maisha

  1. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume wakimbia familia zao kutokana na hali ngumu ya maisha

    Kutokana na hali ya ukame inayoendelea nchini na hivyo kusababisha upungufu wa chakula. Kwenye baadhi ya maeneo baadhi ya wanaume wamekimbia nyumba zao na kuwaacha wanawake na watoto pekee katika familia. Baadhi ya wanawake Wamekuwa wakijitaftia ridhiki kwa kwa kutembea umbali mrefu kuelekea...
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Wafuasi wa Azimio wafunga barabara wakilalamikia gharama ya maisha

    Wafuasi wa Azimio katika Kaunti ya Migori wamefunga sehemu ya barabara wakilalamikia gharama ya juu ya maisha na kuunga mkono mwito wa Raila Odinga wa maandamano makubwa. =============== Azimio supporters in Migori County block section of a road in protest over the high cost of living and...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanajisahau sana. Hawajui uswazi ni kawaida watoto kulala chumba kimoja na wazazi sababu ya ugumu wa maisha

    Mshahara wa mhindi sh 150,000 halafu chumba elfu 35 utaweza kupangisha vyumba viwili? Acheni porojo
  4. Faana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamama wa Dar mtawaua Wanaume wa mikoani kwa presha

    Tupo na jamaa zangu mitaa ya Mawasiliano Dar, kuna jamaa toka Mbande sijui iko wapi, amekuja jijini akiwa na zawadi kwaajili ya rafiki yake wa kike waliyekutana naye mtandaoni, wamewasiliana na huyo mwanamama akafika mpaka lodge alipofikia akiwa na bodaboda, akaingia ndani aliko mja wake, baada...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mnaosema kwenye maisha kuna bahati

    Nasimulia hapa true stori ya maisha yangu huenda ikamsaidia mwingine hasa anayepita njia nilizopita. Ipo hivi, mimi ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto tisa (tuliohai tupo sita nashukuru MUNGU kwa zawadi hii ya uhai) kati ya watoto tisa mimi tisa watano ni kiume na nne wa kike, katika...
  6. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Karibuni tujadili maisha ya ujanani na masuala mengineyo ya kimaisha

    Habari, Karibuni katika uzi huu pendwa wenye dhima na dira maalumu ya kujadili maisha ya ujanani, kwa kuangazia opportunities, weakness, strength za Rika hili la ujana linalo anzia miaka 18 mpaka 35 kwa sheria za hapa kwetu Tanzania. Vile vile hata kujadili masuala mengineyo ya kimaisha kama...
  7. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kumsahau Ex Wako

    Mtu unayempenda akikuacha inauma. Hasa pale unapokumbuka jinsi ulivyompenda na mlivyokua na furaha. Usiku huwa ni mrefu sana. Ukiwa bado huamini kama ndo mmeshaachana(umeachika) na unaona huna matumaini tena ya kumpata kama yule uliyempenda sana. Unachoka zaidi pale unapofikiria kuanza upya...
  8. The622

    JamiiForums Tanzania Usifuate mkumbo huu kwenye Maisha

    Habari, Kuna wakati tunashindwa kuamua kufanya maamuzi juu ya jambo au mambo yaliyopo Maishani. Inatokea ipo biashara unataka kufanya, kazi unataka kuacha, safari unapaswa kufanya lakini yote hufanyi kwanza wewe, na badala yake unaamua kutafuta ushauri Kila sehemu. Sisemi ushauri ni mbaya...
  9. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zingatia Sifa Kuu 3 za Mwanamke wa Kujenga naye maisha (wife material)

    Kwanza kabla ya kuangalia sifa za mwanamke, angalia sifa zako kwanza kisha ujitathmini kama unastahili kuwa mwanamke mwenye sifa hizi. Ni muhimu kumpima mwanamke uliyenaye kama anafaa kuwa nawe maishani. Sio uwe naye sababu ndio mwanamke aliyekuonesha upendo. Ndio maana wakati wa uchumba...
  10. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya maisha niliyojifunza katika vita vya Ukraine na Russia

    1: Uwe makini kuhakiki kila move ya maisha yako. Kuna watu wako tayari kukutumia hata kama ukifa ila wao mambo yao yaende. Ukraine anatumiwa na US/NATO. 2: Jifunze kuchukua hatua mapema kwa gharama ndogo kuliko kusubiri umechelewa na kupata hasara kubwa isiyolipika. Kumbuka 80/20 Rule. Russia...
  11. Mcanada

