badison
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 1,450
- 2,702
Naomba ufafanuzi juu ya dini ya kiisilamu kabla sijachukua hatua ambayo nataka kuichukua. Wanasema uislamu ni dini ya haki na pia muislamu ndugu yake ni muislamu. Kuna majini waislamu ambao ni "majini wazuri " na kuna majini makafiri.
Swali langu ni moja, kuna hadithi moja inasema muislamu ndugu yake ni muislamu sasa kwakuwa kuna majini waislamu kwa mujibu wa quran je ni kweli kwamba waislamu wana undugu na majini ndiyo maana ni rahisi sana muislamu kufuga jini?
Hili swala ni muhimu sana naomba ushauri juu ya hili swala na pia sitaki ushauri wa hasira.