na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' katika 'Fukwe' za Dar?

    Hivi IGP Sirro na Watendaji wako umeshindwa kweli 'Kukabiliana' na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' huku katika 'Fukwe' za Bahari ya Hindi ambao tabia yao ya Kujifanya Wanawafundisha Mabinti / Wanawake 'Kuogelea' kisha wanawapeleka Maji Marefu na Kuwatishia 'Kuwazamisha' kufanya nao Ngono...
  6. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati wanawake mkipaka hizo make-up zenu mnakuwa kama majini

    Unakuta binti mrembo kabisa kaajaliwa ngozi nzuri kabisa, sijui ni nini huwa kinawawasha mpaka wajione wao sio warembo hadi wapake haya mimi nayaitaga majivu. Kuna siku nimemwambia wife jiandae nataka tutoke kidogo, masaa zaidi ya mawili anajipodoa tu mimekaa namsubiri siakatoka chumbani sasa...
  7. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Wana Songea, mbona mji wenu haukui? Tatizo ni nini?

    heshima kwenu Wana JF wote Nipo Songea kwa matembezi kidogo,nimekuja kwa ajiri ya mazao kipindi hichChcha maharage,na wilaya hii nishawahi kuishi Sana miaka hiyo mzee alikuwa anafanya kazi hapa Songea. Kwa kiasi chake Songea imebadirika lakini sio Sana ni baadhi ya maeneo. hasa pale mjini...
  8. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Pesa za majini

    Twende kazi, Songea Ilikuwa mwaka 2011 majira ya saa Tisa mchana nikiwa na rafiki yangu mudy watoto wa wanajeshi tukiwa tunatoka tution....tution tulikuwa tunasoma mtaa wa pili kutoka mtaa wa home kwa wenyeji wa Songea Kuna sehemu moja inaitwa mfaranyaki. Ilikuwa inatulazimu kupita baadhi ya...
  9. tecknologia23

    JamiiForums Tanzania Wajemeni natafuta shekhe anayejua kutoa majini

    Mimi nipo Moshi natafuta shekhe anayejua kutoa majini sifa yake awe mtu mzima makamu anayejiheshimu kabisa na anayejua kazi yake. Naombeni msaada ni waharaka
  10. B

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kuchomeka milele kwenye ziwa la moto, mbona naona ni kubwa sana kuliko? Majini mliopo humu mnaionaje?

    Najiuliza sana hili fundisho lililopo Kwenye uislamu na ukristo la wenye dhambi kuchomwa milele kwenye moto wa jehanum, logically haliingii akilini. Kwasababu 1)Mungu anajua kila kitu, kama kabla ya kutuumba alijua kuwa baadhi ya binadamu na viumbe ntakaoumba wataniasi na ntawapeleka kwenye...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Serikali kama mmeweza ku-mobilize Pesa ya kumpa zawadi muokoaji Majaliwa ikapatikana, kwanini msifanye ya kununua Vifaa vya Uokoaji Majini?

    Hongereni sana Serikali ya Tanzania (chini ya CCM) kwa kupata Credits kwa Watanzania wengi (japo siyo Wote) walio Goi Goi (Mazuzu) kwa Kitendo chenu Watendaji Wakuu (hasa Premier Majaliwa na RC Chalamila) cha kufanya Mobilization ya Kufa Mtu mpaka Pesa za Kumzawadia Muokoaji Majaliwa...
  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Huu hapa ukweli kuhusu majini (eneo ambalo wanapatikana kwa wingi jijini Dar es Salaam)

    Katika ulimwengu wa roho, Dar es salaam ni jiji ambalo wanaishi binadamu na majini. Majini ni nini? In my personal opinion which is based upon my personal understanding of the spiritual world, majini ni viumbe ambao kwa ujumla wao wapo more advanced in technology kuliko binadamu kwa ujumla...
  13. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Majini yanayoongoza kula pesa za wanawake nchi za dunia ya tatu

    Hawa ni majini, na kama tujuavyo majini kazi yao ni kuharibu na kupotosha. Hamna nyingine. 1. Waganga 2. Manabii wa uongo. 3. Saluni/Urembo na mavazi. Hawa ndiyo kwa kiasi kikubwa wanakula sana pesa za wanawake. Yaani nyumbani inawezekana kabisa ukawa huna pesa hata kidogo na mke anafanya kazi...
  14. LaRosa

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kutolewa majini/Mashetwani

    Katika maisha yangu sijawahi kuona mtu amepona na kutolewa majini akiwa fresha and comfortable na kupona kabisa na majini yasirudi tena. Nimeona tu Kuna Namna nyingi za kutoa majini na Mashetwani.. mosi ni kwa maombi ya wachungaji au manabii wa makanisa nimeona kwenye TV wakiwashika watu na...
  15. Funa the Wild

    JamiiForums Tanzania Maktaba ya Utalii

    Utalii wa Majini Miongoni mwa maeneo ambayo utaweza kufanya utalii wa majini na nchi kavu basi hifadhi ya taifa Saadan ni miongoni mwa hifadhi ambayo inaweza kukupatia utalii wa aina iyo. Hifadhi hii ipo mkoa wa Tanga nchini Tanzania. Ni hifadhi ambayo utafahamu mambo mbali mbali yanayohusiana...
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ona Majibu ya fumbo la "Ufanye nini upo mtini kuna nyoka, majini kuna mamba na nchi kavu kuna simba"

    Mwamba amejitahidi kufikiria. Nilicho muelewa huyu mwamba ni kwamba " Always use ur problem as a solution to ur problem". Ukipatwa na tatizo zaidi ya moja kwa wakati mmoja chagua tatizo moja Kati yao na ulitumie ku solve matatizo mengine. Uzi umekamilika now unaweza toa maoni yako 1...
  17. Poker

    JamiiForums Tanzania Majini yanampanda kichwani kila tukiwa katikati ya mizagumuano!

    Habari za jioni wanajamii wote natumai mu wazima wa afya tele! Nakwawale ambao sio wazima wa afya MUNGU awajaalie mrejee katika afya zenu haraka! Nina mpenzi wangu tuko naye kwenye mahusiano huu mwaka wa 2, ila shida kila tukiwa tunazagamuana majini yanampanda kichwani na mara aanze kunikaba...
  18. Mzee Saliboko

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu Majini na Mapenzi...

    Tumeona watu wanaoana au wanatafuta majini kuwa wake/waume/wachumba zao. Hoja yangu kubwa ipo kwenye tendo la ndoa. Je, majini nayo huwa yanahisi utamu au raha kufanya mapenzi na binadamu? au yanamridhisha tu binadamu? Sina mpango nayo ila nayatafuta maarifa. Ahsante
  19. Saidi gawa

    JamiiForums Tanzania Mabaharia wana umuhimu gani katika uokozi na usalama majini?

    Wakuu habari zenu. Hivi mabaharia wana umuhimu gani katika suala la uokozi na usalama majini?
  20. Liutenant

    JamiiForums Tanzania Kiranga anatoa sadaka na anaamini stori za majini lakini haamini uwepo wa Mungu

    Msome hapa chini cc Kiranga
Back
Top Bottom