Mashimo ya choo ya kisasa yasiojaa maji, njoo nikujuze

albert_speer

Senior Member
Nov 26, 2019
167
250
Kwa lugha ya kitaalam tuayaita septic tank,. Huu mfumo hujumuisha septic tank na soakaway pit, hii septic tank ina sehemu ya kutolea maji ambapo yanakwenda moja kwa moja hadi kwenye soakway pit, kazi ya soakway pit ni kuyafyonza,kuyanyonya ua kuyanywa haya maji.. kinachofanyika kweye soakway pit tunaweka material ambayo tunyaita soil absorbent material.

Hii ni moja ya design ya septic tank niliyoifanya kwa ajili ya hoteli , septic tank hiyo apo juu ina uwezo wa kuhifadhi takribani lita 80,000

Nimeweka chemba tatu ili maji yatakoyekwenda kwenye soakway pit yawe clean, kinachofanyika kwenye soakway pit, ni kwamba hii soakway pit hufyonza au hunyonya haya maji.

Kuna namna nyingi ya kujenga hizi soakway pit.. hii itategemea aina ya udongo ktk site yako. Mfano hapo kwenye design yangu site ina udongo wa mfinyanzi, hauruhusu maji kepenya kwenda chani au haunyonyi maji.. cha kufanya utaondoa huo udongo futi 2 kwenda chini, utajaza material ambayo yatafyonza maji, material hayo ni gravel atleast upate G15, kokoto za inch 1, mchanga haya material utayapanga kwa leyer ya 15 cm utanza na gravel, kokoto then mchanga.

IMG_20200708_120046.jpg

IMG_20200706_192625.jpg
IMG_20200708_120020.jpg
of
 

albert_speer

Senior Member
Nov 26, 2019
167
250
Kwa lugha ya kitaalam tuayaita septic tank,. Huu mfumo hujumuisha septic tank na soakaway pit, hii septic tank ina sehemu ya kutolea maji ambapo yanakwenda moja kwa moja hadi kwenye soakway pit, kazi ya soakway pit ni kuyafyonza,kuyanyonya ua kuyanywa haya maji.. kinachofanyika kweye soakway pit tunaweka material ambayo tunyaita soil absorbent material....
 

albert_speer

Senior Member
Nov 26, 2019
167
250
Hii ni moja ya design ya septic tank niliyoifanya kwa ajili ya hoteli , septic tank hiyo apo juu ina uwezo wa kuhifadhi takribani lita 80,000 ,

Nimeweka chemba tatu ili maji yatakoyekwenda kwenye soakway pit yawe clean, kinachofanyika kwenye soakway pit, ni kwamba hii soakway pit hufyonza au hunyonya haya maji.

Kuna namna nyingi ya kujenga hizi soakway pit.. hii itategemea aina ya udongo ktk site yako..

Mfano hapo kwenye design yangu site ina udongo wa mfinyanzi, hauruhusu maji kepenya kwenda chani au haunyonyi maji.. cha kufanya utaondoa huo udongo futi 2 kwenda chini, utajaza material ambayo yatafyonza maji, material hayo ni gravel atleast upate G15, kokoto za inch 1, mchanga... haya material utayapanga kwa leyer ya 15 cm utanza na gravel, kokoto then mchanga...
IMG_20200708_120046.jpg
 

Akilinjema

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
5,706
2,000
Mbona mashino huwa mnachimba madogo na membamba kuliko mashimo ya maji machafu ya kawaida ya kujengea tofali?
 

albert_speer

Senior Member
Nov 26, 2019
167
250
Mbona mashino huwa mnachimba madogo na membamba kuliko mashimo ya maji machafu ya kawaida ya kujengea tofali?
Hapana, hilo apo juu ni mita 8 urefu,upana ni mita 4 na urefu mita 2.6 tukifanya maesabu ya ujazo tunapata lita elfu themanini na kitu hiv. Kingine cha kuongezea kumbuka hayo maji kwenye hilo shimo tunaya drain huko kwenye soakway pit
 

albert_speer

Senior Member
Nov 26, 2019
167
250
Mbona mashino huwa mnachimba madogo na membamba kuliko mashimo ya maji machafu ya kawaida ya kujengea tofali?
Suala uwembamba wa shimo hii inategemea na site analysis, nina eneo kiasi gani, hapa sasa unakuta shimo jembamba, kingine septic tank kwa ajili ya nyumbani shimo la ujazo wa lita 2000 linatosha kama una system ya soakway pit
 

Wangaya

Senior Member
Sep 6, 2018
122
250
Asante kwa darasa zuri. Je, septic tank haliwez kamwe kujaa kinyesi kinacho deposit chini? Na je vipi kuhusu harufu kurudi ndani chooni? Maana nasikia hutakiwi kuweka bomba za ventilation
 

Kilele9

JF-Expert Member
Jun 1, 2017
1,165
2,000
Asante kwa darasa zuri. Je, septic tank haliwez kamwe kujaa kinyesi kinacho deposit chini? Na je vipi kuhusu harufu kurudi ndani chooni? Maana nasikia hutakiwi kuweka bomba za ventilation

Kwanini bomba za ventilation zisiwekwe?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom