majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi kuna majina ya nyongeza kwenye Ajira Portal za Serikali?

    Habari zenu wanaJF Naona siku hizi kumekuwa na majina ya nyongeza sana kwenye usaili kutoka sekretarieti ya ajira. Na nahisi hii inatokea baada ya wengi mfumo kuwakataa na kupeleka malalamiko na baada ya uchunguzi wanaona ni kweli na ndio maana wanaongeza majina. Swali langu ni kwanini wa-set...
  2. Victoire

    JamiiForums Tanzania Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

    1) Basila Mwanukuzi 2) Jerry Muro 3)Siriel Mchembe. 4)Gabriel Zachariah. 5)Jasinta Mboneko. 6)Mathayo Masele. 7)Zainabu Kawawa. 8)Tano Mwera. 9)Abbas Kayanda. 10)Festo Kiswaga. 11)Wilson Shimo.
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Naomba hili lililojitokeza Uwanja wa Ndege wa Entebbe lisije likajitokeza JNIA

    Abiria wanaosafiri kwenda nchi za nje kupitia Uwanja wa Ndege wa Entebbe nchini Uganda wamelalamika vitendo vya wafanyakazi wa Uhamiaji kuwalazimisha watoe hela (chochote kitu) pale wakiwa wanaelekea kupanda ndege hali inayosababisha wengine kuchelewa ndege na wengine kuchelewesha ndege kuanza...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Vifupi(aka) vya majina ya kiingereza na kiswahili.

    William-Huitwa Bill. Jina la Bill Gates ni William Henry Gates. Siyo Wile Robert-Huitwa Bob. Robert Mugabe na Robert Nesta Marley huitwa Bob. Siyo Roba Elizabeth-Huitwa Lizzy, Siyo Beti ............................................................
  5. Mtu_imara

    JamiiForums Tanzania Kuna ambao hata kwenye usaili wa polisi majina yao hayajatokea?

    Kuna ambao hata kwenye usaili wa polisi majina yao hayajatokea?
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu, huko Kusini mmeishiwa majina, kila mtu anaitwa Sanga tu, and ndio masharti ya utajiri?

    Kuna hili swali nimekuwa nikijiuliza kimya kimya moyoni..., kwamba huko Kusini kila mtu anajiita Sanga, lengo hasa ni nini? Hata kwenye vibao vya ujenzi wa maghorofa kila mtu anaandika Sanga tu.., hivi ndio masharti ya utajiri hayo au? Nini kinaendelea? Kila mtu Sanga, Sanga..., Sangaa ...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tunashukuru lakini si haki: Kuitwa kwenye usaili kwa majina ya nyongeza na tume ya ajira

    Kwa sasa imekuwa kama utaratibu. Kwa mfano ulio hai kuna baadhi ya waombaji wa ajira MDA's na LGA's walipewa taarifa ya kuitwa kwenye usajili tarehe 07/01/2023 na wengine wakaitwa kama majina ya nyongeza siku tano baadaye yaani tarehe 12/01/2023. Na wote hao watafanya usaili tarehe 15/01/2023...
  8. tamuuuuu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kukosewa majina ya wanafunzi wakati wa kusajiliwa kufanya mitihani ya taifa kunasababisha kutofautiana na vyeti vya kuzaliwa

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Pro.Mkenda kuna shida kubwa sana sana ya watoto kukosewa usajili wa majina yao sahihi ya awali, kati na ubini. Hili jambo limekuwa ni kubwa na tatizo sana kwa sasa kila kona ya Tanzania. Kwa mfano, John -Joni Peter-Pita Rehema-Rehem Na mengine kukosewa...
  9. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Majina ya Uhamisho wa walimu yanatoka lini ?

    Wajumbe Nataka kufahamu ni lini huwa majina ya uhamisho wa walimu huwa yanatolewa na Tamisemi. Msaada
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Angalia hapa Majina ya waliochaguliwa kujiunga VETA 2023

    Vyuo vya Mafunzo ya Ufundi Stadi nchini (VETA) vimetoa orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi kwa mwaka 2023. BONYEZA HAPA: Kuangalia majina ya waliochaguliwa kujiunga VETA mwaka wa 2023 Orodha hiyo imetolewa leo Jumanne Desemba 20, 2022 ambayo ni ya...
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Vouda Mlijua Mkinitaja Majina yote Kuniwishi Birthday ndio Ntalipa Deni. Thubutu na Mkome Na Bado Mpawa Silipi

    Hahahaaa mwenzenu si nikatajwa Kwa midoido yote na vouda kujipendekeza huko wakajibetua Kuniwishi Birthday eti Fulani bini Mwanzenzele Rugaimukamu we wish you a happy birthday ndio ntahamaki nijitwishe niwalipe deni lao. Mmenitesa sana makato ya Tozo za simbanking za muamala na uhuni wa...
  12. Munguwetu

    JamiiForums Tanzania Majina ya wadada au wanawake wanaotumia Jina hili wanatabia zipi?

