DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,897
141,834
Mambo ni moto

E04C4E9A-6FB3-45CF-8AB2-9F2A5E82175C.jpeg

Mtela (katikati) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe

RAIS MAGUFULI AMTENGUA KATIBU TAWALA WILAYA YA KISARAWE

Rais wa John Pombe Magufuli, amemtengua Katibu Tawala wa Kisarawe, Mtela Mwampamba na kumteua Mwanana Msumi, aliyekuwa Afisa Tawala wa Wilaya kuchukua nafasi hiyo.

Rais Magufuli amesema kuwa Katibu Tawala huyo amekuwa akikiuka kimaadili ya viongozi wa umma, hata kuchukua wake za watu.

Ameyasema hayo alipokuwa katika uzinduzi wa mradi wa maji Kibamba-Kisarawe uliogharimu Tsh Bilioni 10.6.

Pia katika uzinduzi huo Rais Magufuli amemsifia Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Joketi Mwegelo kwa kutokomeza ziro.

Soma pia: Mtela Mwampamba aondolewa Ubungo na badala yake awa DAS Kisarawe
 
Ndo yule alikuwa na Juliana Shonza kipindi kile Chadema.

Ila Jocate kafanya vibaya kumchongea mwenzake. Sasa kuchukua wake za watu kunahusiana nini na kazi yake. Ila serikalini huwa kuna watu wanafki. Mnafanya kazi fresh, halafu ukimpa mgongo anakusema vibaya.

JOCATE ACHA USINITCH.
 
Ndo yule alikuwa na Juliana Shonza kipindi kile Chadema. Ila Jocate kafanya vibaya kumchongea mwenzake. Sasa kuchukua wake za watu kunahusiana nini na kazi yake. Ila serikalini huwa kuna watu wanafki. Mnafanya kazi fresh,halafu ukimpa mgongo anakusema vibaya. JOCATE ACHA USINITCH.
Kwa nn umsingizie Jokate wakati Luna informer wengi Tu hapo. Acha uchonganishi.

2020
 
Ndo yule alikuwa na Juliana Shonza kipindi kile Chadema. Ila Jocate kafanya vibaya kumchongea mwenzake. Sasa kuchukua wake za watu kunahusiana nini na kazi yake. Ila serikalini huwa kuna watu wanafki. Mnafanya kazi fresh,halafu ukimpa mgongo anakusema vibaya. JOCATE ACHA USINITCH.

Kila anaetongoza wake za watu serikalini anafukuzwa?
Kwa sheria ipi?
 
Back
Top Bottom