maji

  1. Bongo Trust

    JamiiForums Tanzania Biashara ya maji Dodoma

    Jamani mimi ni mkazi mpya wa jiji la Dodoma, nilipata wazo la kufungua biashara ya kuuza maji ya bomba, (yaani nitengeneze system ya kuyakusanya kisha niwauzie watu watakaokuwa wanakuja kuchota eneo husika) Naomba wenyeji na wazoefu wa issues hio mniambie mchanganuo wake unakaaje/at least niwe...
  2. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wetu huwa mnajisikiaje juu wananchi kukosa maji safi na salama tangu Nchi hii ipate uhuru?

    Naandika kwa masikitiko makubwa kwa sababu hali ni mbaya. Wilaya ya Mbogwe ni Wilaya moja wapo katika mkoa wa Geita na ipo karibu na Ziwa Victoria ila haijawahi kugusa maji safi na salama kutoka bombani tangu mwaka 1961 impala leo.
  3. BVR 2015

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa DAWASCO umeshindwa kufanya kazi ipasavyo na kusababisha wakasi wa jiji la Dar Es Salaam kunywa maji machafu

    Wakazi wa Dar es salaam kwa siku mbili mfululizo tunachota maji yaliyo na vumbi katika mabomba ya Dawasco.tunaomba uongozi wa Dawasco iwajibike kwa uzembe wa kushindwa kuyatibu haya maji,wananchi tuna wasiwasi na haya maji yanaweza kuwa na wadudu waenezao magonjwa
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kutokunywa maji ya kutosha husababisha kuvimbiwa (constipation)

    Kuvimbiwa ni ile hali ya mtu kupata haja chini ya tatu kwa wiki au haja kuwa ngumu. Hali hii hutokea wakati utumbo mpana unaponyonya sana maji kutoka kwenye kinyesi na kukifanya kuwa kikavu na kupelekea kuwa ngumu kutoka nje. Sababu za kuvimbiwa ni pamoja na:- Kutokula vyakula vya nyuzi nyuzi...
  5. albab

    JamiiForums Tanzania Kuhusu biashara ya maji

    Baada ya muda mrefu nimepata bahati ya kuja mjini DAR ES SALAAM nikaona maji ya kunywa brand mbalimbali ikiwemo Uhai, Hill nk zikiuzwa 500-600. Cha ajabu ujazo huohuo kwetu yanauzwa 1000 hii imekaaje wadau nikisema ninunue nipeleke kule kwetu kwenye Jambo, Sequa na Kilimanjaro itakuaje....
  6. Slowly

    JamiiForums Tanzania Biashara ya maji ya chupa

    Wakuu kwema , natumaini mpo pouw , huku tukiendelea na msiba kdog mdogo.... Nimeona fursa sehemu ya kuweka depot Kwa ajili ya kuuza maji haya ya chupa Kwa bei ya jumla ..... Kwa wale wazoefu Kwa hapa dar maji cotton Kwa bei ya jumla kwenye gari unayanunua Kwa sh ngap unatakiwa uuze cotton sh...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga SC wakiambiwa ni ' Vichwa Maji ' / ' Kipa Katoka ' achilia mbali ' Utopolo ' wasiwe Wananuna

    Kauli za Mashabiki wa Yanga SC kabla ya Mechi ya Simba SC na El Merreikh leo.... " Leo mtafungwa hamtoamini " " Mtakoma mnacheza bila Watazamaji leo " " Leo mmekomolewa na CAF hivyo mnacheza bila Mashabiki na hamtoingia na Paka wenu wale " Kauli za Mashabiki wa Yanga SC mara baada ya Simba SC...
  8. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Utapeli wazidi Nigeria, wenye magari wauziwa maji badala ya mafuta sheli

    Nawasalimu members wote, Video ya kituo kimoja cha Mafuta cha Fatgbems nchini Nigeria imesambazwa sana katika mitandao ya kijamii kwa kuuza maji badala ya Mafuta ya petroli kwa wateja wake, kulingana na BBC Pidgin. Video hiyo ilisambaa baada ya baadhi ya wateja kujitokeza na kuanza...
  9. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas, unapigwa changa la macho juu ya Makandarasi wa Maji

    Kama kuna Wizara ngumu kwa makandarasi nchi hii, basi ni Wizara Ya Maji. Wizara hii haijielewi katika fani ya ujenzi. Matatizo waliyonayo wizara hii ni tofauti kabisa na wizara nyingine. Ni ukweli usiopingika kuwa Makandarasi wabobezi na wanaojielewa hawachukui kazi za Wizara ya Maji...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Kujengea tanki la maji juu vs kufunga pressure pump. Tubadilishane mawazo

