nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,011
- 1,915
Habari,
Moja ya sifa nzuri ya kijana kujiita msomi ni kuwa na misimamo ya kipekee na kitofauti maishani bila kuvunja she ria yoyote ile.
Moja ya misimamo niliyojiwekea maishani mwangu ni kama ifuatavyo.
1. Sina muda wa kumsikiliza mtu yoyote anayejiita mwanasaikolojia au mshauri wa maisha.,,hii nimejiwekea Mimi binafsi baada ya kutoona matokeo yoyote chanya katika jamii zaidi ya Kudanganya wanawake.
2. Simwamini kiongozi yeyote wa dini,ninawasikiliza mahubiri yao Ila sitamani kuwa kama wao maana mahusiano yaliyo bora ni mwanadamu na Mungu.
3. Nikipokea Simu sitaongea mpaka nipate respond upande wa pili.
4. Siombi salamu.
5. Sipendi kunyenyekewa.
6.Siwezi kuingizia Facial Expression yaani niwe nimekasirika nijichekeshe Haiwezekani.
7.Sipendi kumuuliza mtu personal Details.