Kuwabebesha Hirizi na kuwapa Majini Wapiganaji wenu ndiko Kumewaponzeni

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,132
Wapiganaji wamelala Saa 9 za Usiku wa kuamkia leo huku wale Wapiganaji waliokuwa katika Ratiba ya zamu ya Gwaride la Temeke Saa 8 wakipelekwa kufanya Ulozi Walikolala mazima Wenzetu ili walipige Taifa la Farao, ila wakashindwana kwa kila Taifa Kuua Adui Mmoja Mmoja.

Hii ya Saa 8 kwenda Walikopumzika mazima Wenzetu Kuroga na Wapiganaji kuchelewa Kulala kuelekea Vitani na Farao ewe Mwananchi na ewe Mzalendo nakuomba iamini na uichukue kwa 100%.
 
Man! whats in your mind???????
 
Huu ndio ujinga walionao watu weusi wengi zaidi hapa duniani. Badala ya kufanya uwekezaji mkubwa ktk Elimu(akili) na Mafunzo, wao wamejikita kwenye Imani Potofu za Kishirikina na kutaka mafanikio mkubwa kwa njia za mkato na miujiza.
Watambue tu kwamba, Mpira wa Soka ni SAYANSI, ukifuata Kanuni Matokeo lazima utayapata, na usipifuata Kanuni Matokeo Hasi lazima utayapata pia. So, the choice is yours!
 
Hii umeiga kwenye comment yangu kuhusu uchawi wa Mzee Bamchawi na ndicho walicho kifanya Simba kwenye mechi ya Simba vs Stella Abidjan mwaka 93

Back
Top Bottom