Jinsi babu zetu walivyowapa majina watoto wao. Majina yao yalitoka moja kwa moja kwa Mungu muumbaji

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,120
27,126
Kabla ya ujio wa dini za wageni Afrika hatukuwaga na majina ya Abdallah wala Paulo . Babu zetu waliwapa watoto wao majina ya kiafrika. Majina waliyatoa moja kwa moja toka kwa Mungu.

Ni hivi babu zetu walimjua Mungu kupitia nature. To them nature was the portal which connected them with their creator. God communicated to them through nature. Walimjua Mungu kupitia nature. Waliamini kuwa U can know the artist by studying his art. Waliamini kwamba the will of God to humans and humanity has been stamped in nature. To understand the nature is to understand God and his will and plans to his creation.

Ndio maana vitu vyao vingi walivifanya kupitia nature. Nature alikuwa ndio mwalimu wako mkuu. Tabia na matendo yao vilikuwa shaped with nature. Kwa mfano waliposoma sifa na tabia za baadhi ya vitu kwenye nature walijifunzia utu , ujamaa na kuwa generous. Kwa mfano jua linatoa mwanga ambao haliuhitaji ila sisi binadamu ndio tuna uhitaji. Jua halipati FAIDA yoyote kwa kutuangazia mwanga wake. Tunda mfano chungwa ni tamu lakini anae faidika na utamu huo ni mlaji na sio chungwa etc.

Ndio maana kila mtu aliishi kwa ajili ya watu wengine. Watu waliishi kwa ujamaa na upendo.

Kujua na kumaster sanaa ya namna ya kucommunicate with nature lilikuwa ni jambo la lazima kwa kila member wa society.

Walijua kusoma lugha ya nature. At was as if they knew what was in the mind of nature. This is because they knew that nature did not belong to them by they belonged to nature . Na kwa sababu hiyo wali iheshimu sana nature. They entire kufe system was commanded by nature. Walijua nature inataka wafanye na wasifanye nini kwa wakati gani. Kwa mfano msimu wa masika kwao ilikuwa ni nature ina waambia huu ndio msimu wa kupanda. Binti akivunja ungo au kijana akibalehe ni nature ina waambia sasa watu hawa wapo tayari kuingia kwenye ndoa. Kama ambavyo waislamu tunafundishwa kwamba mtu akitaka kuoa basi apewe mke haraka sana babu zetu waliamini mtu akibalehe au kuvunja ngoa basi apewe ndoa haraka sana kwa sababu ni nature ndio una detect hivyo.

Msimu wa machungwa babu zetu walikula machungwa sana kwa sababu kwao ilimaanisha ni sauti ya nature inataka ule machungwa kwa wingi sasa hivi kwa sababu ukila machungwa hayo sasa hivi ndio utavuna virutubisho muhimu vya machungwa. Wakifanya vivyo hivyo kwenye maembe Mahanadi na matunda na vyakula vingine.

Kwenye majina waliangalia vitu Vikuu viwili na ndio sababu babu zetu walikuwaga na majina mawili mawili.

Kwanza waliangalia majira na nyakati ambazo mtu amezaliwa na kumpa jina kulingana na majira au nyakati hizo mfano. Masika, Mwamvita, Mwanjaa, Chausiku, Mwamvua etc.

NJIA YA PILI ILIKUWA NDIO JINA HALISI IS MTOTO ALIE ZALIWA AMBALO NDIO ALIAMINI MIMETOKA MOJA KWA MOJA KWA MUNGU NA LILIBEBA TAMKO RAMSI KUHUSU MAISHA YA MTOTO HUYI NA DESTINY YAKE.

Mtoto akishazaliwa baba mzazi alikwenda hadi kwenye chumba alicho hifadhiwa mtoto na kisha alitakiwa kutoka nje ya chumba hicho na ku I observe nature. Kitu cha kwanza kikubwa atakacho kiona kwenye nature ndio jina la mtoto. Akiona Simba mtoto ataitwa Simba. Akiona Jabali mtoto ataitwa Jabali. Akiona mti lets say wa Mkilika mtoto ataitwa Mkilika etc.

Waliamini hiyo ndio ishara kutoka kwa Mungu kuhusu jina la mtoto alie zaliwa.

Waliamini majina ya watu hutoka kwa Mungu.

Hata Jina la Yesu Malaika Gabriel alimwambia Mariam utazaa mtoto utamuita Yesu.

JE KAMA UNGEZALIWA ENZI HIZO UNGEITWA NANI?

