Tunauza Viwanja /Arusha/Boma /Kiteto

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,891
Karibuni wateja tunauza viwanja na heka kwa bei nzuri.
Maeneo nimeshayataja hapo juu.
Nimazuri kwa ujenzi na shughuli zingine . Kwa kiteto kuna heka 10 zilizoshikana kila moja inauzwa laki 350,000/= na kuna heka karibu na mjini kiteto ,tunauza ml 1 , mjini kabisa tunauza ml 2 . Maji , Umeme unapatikana ni mazuri kwa ujenzi nakulima.

Tuna heka na viwanja maeneo yafuatayo,
Maji ya chai heka kuanzia ml 18 hadi 25ml.
Viwanja karibu na mji wa maji ya chai ni ml 13 kwa ml 6 .
Katiti heka zinatofautiana bei pamoja na umbali ila vipo na vinapatikana na viwanja vinaanza ml 3.5 mpaka ml 6 inategemea na ukubwa .
King'ori heka zipo na vinatofautiana bei ,umbali .
Viwanja vinapatikana na ni bei 20 kwa 15 ml 4 .5

Njooni mkaone nitafute kwa namba zifuatazo 0699227942.
Mteja ni tunamjali nakumsikiliza .

Karibuni Wote ..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom