Tulio badilisha majina baada ya kufika mjini tujuane hapa

Hv nyie watu mnaobadilishaga majina mkifika mjini huwa mna sababu gan kufanya hvo?? Hv mfano umekamatwa na police,, jamaa zako wanakufahamu kwa jina la chriss B kumbe ww unaitwa ntombangile kiteango na vitambulisho vyako vyote vinasomeka hvo.

Je huon kuwa unaweza kukosa dhaman kwa sababu jamaa zako wakienda kukuulizia ktuon kwa jna la chriss B wanaambiwa huyo mtu hatunae hapa!!

Alafu ktu cha pili hua mnawezaje kuzoea kuitika kwa jina lisilo lako??
 
Back
Top Bottom