Asilimia kubwa, Wanawake wana Mapenzi ya kweli. Wanaume ndio wanawaharibu

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,434
5,098
Kama umebahatika kuwa na mahusiano na mwanamke ambae hajapitia misuko suko ya mahusiano utakua shuhuda.

Wanawake asilimia kubwa wana mapenzi ya kweli na mioyo safi kabisa, tofauti na wanaume, wanaume wengi hujifunza kupenda ila mwanamke by birth wako kiupendo.

Shida inakuja wanapokutana na watoto wa pharaoh, wakatendwa kisha ukikutana nae, kila unachofanya anaona wewe ni msanii kama yule yule.

Kama mwanaume unakutana na wadada waliopitia miasukosuko tu, unaweza dhani wanawake wote wako hivyo au hakuna mapenzi ya kweli.
 
We inaonesha ni mpya kabisa kwenye tasnia ya mahusiano. Mosi hakuna mwanamke anampenda mwanaume. Kinachopendwa ni pesa.

Pili hakuna mwanamke anaweza kuvuka kishawishi cha pesa. Tatu mwanamke yeyote aliyeajiriwa boss wake akimtaka hanyimwi, hili naomba niamini ninachokisema.
 
Kama umebahatika kuwa na mahusiano na mwanamke ambae hajapitia misuko suko ya mahusiano utakua shuhuda,

Wanawake asilimia kubwa wanamapenzi ya kweni na mioyo safi kabisa, tofauti na wanaume, wanaume wengi hujifunza kupenda ila mwanamke by birth wako kiupendo.

Shida inakuja wanapikutana na watoto wa pharaoh, wakatendwa kisha ukikutana nae, kila unachofanya anaona wewe ni msanii kama yule yule.

Kama mwanaume unakutana na wadada waliopitia miasukosuko tu, unaweza dhani wanawake wote wanako hivyo au hakuna mapenzi ya kweli
Hii inaweza kukubaliana nayo, of course wanawake bhana wana mioyo meupe na wako na true love kabisa sema sasa wakakutana na wanaume wasio na malengo nao ndipo sasa anapoanza kuaribikiwa kiisakolojia.

Mi mwenye nimeshuhudia hii, kuna demu huwa ananikubali sana na nimstarabu mpole na mturivu mara nyingi tunawasiliana kwa simu kujiliana hali ila sasa siku hyo ndo akafunguka akaniambia usiwe kama yule. Kwa maana ake apo kuna mtu mwazoni teyar alisha muumiza ndo maana ile hali ina mtesa hata sasa anakuwa kama haamini na pia huwa ajiamini.

Unapokuwa na demu alafu ukamuacha ghafla mara nyingi huwa ana maswali mengi yakutaka kujua nn ambacho kime mfanya huyu aniache.

So ni vyema kama kweli umempata akupendaye we ishi naye vzuri tu, kuna wengine wanapenda yaani anakuwa yuko tayar kwa lolote kwa ajili yako, hata ukifanyaje hakuachi na yy bado anakuwa yuko loyal to you
 
We inaonesha ni mpya kabisa kwenye tasnia ya mahusiano. Mosi hakuna mwanamke anampenda mwanaume. Kinachopendwa ni pesa.

Pili hakuna mwanamke anaweza kuvuka kishawishi cha pesa. Tatu mwanamke yeyote aliyeajiriwa boss wake akimtaka hanyimwi, hili naomba niamini ninachokisema.
mwanamke yeyote aliyeajiriwa boss wake akimtaka hanyimwi, hili naomba niamini ninachokisema.

Uongo uongo mtupu
 
Back
Top Bottom