# Mimi sijui ningeitwa nani maana kijijini kwetu naitwa Marwa Mahende ila mjini naitwa Emmanuel John
 
Umenena vyema mkuu,ukoloni umetuharibu uafrika wetu,wewe angalia pamoja na hekima yote uliyoshusha lakini ukachanganya na lugha ya wakoloni,mantiki ilikua nini?Anyways you spitted the truth brother(nami bado mtumwa)..mimi ningeitwa HODARI
 
Pa 1 mkuu.
 
Kwa busara hiyo hiyo, ndo maana hayo majina yanaendelezwa hadi leo. Tena ya leo yako very powerful, yamechanganya mizimu ya wazungu, warabu na wabantu. Mfano mtu anaitwa Askofu Mario Abdalah Mugulunde.
Hata hivyo ukiona mtu anatumia majina ya kigeni tupu ujue ana nia ya kuwaconfuse wabaya wake.
 
Kuna jamaa mmoja anaitwa : ABDALLAH PAULO MUHIDIN JOHN HALFAN
 
Kabla ya ujio wa dini za wageni Afrika hatukuwaga na majina ya Abdallah wala Paulo . Babu zetu waliwapa watoto wao majina ya kiafrika. Majina waliyatoa moja kwa moja toka kwa Mungu.

Ni hivi babu zetu walimjua Mungu kupitia nature. To them nature was the portal which connected them with their creator. God communicated to them through nature. Walimjua Mungu kupitia nature. Waliamini kuwa U can know the artist by studying his art. Waliamini kwamba the will of God to humans and humanity has been stamped in nature. To understand the nature is to understand God and his will and plans to his creation.

Ndio maana vitu vyao vingi walivifanya kupitia nature. Nature alikuwa ndio mwalimu wako mkuu. Tabia na matendo yao vilikuwa shaped with nature. Kwa mfano waliposoma sifa na tabia za baadhi ya vitu kwenye nature walijifunzia utu , ujamaa na kuwa generous. Kwa mfano jua linatoa mwanga ambao haliuhitaji ila sisi binadamu ndio tuna uhitaji. Jua halipati FAIDA yoyote kwa kutuangazia mwanga wake. Tunda mfano chungwa ni tamu lakini anae faidika na utamu huo ni mlaji na sio chungwa etc.

Ndio maana kila mtu aliishi kwa ajili ya watu wengine. Watu waliishi kwa ujamaa na upendo.

Kujua na kumaster sanaa ya namna ya kucommunicate with nature lilikuwa ni jambo la lazima kwa kila member wa society.

Walijua kusoma lugha ya nature. At was as if they knew what was in the mind of nature. This is because they knew that nature did not belong to them by they belonged to nature . Na kwa sababu hiyo wali iheshimu sana nature. They entire kufe system was commanded by nature. Walijua nature inataka wafanye na wasifanye nini kwa wakati gani. Kwa mfano msimu wa masika kwao ilikuwa ni nature ina waambia huu ndio msimu wa kupanda. Binti akivunja ungo au kijana akibalehe ni nature ina waambia sasa watu hawa wapo tayari kuingia kwenye ndoa. Kama ambavyo waislamu tunafundishwa kwamba mtu akitaka kuoa basi apewe mke haraka sana babu zetu waliamini mtu akibalehe au kuvunja ngoa basi apewe ndoa haraka sana kwa sababu ni nature ndio una detect hivyo.

Msimu wa machungwa babu zetu walikula machungwa sana kwa sababu kwao ilimaanisha ni sauti ya nature inataka ule machungwa kwa wingi sasa hivi kwa sababu ukila machungwa hayo sasa hivi ndio utavuna virutubisho muhimu vya machungwa. Wakifanya vivyo hivyo kwenye maembe Mahanadi na matunda na vyakula vingine.

Kwenye majina waliangalia vitu Vikuu viwili na ndio sababu babu zetu walikuwaga na majina mawili mawili.

Kwanza waliangalia majira na nyakati ambazo mtu amezaliwa na kumpa jina kulingana na majira au nyakati hizo mfano. Masika, Mwamvita, Mwanjaa, Chausiku, Mwamvua etc.

NJIA YA PILI ILIKUWA NDIO JINA HALISI IS MTOTO ALIE ZALIWA AMBALO NDIO ALIAMINI MIMETOKA MOJA KWA MOJA KWA MUNGU NA LILIBEBA TAMKO RAMSI KUHUSU MAISHA YA MTOTO HUYI NA DESTINY YAKE.

