House4Rent 2 bedroom house inapangishwa Tabata Kisukulu (Maji Chumvi) karibu na Ubungo External 250,000

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,820
33,552
Habari wadau.

Appartment ya vyumba viwili vya kulala. Sebule jiko na choo inapangishwa maeneo ya tabata kisukulu. Ni 3km ukitokea Mandela Road EPZA ama TFDA office ubungo external.

1. Nyumba ipo ndani ya fence na kuna geti. Parking ipo ya gari ndogo

2. Umeme na maji inajitegemea

3. Vyumba vya kulala ni viwili tu. Plus jiko na choo

Bei ni 250,000 kwa mwezi na kodi ni miezi 6

Wanataka nyumba tuma text whatsapp 0789 18 70 10

20231108_104200.jpg
 
Back
Top Bottom