majini

  1. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu majini (mashetani/ mapepo). Uliza swali lolote nitakujibu

    Eeeh wakuu mpo? Ktk huu uzi nitazungumzia kuhusu majini kiimani na kisayansi kulingana na experience niliyonayo ila pia mtu yeyote anaruhusiwa kuchangia kulingana na kile anachokijua au alichoeahi kukiona Majini ni nini? Majini kiroho ni viumbe hai wanaoweza kuishi ndani ya mwili wa...
  2. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Allahmdulilah picha: Dube kafunguliwa majini yameondolewa

    Ni majini tu alitupiwa. Alisomewa na Azam kisomo akatupiwa majini. Kuna watu wamempeleka kuombewa. Dube kafunguliwa. Sasa atakiwasha sana. Wamemwambia sasa asiache kuomba na ajitoe kabisa kabisa katika mambo ya kusomewa kisomo au kuchomewa ubani. Anasema anajisikia mwepesi sana baada tu ya...
  3. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Sehemu wanazopendelea kukaa majini na kuzaliana kwao

    Sehemu wanazopendelea Kukaa majini. Ikumbukwe kuwa majini walipopigwa na kufukuzwa,hawakuzuiwa kuendelea kuishi katika mgongo wa ardhi,Laa hasha! Bali walitawanywa na kuzuiwa kuishi katika mkusanyiko, yaani jamii ya pamoja ( mfano wa binadamu tunavyoishi) ila waliendelea kuishi katika mgongo wa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kumbe Majini sio viumbe vya kuogopa, yana vibrate at low frequency kuliko sisi

    Knowledge is power..kumbe MAJINI, WACHAWI, NA BLACK MAGIC ZOTE, zinafanyika at low vibrational frequency ndio maana ili mtu alogeke lazima washushe frequency yake awe kwenye range zao. Kwa mfano mtu akiwa ana hofu au hasira ni rahis kumloga coz ana resonate at 7Hz very low frequency. PEPO...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano kilichomtoa Gamondi pale Yanga ni kutoamini katika Uchawi na Majini, Inahuzunisha sana

    Wazungu huamini sana katika uwezo wa wachezaji, lakini huku africa hasa Pale ambapo inasemekana wenye akili ni wachache sana wanaamini katika Uchawi. Inasikitisha sana unafukuza kocha huku mbeleni una mechi za CAF.
  6. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Nawashukuru majini jambo langu la msingi limefanikiwa

    🙏🙏🙏🙏Nasema Ahsante waziwazi. Msioamini kazi kwenu.
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho Mwafrika alichobobea. Mambo ya kufirika fikirika. Leo atagundua Kiboko ya wachawi ni tapeli kesho anaenda kwa kiboko ya majini

    Maisha yaendelee...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mullah wa Iran, Mostafa Karami: "Israel wanatumia majini katika shughuli za kijeshi"

    Hahaha mwamba anasema tangu kipindi cha Daudi na Solomon hadi sasa Israel wanatumia majini na sayansi ya nyota katika harakati zao za Kivita. Msikilize zaidi katika video.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtumbwi wazama Ziwa Viktoria, mmoja afariki sita hwajulikani walipo

    Watu sita wanahofiwa kufa maji, huku mwili mmoja ukiopolewa baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama ndani ya Ziwa Victoria. Watu hao walikuwa wakitoka kwenye harusi Kijiji cha Mwiruruma, kuelekea katika kitongoji cha Bulomba Kijiji cha Igundu wilayani Bunda Mkoa wa Mara. Mkazi wa Kijiji...
  10. Doctor William Mtanzania

    JamiiForums Tanzania Hii ni kweli kuhusu Majini?

    YAJUE MAJINI KWA UNDANI - Neno majini linatokana na neno maji " sababu element ya majini ni maji na sio moto " - Majini hupendelea kuishi na kukaa baharini, mtoni, ufukweni zaidi. - Majini ni mashabiki wazuri wa michezo ya mpira, kamali n.k - Majini yana vitengo kama zilivyo serikali zetu...
  11. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Ughaibuni kuna majini wengi majumbani kupelekea nyumba nyingi kutelekezwa

    Ushawahi kujiuliza nchi ughaibuni kuna vituko vingi vya majini kuliko mikasa ya hapa. Na rafiki yangu ni mganga ambaye hupata safari nyingi nchi za kiarabu kwa ajili ya kwenda kupambana nayo. Unaambiwa alifika Oman ile nyumba walikuwa wana naswa vibao sana na hawafahamu ni nani na kila mtaalamu...
  12. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Dkt. Sule: Kutumia Majini kupata Mali si dhambi/ haramu

    Akifanyiwa mahojiano na kituo cha Habari cha Global TV Dkt Sule ameeleza masuala mbalimbali yanayohusu kupata mali kwa kutumia majini. Akifafanua kwa imani yake kuwa kupata mali kwa Majini si haramu Sule anasema: Kupata mali kwa njia ya majini ambao sio wachafu sio haramu, nitasema na...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

    Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc Jini Sharif, Maimuna, etc Kwanini?
  14. Azer Zepha

    JamiiForums Tanzania Agizo la majini

    Agizo la majini 1-5 RIWAYA: AGIZO LA MAJINI MTUNZI: MR ROYNOO WHATSP NO: 0786978618 Sehemu ya 1 Naitwa Mr Roynoo a.k.a mnyama dumaa wengine wanapenda kuniita kwa kwakufupisha hasa hasa mabinti wazuri wazuri wananiita "Roy" nilishaumwaga magonjwa baadhi ya kidunia mfano, homa na Nk. ila yote...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wanajua mapenzi utadhani ni majini mahaba

    Aisee nimekutana na mwanamke anajua kupita kiasi nimepiga mayowe nyumba nzima wameshtuka, na mimi huwa nikiwa napiga shoo siwezi kujibana sauti. Bora lawana kuliko kujibana sauti naongea nasifia, natukana, najiapiza mwenzenu nina mapenzi mlipuko, Kila style nimezidiwa mimi, alivoikalia mbao...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nyikani, Mwanamke atainua mnyama kutoka majini atakayetupeleka Nchi ya ahadi

    Salaam,Shalom!! Leo twende Kona za kinabii, watakaodaka wadake, wasioelewa ndo basi tena, wale wasioamini kuwa Mungu husema na manabii, ndo kabisa, hawatodaka chochote. MWANZO WA NDOTO. Roho wa akanichukua Hadi Mahali palipokuwa na maji mengi, ufukweni mwa ziwa na tazama, mnyama mkubwa...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Niliposema kuwa Mwezi huu Mtukufu kuna Timu haitafanya vyema kwakuwa Majini yanauheshimu mkabisha mpo wapi leo?

    Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King! Zawadi ya Tunu/Shani nilizopewa na Mwenyezi Mungu hakuna wa Kufananishwa nami na ndiyo maana 85% ya yale ambayo huwa nayawasilisha hapa JamiiForums (Michezoni na kwingineko) huwa ni sahihi na kwa 15% tu ndiyo huwa ni bahati mbaya/havitokei. Msione aibu...
  18. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tujadili viumbe walioumbwa kwa moto na upepo ambapo humo tunapata Malaika, majini, vibwengo, shetani wana maumbo au hadaa zetu tu?

    Habari wakuu. Leo nimeona nilete kwenu hii hoja kwa mfumo wa swali. Kama nililivyoliweka hapo kwenye heading kuhusu taswira au umbo lionekanalo kwa macho pale inavyowezekana, hawa viumbe ambao tunaaminishwa kupitia imani zetu kwamba wameumbwa kwa moto na upepo wanabeba taswira gani? Upepo sote...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumekucha, wachezaji wawili wote leo ndiyo wamebeba 'Majini na Hirizi' za Kuzibeba timu zao kwa Mkapa

    Na nawaombeni leo kabla ya Mechi kuanza kuweni makini kuangalia nini Watafanya au Kitafanyika ila Mpira ukianza tu watakuwa Wanakwepana. Pia kuna uwezekano mkubwa Wote wakafunga Magoli kwa Timu zao ila Kuumia kiasi kwa Mmoja wao au sana ni kwa 85% kutokana na Mizigo ya HATARI ya Kishirikina...
  20. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Uwanja pekee unaoweza kujengwa pale jangwani ni wa kufugia majini

    Wananchiiiii 😃😃😃 nikisema nyie ni mazuzu nitakuwa nakosea? Eti uwanja mpaka siku mkiuchomoa huo mwiko ndio mtakuwa na akili. Hivi uwanja wenu utakuwa unaingiza mashabiki wangapi? Contractor tayari mmeshampata? Ameshafanya tathimi ya eneo ambalo uwanja utajengwa? Kwa geography ya eneo la...
Back
Top Bottom