maji

  1. Ni wakati wa Sumbawanga kufurahia mafuriko ya maji

    HIKI ndicho tulichokuwa tunakitaka. Ndivyo wanavyosema wakazi wa Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, wanaosema hivyo baada ya kilio chao cha muda mrefu cha kukosa majisafi na salama kupata ufumbuzi. Wanasumbawanga na viunga vyake takribani 70,932 wanafungua maji ya bomba baada ya kazi hiyo...
  2. U

    Nguo kupauka kutokana na maji

    Wakuu umofia kwenu, hivi dawa ya kutofanya nguo zisipauke ni nini? Maana natumia maji ambayo yana chumvi kwa mbal, sasa nguo zinapauka sana,,, Sasa ni nini dawa yake ili zisipauke?
  3. Wajapan wamebuni mbinu ya kudhibiti matumizi ya maji

    Maji unayonawia mikono ndiyo yanasukuma uchafu.
  4. The happiest King in the world

    King Mswati III (51) wa eSwatini amenunua magari 19 na amewazawadia wake zake (zaidi ya 14) magari hayo mapya ya kifahari aina ya Rolls-Royce Phantom. Hatua hiyo imekosolewa kutokana na nchi hiyo kuwa na hali mbaya kiuchumi, huku baadhi ya wananchi wakikosa baadhi ya huduma za msingu. Mwaka...
  5. D

    Waziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa anahujumu miradi ya maji, nchi, na Serikali ya Awamu ya Tano

    Husika na maada tajwa hapo juu. Mim ni mdau mkubwa wa maji nmekuwa nikishirikiana na wadau mbali mbali wa maendeleo kuchimba visima vidogo na vikubwa maeneo yenye uhitaji mkubwa hasa kwenye kambi za wakimbizi. Pili niipongeze wizara ya maji kufanikisha uundwaji wa RUWASA hii itasaidia...
  6. Huduma za maji, serikali iunde kampuni zitakazofanya kazi kama muundo wa kampuni za simu

    Baada ya kusikiliza maoni ya Mheshimiwa Lema aliyoyatoa wiki iliyopita, nimelitafakari sana wazo lake kuhusu huduma ya maji, maji ni muhimu sana kwa maisha ya kila siku ya binadamu. Yakichukuliwa kibiashara biashara ya maji ina faida kubwa. Tanzania tumebahatika kuwa na vyanzo vingi vya maji...
  7. Niwakumbushe wale mnaomwagia watu maji kwenye birthday

    Leo maji yamekatika msithubutu kuja na yenu ya Tandika balaa.
  8. Zifahamu athari za kunywa maji kupita kiasi

    Wataalam wanashauri unywaji maji mengi, lakini ukweli ni kwamba yaweza kuwa hatari kubwa. - Yadaiwa maji huongeza uwezo wa kufikiri na kupunguza maumivu ya kichwa - Wataalamu wanahoji athari za kunywa maji kupindukia - Wanashauri unywaji wa lita moja mpaka mbili ni hatari - Hivyo ni kwa...
  9. N

    Video: Kocha wa Yanga Zahera akizomewa na kutupiwa chupa za maji huko Mwanza

    Wasukuma sasa hivi wako juu ya sheria kuanzia Bashite hadi kule makao makuu, ni noooma duuh halafu majinga ya Jangwani yakasema yakapeleke mechi uskumani. Weweeeeee jinga kabisa mngepeleka Chato stadium bora
  10. F

    Hali ya maji wilayani Monduli ni tete, wananchi wanakunywa maji ya madimbwi na mifugo. Lowassa hadi Kalanga huraaaaaahhh.

    Ktk pitapita zangu najikuta natua wilayani Monduli ambapo maji ni tabu kama Tabora na Mtwara ambapo pia nimepita. Kwa kweli wananchi ktk maeneo haya haswa Monduli wanachangia maji machafu ya madimbwi na mabwawa na mifugo. Sasa najiuliza ile Monduli ya Lowassa ndiyo hii? Nikaambiwa kuna Mbunge...
  11. Tatizo la Maji Mtama laibua mapya, Nape ashutumiwa kwa kutokaa jimboni mwake. Adaiwa kuonekana na Irene Uwoya hotelini

    Baada ya Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye kusema yeye ni Mkazi wa Kijiji kinachoonekana kuwa na maji machafu na Wakazi wa kijiji hicho kutumia maji hayo kwa shughuli zao, na Mbunge huyo kusema tatizo hilo lapo hivyo. Mdau kaja na hoja za kumuhoji kuwa anakaa wapi? Mdau anadai siku zote tangu...
  12. Ni kweli tuidai Serikali maji, au tudai sheria ya kuhifadhi vyanzo vya maji?

    Bunge litunge sheria kali ya kutunza mazingira. Baada ya sheria kali ya money laundering ambayo haina dhamana, basi ninatamani Bunge lije na sheria kali ya mazingira. Ninadhani bado sheria ya mazingira tuliyonayo haijakidhi haja au imeshindwa kusimamiwa. Udhaifu wa usimamizi au ubutu wa sheria...
  13. Hivi ni kweli maji baridi (Maji ya mito)na maji ya bahari hayachanganyiki?

    Habari wana JF! Katika soma soma yangu nimepata kuona katika vitabu vya dini kuwa maji matamu na maji ya bahari hayachanganyiki. Pia Kila mara nikielekea Zanzibar kwa boti nifikapo Msasani lazima kuwe na wimbi hata kama bahari iko shwari nikauliza nikaambiwa hapa kuna mkondo wa maji matamu (...
  14. Safisha maji na upate ladha nzuri ya maji

    PureLife Tap Maji safi ni nini? BF Suma PureLife ya Maji inashika nafasi ya 7 kati ya vifaa vyenye ubora na ufanisi wa maji kwa hali ya juu , kifaa ambacho kinaweza kuzuia chembe za 0.1amu na chembe ambazo ni ndogo mara 500 kuliko nywele. kinauzwa kwa bei ya punguzo ambayo ni 130,000/= piga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…