majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Haya hapa majina ya ajira Mpya za Afya Septemba 2023

    Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali za kada za afya waliowasilisha maombi katika kipindi cha mwezi wa April, 2023 kuwa mchakato wa kuwapangia vituo vya kazi umekamilika kwa awamu ya tatu. Awamu hii ni kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kurithi majina ni chanzo cha koo tajiri kuwa tajiri na koo masikini kuwa masikini

    Tunaporithishana majina huwa tunarithishana vingine vingi vinavyoambatana na mwenye jina linalorithiwa. Inachanganya sana, hii iko vipi wataalam wa mambo? Lakini nimeshuhudia koo nyingi zinafana kizazi kimoja kwenda kingine. Mtazamo wangu majina tunayorithi huwa yanaambatana na tabia, hali...
  3. JamiiForums Tanzania Putin Crew: Msaada kwa majina ya hawa watu wengine

    Kwa wajuzi wa mambo kuhusu russia. Katika hii team mm nawajua watu wawili tu, ila nilikuwa namjua mmoja tu ambae ni putin ila kwa hii drama mpya nikamfahamu na Dmitry Utkin ambae inasadikika kuwa kafa. Naomba niwajue na hao wengine na sifa zao maana inaonekana hii team ndo mafia wa russia...
  4. JamiiForums Tanzania Maneno na majina ya Kiswahili yenye herufi zinazofanana

    Haya hapa ni majina ya Kiswahili ambayo herufi zake zote zinaumda maneno ya Kiswahili pia NAOMI----MAONI AMINA----AMANI Tafadhalli ongeza maneno au majina mengine ya aina hii angalau mawili
  5. JamiiForums Tanzania Utenguzi: Rais Samia ametengua Uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba

    Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba Aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Februari 2023. Pia ametumikia nafasi mbalimbali ikiwamo Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Maji.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Barabara zipewe majina ya Mkandarasi aliyejenga ikiwa pamoja na anuani yake, akiboranga tu tunae!

    Wakuu kwema? Hii imekaaje? Badala ya kuzipa barabara majina ya viongozi au wanasiasa au watu mashuhuri zipewe majina ya mkandarasi aliyejenga pamoja na anuani ya makazi yake, akivurunda tu tunajua pa kumpata. Nakuhakikishia kiwango kwenye ujezi wa barabara kitaimarika mara moja. Maana...
  7. JamiiForums Tanzania Tabia ya Magari ya Mwendokasi hasa Kimara Mwisho hadi Kibaha kutotaja majina ya vituo njiani ni kero kubwa

    Nina malalamiko kuhusu magari ya Mwendokasi, nina mambo mawili, la kwanza ni kuhusu kutotajwa kwa majina ya vituo, tabia hii ilianza mdogomdogo na hatimaye imekuwa kawaida. Ni kama vile wanaamini kila anayepanda Mwendokasi basi anajua vituo na anaijua Dar vizuri. Katika vituo vya hatikati ya...
  8. JamiiForums Tanzania Tulio badilisha majina baada ya kufika mjini tujuane hapa

    Naanza na mimi mwenyewe kijijini kwetu naitwa Marwa Mahende ila mjini naitwa Emmanuel John.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Magati ya Bandari yetu yapewe majina na moja liitwe Gati la Mwabukusi

    Huyu mwamba Boniface Mwabukusi, Wakili Msomi ameonyesha uzalendo mkubwa sana kwa Nchi yake! Wachuuzi wa rasilimali zetu amewakaba koo kweli kweli! Whatever the outcome ya High Court Judgement on 7/8 but the fact is clear that, Learned Counsel Boniface Mwabukusi is the hero of our times! Mbona...
  10. 4

    JamiiForums Tanzania Kuna watafuta majina na wale wanaomanisha, ngoma ya bandari bado mbichi sana

    Ndugu zangu Bwana wa Mbiguni akawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake na imekua. Nijikite kwenye mada moja kwa moja na kama kichwa cha habari kinavyohusika. Nakumbuka kipindindi cha Mwendazake alijitokeza mwanaharakati mmoja alieitwa Kigogo, huyu bwana aliteka sana mtandao wa Tweeter, ila siku...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna nchi ina majina mengi ya mitindo ya kujamiiana na kujamiiana kwenyewe kuzidi Bongo?!!!!

