CCM na Tume ya Uchaguzi ni kama Majeshi ya Farao, hawawezi kuona hatari mpaka watakapozama ndani ya maji

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Mar 26, 2019
2,338
5,263
CCM, Tume ya Taifa ya Uchaguzi, na pengine Uongozi wa Rais Magufuli ni kama Majeshi ya Pharao, yaliyokuwa yakiwafukuza wana wa Israel pasipo kuona hatari iliyokuwa mbele yao kwamba bahari imeachama na wangeweza kuangamia kwenye maji kwa kuendelea kuwafanyia vurugu wana wa Israel.

Kwa kawaida mtu anapovutiwa sana na uovu, huwa anapofuka macho hadi wengine wanayemwona wanashangaa na kujiuliza huyu ndugu vipi jamani, eeh?

CCM, NEC, Rais Magufuli, chungeni sana matendo yenu, bahari imefungua kinywa chake, Beware and be warned!
 
Back
Top Bottom