Mtoto akishazaliwa baba mzazi alikwenda hadi kwenye chumba alicho hifadhiwa mtoto na kisha alitakiwa kutoka nje ya chumba hicho na ku I observe nature. Kitu cha kwanza kikubwa atakacho kiona kwenye nature ndio jina la mtoto. Akiona Simba mtoto ataitwa Simba. Akiona Jabali mtoto ataitwa Jabali. Akiona mti lets say wa Mkilika mtoto ataitwa Mkilika etc.

Waliamini hiyo ndio ishara kutoka kwa Mungu kuhusu jina la mtoto alie zaliwa.

Waliamini majina ya watu hutoka kwa Mungu.

Hata Jina la Yesu Malaika Gabriel alimwambia Mariam utazaa mtoto utamuita Yesu.

JE KAMA UNGEZALIWA ENZI HIZO UNGEITWA NANI?

# Mimi sijui ningeitwa nani maana kijijini kwetu naitwa Marwa Mahende ila mjini naitwa Emmanuel John
Na kwenye hili mimi nime ling'ania sana.
Aliye zaliwa msimu wa sato ni MASATU (me), NYASATU (ke)
Msimu wa viazi ni MANUMBU (me),NYANUMBU (ke)
Msimu wa mvua ni MAJULA au WANG'UBHA (me),NYANJULA au NYANG'UBHA (ke).

Kwa nini mimi ni king'ang'anizi.
1 Majina yao walitupatia kinafiki kwakuwa tu walishindwa kutamka ya kwetu lkn vilevile ilikuwa ni kwa nia ya kutugawa miongoni mwetu.

2 Hata majina yao yana maana za huko kwao kutegemeana na asili,mfano; jina MARIA kwa KIITALIANO ina maana ya BAHARI lkn kwa KIGIRIKI ina maana ya ukanda kwenye mbala mwezi ulio tawaliwa na giza.

Kwa hiyo mimi sina 7bu ya kutawaliwa na WAARABU pamoja na WAZUNGU,waambieni waishie hukohuko.
 
Babu yangu walikua pacha ko kwa taratibu na Mila zetu mkizaliwa pacha Kuna majina yanakua tayar yapo kama wanavosema kulwa na doto.

Wengn wanapewa majina kutokana na pombe iliyopo siku hyo...ipo hv zle pombe za asili hua inaandaliwa na huchukua mda mpaka iwe tayar na kila inapofika stage flan hua na jina lake ko ukizaliwa mzigo upo stage flan utapewa jina la hyo stage🤣

Wengn hupewa jina la mgeni aliekuja siku unazaliwa, wengn hupewa jina la mazingira mama alipojifungulia, wengn hupewa jina la nature ya mwaka
Na Mengi ya kuandika, ila mm nimepewa jina la huko Israeli 😁
 
Safi sana mkuu
 
Kabla ya ujio wa dini za wageni Afrika hatukuwaga na majina ya Abdallah wala Paulo . Babu zetu waliwapa watoto wao majina ya kiafrika. Majina waliyatoa moja kwa moja toka kwa Mungu.

Ni hivi babu zetu walimjua Mungu kupitia nature. To them nature was the portal which connected them with their creator. God communicated to them through nature. Walimjua Mungu kupitia nature. Waliamini kuwa U can know the artist by studying his art. Waliamini kwamba the will of God to humans and humanity has been stamped in nature. To understand the nature is to understand God and his will and plans to his creation.

Ndio maana vitu vyao vingi walivifanya kupitia nature. Nature alikuwa ndio mwalimu wako mkuu. Tabia na matendo yao vilikuwa shaped with nature. Kwa mfano waliposoma sifa na tabia za baadhi ya vitu kwenye nature walijifunzia utu , ujamaa na kuwa generous. Kwa mfano jua linatoa mwanga ambao haliuhitaji ila sisi binadamu ndio tuna uhitaji. Jua halipati FAIDA yoyote kwa kutuangazia mwanga wake. Tunda mfano chungwa ni tamu lakini anae faidika na utamu huo ni mlaji na sio chungwa etc.

Ndio maana kila mtu aliishi kwa ajili ya watu wengine. Watu waliishi kwa ujamaa na upendo.

Kujua na kumaster sanaa ya namna ya kucommunicate with nature lilikuwa ni jambo la lazima kwa kila member wa society.