    Aisee ni hatari sana hii nchi! Tukamuulize mama Maria Nyerere kwani ilikuaje inawezekana akawa na majibu ya uhovyo wetu. Tukianza na majina ya mitindo; 1. Kifo cha mende 2. Chuma mboga 3. Mbuzi kagoma 4. Wezele kwio 5. Popo kanyea mbingu 6. Mtambuka 7. Tepetesha sambwanda 8. Kaokokokorobo 9. FM...
  12. JamiiForums Tanzania TANAPA yajipanga kukusanya Bilioni 343.8, Sasa Wanyama kupewa Majina ya Watu kwa gharama ya Milioni 5

    Dodoma. Baada ya wanyama kupewa majina ya watu maarufu wa nje ya nchi, Shirika la Hifadhi za Taifa za Tanzania (Tanapa) limeanzisha utaratibu maalum wa kuwezesha watu wanaotaka baadhi ya wanyama waitwe majina yao kufanya hivyo lakini kwa kulipia Sh5 milioni. Utaratibu huo nakuja baada ya...
  13. JamiiForums Tanzania Sijapendezwa na uzinduzi wa jezi za Simba kuwekwa majina ya viongozi

    Ni jambo la kushangaza kwa kile kilichofanyika na club ya simba kuchanganya mpira na siasa Nilipendezwa na wazo la club ya simba kutambulisha jezi yao kwenye mlima mkubwa zaidi Afrika hivyo kufanya kuwa kivutio kikubwa kinachotambulika dunia nzima niliona ni jambo jema Leo mida ya asubuhi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Majina ya kwenye email hayaonekani kwenye sm baada ya ku-reset sim

    Nime-refactorise simu yangu ajabu asilimia kubwa ya majina yaliyokuwa nimesevu kwenye email hayaonekani. Yamerudi machache sana. Tatizo litakuwa ni nini na je nifanyeje
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majina ya watoto wa nchi za Magharibi

    Naamini hili jukwaa lina watu wengi wanaofahamu tamaduni za watu wa Ulaya na Marekani. Inaonekana ni kawaida kwa baadhi ya watu wa Ulaya kuwapa watoto wao majina mawili kwa mkupuo, ambayo hayana uhusiano na jina lake (mzazi). Mfano, baba anaweza akawa anaitwa James Allen Robert, lakini mtoto...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu hili la kuwapa watoto majina

    Wakuu, naomba kuelimishwa katika hili la majina! Natamani kufahamu yafuatayo: 1. Mtoto anaweza kutumia jina la mama yake kwenye utambulisho wa majina yake? Mfano, kama mtoto anaitwa Bakari na mama yake anaitwa Amina, anaweza kusajiliwa kama Bakari Amina? 2. Mwanamke kuwa na majina mawili ya...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Njia pekee kukwepa mgawanyo wa mali za ndoa ni kuandika majina ya watoto

    NJIA PEKEE KUKWEPA MGAWANYO WA MALI ZA NDOA NI KUANDIKA MAJINA YA WATOTO. Na Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Mahakama ya Rufaa chini ya majaji watatu katika Rufaa Na.102/2018 kati ya Gabriel Nimrod Kurwijila Vs Theresia Hassan Malongo inasema kuwa mali iliyoandikwa jina la mtoto haiwezi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya Radio zinazosikilizwa sana mikoani

    Habari wadau. Napenda kujuaa majina ya Vituo vya radio vinavyosikilizwa sana Mikoani na vinafaa kutuma matangazo. Mikoa ninayoitarget ni hii 1. Morogoro 2. Tanga 3. Moshi 4. Arusha 5. Babati 6. Tabora 7. Mbeya 8. Iringa 9. Mara 10. Katavi Asanteni
  19. JamiiForums Tanzania Leo tuwatambue Wanyakyusa kwa majina yao

    Dondosha jina la kinyakyusa unalolifahamu. Naanza Gwakisa, endelea
  20. JamiiForums Tanzania Mkesha wa chako ni chako kesho Kawe kwa Mwamposa; Mungu atupe ndoa zenye upendo na amani member wa JF

    Kesho ni mkesha wa chako ni chako Kawe kwa Mwamposa njoo na maombi yako 12 Mungu anakwenda kufungua yale yaliyo magumu maishani mwako. Maombi yangu maalum kwa Mungu ..Tuwe na ndoa njema zenye furaha na amani hasa member wa JF Najua wengi mnaogopa kuingia kutokana na hali ya sitonfahamu kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…