    Niende moja kwa moja. Majina ya wadada au wanawake wanaotumia Jina hili wanatabia zipi. Wakuu hembu tuone maana Nina experience mbaya. 1. Aisha. Katika utukufunwake mtume S.A.W Jina Aisha Lina heshima kubwa Sana sio kidogo. Hapa duniani esp Tanzania naongelea mitaani kwetu. Mambo si salama...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Majina waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2023 haya hapa

    Wanafunzi 1, 073, 941 waliofaulu mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka 2022 wakiwemo wavulana 514, 846 na wasichana 559, 095 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka 2023. Taarifa iliyotolewa leo Jumatano Desemba 14, 2022 na Waziri wa Tamisemi, Angellah Kairuki imesema kuwa...
  14. Mabula Msirikale

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama Mkwe anataka majina yangu matatu

    Habari ya weekend JF. Mpenzi wangu nimempa ujauzito. Nipo mbioni kupeleka posa kwao ili nifunge nae ndoa Takatifu. Wazazi wake bado sijakutana nao, binti yao ameshampa taarifa mama yake kuhusu hali yake ya ujauzito, mama yake akamuuliza kama kama anatunzwa akajibu ndiyo. Sasa leo asubuhi...
  15. Chiwaso

    JamiiForums Tanzania Majina ya Wahitimu wa UDOM Mahafali ya 2 Dec, 2022

    Za Asubuhi Wakuu, Majina ya vijana wenu wa UDOM wanaotegemea kuwepo siku ya tar 2. Dec 2022 kwenye graduation ni hayo yaliyoambatanishwa kwenye Thread hii. Kwa taarifa za Kina rejea Link ifuatayo:-
  16. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Makipa Simba SC na wengine 8 wakamatwa na Dawa za Kulevya

    Kocha wa makipa simba mbaroni kwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroine. Sambamba na boss wa Cambiaso ================ Kocha huyo, Mwalami Sultan ni kati ya watuhumiwa 9 akiwemo Mmiliki wa Kambiaso Sports Academy, Alhaj Kambi Zubeir Seif wanadaiwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya...
  17. Beesmom

    JamiiForums Tanzania Tuwe tunaangalia na majina ya kuwapa watoto

    Siyo sijui Mateso, Tabu, shida, sikujua, kaburi, Satan, illuminata, Vumilia na mengi mnayoyajua. Mpe jina mtoto aitwe Majaliwa...bahati na moyo kwenye utu hutembea humohumo kupitia jina.Endeleeni kujiita Adolph Hitler hivyo hivyo mtavuna
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kitanzania jitahidini tukiwa 'tunawatongoza' na Kuwauliza Majina yenu mtutajie na ya Ukoo Wenu

    Kuna wengine tuna Asili ya Uwoga ( Unyali ) hivyo pale tukiwa tunawatongozeni msiwe tu mnaishia Kututajia kwa Mikogo Majina yenu ya mwanzo lakini pia muwe mnatutajia na ya Ubini ( Ukoo ) sawa? Wanawake wenye Majina Kamili kama haya yafuatayo usitegemee hata kama GENTAMYCINE nimekutongoza na...
  19. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Kwa mliokaa Ulaya/Marekani hivi Wazungu na wao pia huchagua majina ya ubatizo kanisani?

    Naomba kujua kwa mliowahi kukaa ulaya huko, je ikifika wakati wa ubatizo, wazungu pia huchagua majina ya kubatizwa kwa watoto wao kama tunavyofanya huku Afrika? Huku Afrika ni kawaida kukuta mtu ana majina mawili, moja la nyumbani lingine la ubatizo na la ubatizo lazima liwe la kizungu ama...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Majina ya Wabunge feki wa Bunge la Tanzania wanaojiita CHADEMA. Watunga sheria hewa

    Kuna Wangu wanajiita ni Wabunge wa Chadema ambao chadema haiwatambui. Wabunge hao wanaotakiwa kutimuliwa bungeni ni Halima Mdee, Esther Matiko, Grace Tendega, Cecilia Pareso, Ester Bulaya, Agnes Lambart, Nusrat Hanje, Jesca Kishoa na Hawa Mwaifunga. Wengine ni Tunza Malapo, Asia Mohammed...
Back
Top Bottom