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

    Habari zenu wananchi wa Taifa la JamiiForums, leo katika kutafakari kwangu nimewaza sana haya maisha kuna ups and downs nyingi sana ambazo zingine zina utata sana kutokana na makosa tuliyoyafanya huko way back na unatamani kuwasaidia wengine wasirudie makosa hayo. Wakati nipo chuo mwaka wa tatu...
  12. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Video: Hali ya maisha kwa watu weusi yazidi kuwa mbaya USA

    Kwa kawaida watu wengi wasio na makazi nchini USA ni wale wa asili ya Afrika, sasa najiuliza, kundi hili tu ndio wavivu wa kufanya kazi? Kundi hili tu ndio wahanga wa madawa ya kulevya? Au ni tatizo la kimfumo zaidi? Lakini pia, kwenye video hapo chini, kwa siku za hivi karibuni, na wale wa...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wa Dar es Salaam wanaishi maisha magumu mno

    Habari! Saa kumi usiku utashangaa kuona daladala ile kubwa Eacher imejaza watu na vifurushi vyao vya ujasiriamali. Mwingine kabeba utumbo wa ng'ombe, mwingine, kiroba cha ndizi, mwingine box la dagaa wabichi, mwingine ana kiroba cha embe, mwingine kiroba cha tembele, mwingine mchicha. Jamani...
  14. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Unaweza kutoboa kwenye maisha bila kuroga au kusali sana?

    Dunia hii imejaa mambo mengi sana, ukiachana na watumishi ambao wanalipwa mshahara kwa mfanyabiashara yoyote unaweza kutoboa na biashara ikawa kubwa bila kuroga? Au kusali sana? Vijana wengi naona hatutoboi maana haturogi Wala hatusali spiritual tuko naked sana, nimeenda kukodi shamba huku...
  15. Jemima Mrembo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjue ‘Yesu wa Tongaren’ anayeogopa kusulubishwa na kukimbilia kujisalimisha Polisi

    Kiongozi wa kiroho wa Kanisa la New Jerusalem sect lililopo Bungoma nchini Kenya, Eliud Simiyu. Kenya. Kiongozi wa kiroho wa Kanisa la New Jerusalem sect lililopo Bungoma nchini Kenya, Eliud Simiyu maarufu ‘Yesu wa Tongaren’amelazimika kwenda kutoa taarifa polisi ili kuokoa uhai wake baada ya...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama: Rais amedhamiria kila mlengwa wa TASAF aishi maisha Bora

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amedhamiria kila mlengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini anaishi maisha bora kama ambavyo Serikali imekusudia...
  17. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Kama Maisha yako yangekuwa kitabu, chako ungekiitaje? Na ungemtumia sababu zipi kukiita hivyo?

    Jina la kitabu changu ningekiita. NDIVYO YALIVYO. Sababu. 1. Mpaka Saa hii nimegundua kubishana Sana na hali ya maisha ni kujipotezea muda. (Ndivyo YALIVYO) 2. Mapenzi bila pesa ni bure hata waje watabiri wa nyota ILa mwisho pesa ni muhimu. (Ndivyo YALIVYO) 3. Marafiki wengi wanamatatizo...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tunduru: Ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumlawiti Mtoto wake wa miaka minne

    Mkazi wa Kijiji cha Namiungo, Wilaya ya Tunduru, Mohamed Saudi Ngwelekwe mwenye umri wa miaka 25 amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia kumlawiti mwanaye wa kumzaa mvulana wa miaka minne. Mtuhumiwa Mohamed Saudi Ngwelekwe ambaye kwa sasa ameanza kifungo chake Hukumu...
  19. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Gazeti la The Citizen kumlipa aliyekuwa Bosi wa NHC, Nehemia Mchechu Bilioni 2

    Mahakama Kuu ya Tanzania imeliamuru gazeti The Citizen kumlipa fidia ya shilingi bilioni mbili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Mchechu kwa kuchapisha habari zilizomshushia hadhi. Hukumu hiyo imetolewa leo Mahakama Kuu, Masijala ya Dar es Salaam, ikielezwa kuwa...
  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuwapuuza wanachama hawa maisha yangu JF yameboreka sana

    Unafungua JF unakuta notifications kumi na, unafungua kujua walioreply na kulike comments zako. Unaingia unakuta ni member mmoja kalike comments zako kumi! Si zako tu. Kalike thread nzima. Inakata stimu kabisa maana likes zenyewe siyo sincere. Basi kwa shingo upande ikanilazimu kuwaignore...
Back
Top Bottom