Walijua kusoma lugha ya nature. At was as if they knew what was in the mind of nature. This is because they knew that nature did not belong to them by they belonged to nature . Na kwa sababu hiyo wali iheshimu sana nature. They entire kufe system was commanded by nature. Walijua nature inataka wafanye na wasifanye nini kwa wakati gani. Kwa mfano msimu wa masika kwao ilikuwa ni nature ina waambia huu ndio msimu wa kupanda. Binti akivunja ungo au kijana akibalehe ni nature ina waambia sasa watu hawa wapo tayari kuingia kwenye ndoa. Kama ambavyo waislamu tunafundishwa kwamba mtu akitaka kuoa basi apewe mke haraka sana babu zetu waliamini mtu akibalehe au kuvunja ngoa basi apewe ndoa haraka sana kwa sababu ni nature ndio una detect hivyo.

Msimu wa machungwa babu zetu walikula machungwa sana kwa sababu kwao ilimaanisha ni sauti ya nature inataka ule machungwa kwa wingi sasa hivi kwa sababu ukila machungwa hayo sasa hivi ndio utavuna virutubisho muhimu vya machungwa. Wakifanya vivyo hivyo kwenye maembe Mahanadi na matunda na vyakula vingine.

Kwenye majina waliangalia vitu Vikuu viwili na ndio sababu babu zetu walikuwaga na majina mawili mawili.

Kwanza waliangalia majira na nyakati ambazo mtu amezaliwa na kumpa jina kulingana na majira au nyakati hizo mfano. Masika, Mwamvita, Mwanjaa, Chausiku, Mwamvua etc.

NJIA YA PILI ILIKUWA NDIO JINA HALISI IS MTOTO ALIE ZALIWA AMBALO NDIO ALIAMINI MIMETOKA MOJA KWA MOJA KWA MUNGU NA LILIBEBA TAMKO RAMSI KUHUSU MAISHA YA MTOTO HUYI NA DESTINY YAKE.

Mtoto akishazaliwa baba mzazi alikwenda hadi kwenye chumba alicho hifadhiwa mtoto na kisha alitakiwa kutoka nje ya chumba hicho na ku I observe nature. Kitu cha kwanza kikubwa atakacho kiona kwenye nature ndio jina la mtoto. Akiona Simba mtoto ataitwa Simba. Akiona Jabali mtoto ataitwa Jabali. Akiona mti lets say wa Mkilika mtoto ataitwa Mkilika etc.

Waliamini hiyo ndio ishara kutoka kwa Mungu kuhusu jina la mtoto alie zaliwa.

Waliamini majina ya watu hutoka kwa Mungu.

Hata Jina la Yesu Malaika Gabriel alimwambia Mariam utazaa mtoto utamuita Yesu.

JE KAMA UNGEZALIWA ENZI HIZO UNGEITWA NANI?

# Mimi sijui ningeitwa nani maana kijijini kwetu naitwa Marwa Mahende ila mjini naitwa Emmanuel John
Mawasiliano yao na Mungu yalikuwa sahihi kulingana na ufahamu wao kwa kipindi hicho. Kadri ufahamu unavyozidi kuongezeka, ndivyo kadri mawasiliano kati ya wanadamu na Mungu yanabadilika.
Mawasiliano sahihi kati ya watu na Mungu wao ni kwa njia ya Roho Mtakatifu (RM) tu na si vinginevyo
Kipindi hicho babu zetu hawakuwa wanajua chochote kuhusu RM na hivyo mawasiliano yao na Mungu yalikuwa sahihi kwa wakati huo tu na si kwa wkati huu

Swala la majina ya kwenye Biblia ni katika kujaribu kupata alternatives names, lakini majina yetu yanafaa sana provided maana zake zinamaanisha kitu POSITIVE.

Majina kama NYANZALA au NJAA, siyo majina ambayo watu wa Mungu wanatakiwa kuyatumia.

Watu wa Mungu wanatakiwa watumie majina kama MABULA, au mvua, kitu ambacho ni baraka kutoka kwa Mungu ilhali njaa siyo baraka kutoka kwa Mungu
 
Unajua maana ya jina JABEZ ? Lipo kwenye Biblia
 
Sijui ila ninachojua ni kwamba hata kwenye Biblia majina mabaya yapo pia. Mume wake Abigail aliyenusurika kuuawa na Mfalme Daudi, jina lake aliitwa Nabal, jina ambalo maana yake si baraka kutoka kwa Mungu
 
Back
Top Bottom