    Linapokuja suala la kilimo cha umwagiliaji, kuna mbinu nyingi hutumika. Leo naomba kushea nanyi drip irrigation. Sasa ili maji yasambae shambani yanatakiwa yawe na pressure nziri. Watu wengine hujengea tanki juuu ambapo maji hupandishwa kutoka chanzo husika hadi kwenye tanki ndipo yashuke kwa...
  11. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Maji aagiza fundi wa mradi awekwe ndani

    Huyu ni naibu waziri wa maji, Meryprisca Mahundi. Baada ya kuchukizwa na kitendo alichokifanya fundi Imani Mussa, ambaye ni fundi wa mradi wa maji huko Kyenda, wilaya ya Ngara, mkoani Kagera. Inadaiwa fundi alitaka kuupeleka msafara wa Bi. Naibu waziri kwenye sehemu tofauti na sehemu iliyo na...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za maji safi na maji taka hazitakiwi kukatia wateja huduma za maji

    Unaambiwa kwenye sheria za Tanzania, hairuhusiwi Mwananchi yeyote kukatiwa maji pale anaposhindwa kulipia bili yake ya mwezi, hii ni kwa mujibu wa Sheria ya Maji safi na Mazingira ya mwaka 2019. “Mtu yeyote anaetumia maji ambayo yanatoka kwenye Mamlaka ya Maji Tanzania anatakiwa kisheria...
  13. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Menu hii ya mamlaka ya maji haifanyi kazi *152*00#

    Nimejaribu kupata bili yangu ya maji kwa menu ya mamlaka ya maji siku ya pili leo lakini hawaja nitumie sijui tatizo ni nini.
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya maji Sengerema yakatiwa umeme na Tanesco

    Shirika la Umeme nchini (Tanesco) mkoa Mwanza limesitisha huduma ya umeme kwenye chanzo cha maji cha Nyamazugo kinachosambaza maji wilayani ya Sengerema mkoani hapa. Meneja wa shirika hilo wilayani Sengerema, James Kabasa amesema wamesitisha huduma hiyo kutokana na Mamlaka ya Maji Safi ya Mji wa...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la maji Bwawa la Mtera wananchi watahadharishwa

    Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limewatahadharisha wananchi wa vijiji vilivyopo kandokando mwa bwawa la Mtera na Kidatu ambao wanaendesha shughuli zao ikiwemo kilimo, uvuvi na makazi kuwepo kwa ongezeko kubwa la maji kwenye bwawa la Mtera hivyo shirika hilo kulazimika kuyafungulia maji hayo...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Maji nayo yakatika mkoani Texas, Marekani, wananchi Wachota barafu kwa matumizi

    CBS NEWS Wakati Mbunge Edward Cruz akishutumiwa vikali kwa kujijali mwenyewe na familia yake kwa kuwakimbia wananchi wenye majanga kwenda safari ya mapumziko kisiwani Cancun Mexico maelfu ya wakazi mkoani Texas Marekani wamejikuta hawana maji kufuatia mabadilko makubwa ya tabia nchi. Baadhi...
  17. mchaganaduka

    JamiiForums Tanzania Sewage disposal (Huduma ya maji taka)

    TUTAFUTE: +255/0659 91 33 44 or -0764 22 68 67 Call, SMS or whatsap. 10,000 Litres price 180,000 14,000 Litres price 220,000 18,000 Litres price 260,000 -Carriage vehicle from 500 to 18,500 litres. -Suitable for homesteads,hotels,schools,colleges and hospitals. -Price is negotiable depending...
  18. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Monduli: Waziri Jumaa Awezo akuta maji hayatoki kisa Sh. elfu 50, amtumbua Meneja mbele ya Wananchi

    WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso, amefanya ziara ya kikazi katika wilaya ya Monduli mkoani Arusha na kukuta wananchi hawapati maji kutokana na changamoto mbali mbali hali iliyopelekea kuchukua hatu ya kumsimamisha kazi Meneja wa mradi wa maji wa RUWASA Nevill D. Msaki.
  19. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametengua uteuzi wa viongozi 23 wa Wakala wa RUWASA, meneja wa Mkoa wa Geita na mameneja wa wilaya 20

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametengua uteuzi wa viongozi 23 wa Wakala wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira (Ruwasa) akiwemo Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi za mamlaka hiyo, Deusdedith Magoma. Aidha, Aweso ameiagiza Bodi ya wakurugenzi ya Ruwasa kutengua uteuzi wa meneja wa anayeshughulikia...
  20. Slowly

    JamiiForums Tanzania Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

    Haya haya jamani mji umechafuka kwa mara nyingine tena... Wakati Kajala anaendelea kutrend kutokana na picha zake na Harmonize wakiwa Zanzibar ikidaiwa wawili hao ni wapenzi, leo hii yameibuka mapya baada ya Rayvanny kutoka WCB kupost video akiwa na Paula Mathysse ambaye ni mtoto wa Kajala na...
Back
Top Bottom