Je, kuna uongo juu ya historia ya vita vya Majimaji?

Kidjoh

New Member
Oct 16, 2023
3
1
Kuna haja ya kurudi pale kwenye kaburi la Shujaa Nduna Songea Mbano na kumuomba wapi alipo ficha siri ya vijana wake kukaa miaka miwili wakiwa wanapigana kwa kutumia silaha za jadi wakipambana na wajeruman waliokua wanatumia silaha za moto.

Au kuna uongo wa mtu mmoja akaona amzalilishe mzee Kinjekitile au dawa ya Kinjekitile ilikua ya ukweli ndiyo maana vita vikakaa kwa muda mrefu?
 
Kid...
Jina lake ni Nduna Abdulrauf Songea Mbano.

Vita Vya Maji Maji vilikuwa vya kushtukiza watu wakijificha msituni na kutoka kushambulia.

Hii ndiyo sababu Wajerumani waliamua kuchoma mashamba ili kusababisha njaa wananchi washindwe kuendelea na mapigano.

Abushiri bin Salim alipigana na Von Wissman na majeshi yake ya mamluki kutoka Sudan (Wanubi) na Mozambique (Wazulu)kwa miaka miwili kutoka 1988 hadi 1890.

1699392360931.png

Abdulrauf Songea Mbano
1699392444996.png

1699392845118.png

Ngome ya Von Wissman Bagamoyo akiweka askari na silaha
Imebomoka na haielekei kama itajengwa kuirudisha katika hali yake kama ilivyokuwa
Mwandishi ameiona zamani ikiwa nzima

Okay mkuu na juu ya kinjegetile kuwaambia nduguze waite maji pale risasi zinapo pigwa kuna ukweli kwa kiasi gan juu ya ili?
 
Back
Top Bottom