maisha

  1. Tatizo la kuwa na ukungu katika kutunza kumbukumbu limenianza taratibu, nifanye mambo yapi ili kulitatua ama kulipunguza?

    Nimekuwa na tatizo la kusahau sahau yani kitu kidogo tu kukitunza akilini nikifanye baada ya mda flani ama nikifatilie imekuwa ni ishu, Bado mimi ni kijana nina miaka 32 kwakweli naanza kuogopa hali itakuwaje nikifikia huko 50 - 60+ Kwa sasa situmii kilevi ila hapo nyuma tangu 2013 hadi 2022...
  2. Jobless mwenzangu, unafanyaje kupata nguvu mpya baada ya akili na mwili kuchoka na mapambano ya utafutaji maisha?

    Umeshatuma maombi ya kazi miezi mpaka unahesabu miaka lakini hupati kazi. Unatafuta vibarua vya kujishikiza navyo inakuwa ni mtihani. Unafanya kila kitu kujaribu kujinasua na mkwamo wa maisha ikiwemo mambo ya kiimani ila bado hupati matokeo. Uvumilivu, kupambana, ubunifu, experience, knowledge...
  3. P

    SoC03 Falsafa kuu ya maisha yenye kuleta maendeleo chanya kwenye utawala bora na uwajibikaji ili kuleta taifa bora

    Uhusiano wa kanuni hii kwenye Utawala na uwajibikaji katika maendeleo. Falsafa kuu ya maisha ni kujua kua umeumbwa hapa duniani kufanya nini, mwenyezi Mungu amekusudia wewe ufanye nini hapa duniani. dhumuni hilo la maisha lazima liwe linasaidia pia maendeleo chanya kwako na watu wengine pia...
  4. Unafikiri ni kwanini hutakiwi kuanika maisha yako binafsi mtandaoni?

    Habari Wakuu, Wengi tumekuwa tunapokea ama kutoa ushauri kwa watu kuacha kuanika maisha yao binafsi mtandaoni. Baadhi wanaelewa huku wengine ikionekana maneno yanaingia sikio moja na kutokea jingine. Baadhi wamepata madhara kwa kuanika maisha yao mtandaoni huku wengine wakifaidika na hilo...
  5. Maisha ya shule vs kuhalisia wa maisha ya kujitegemea na kulea familia

    Ukiwa Shule uliwacheka sana walimu juu ya mavazi yao. Uliona habadilishi viatu na nguo zinahesabika. Haya tuambie baada ya life la kitaa umeonaje uhalisia wa maisha ya kujitegemea na kulea familia? #ElimikaWikiendi
  6. Ukitaka kuishi maisha marefu usioe

    Naleta kisa kimoja au viwili kutetea uzi wangu. Baba mmoja mtumishi wa mamlaka moja ya serikali ana kawaida ya kumpa mke Tsh. 300k ya matumizi yake binafsi kama mke kila anapopata mshahara. Hiyo pesa haina mahusiano na pesa za matumizi ya nyumbani. Pia kampa fedha mke wake afungue miradi. Mke...
  7. V

    Maisha ni kupanga na kupanga nikuchangua picha imenifikirisha

    Kuna Ile kauli mwembamba Africa hayupo, ni juhudi zako tu. HAPA ni Jacob Steven, JB mwigizaji na director noma Bongo akiwa dogo flani na alivyo sasa. Picha hiyo inamuonyesha Jb picha ya zamani akiwa mwembamba kama sindano wakati hivi sasa ni bonge la mtu.
  8. Mwaka 2025 itabidi wanasiasa wajieleze Sana, vijana kila siku wanajinyonga kwa ugumu wa Maisha

    Wamesoma lakini it is about 10 -5 years no Employment then nyie politicians manawakejeri kwa kuwaambia wanabidi watengeneze ajira hivi Mtu anajiajili vipi bila mtaji Wala Mazingira mazuri ya uwezeshwaji. Sijui hiyo 2025 mtakuja na nyimbo gani ili tupate kuwaelewa. Elimu yenu mnayotoa katika...
  9. Iko wapi amani ya maisha yangu?

    Hope ni wazima Wana JF, Maisha ni fumbo, nilijua kuwa na unafuu wa maisha moyo wangu utakuwa na amani na furahi, lakini imekuwa sio hivyo. Nina kazi nzuri, ambayo inanipa mshahara wa kuweza kumudu gharama za maisha lakini sifurahii chochote kwa sasa. Chazo sio familia nina mke na mtoto mmoja...
  10. B

    Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

    Niliachana na aliyekuwa mume wangu miaka 5 imepita, kuachana kwetu kulikuwa kubaya sana kwa mambo mabaya yaliyopita katikati yetu. Sipendi kuyaeleza maana ni mabaya ila nilishayasahau na kuyaacha yapite. Baada ya kuachana (aliondoka bila kuniaga na kodi ikiwa tunadaiwa miezi 5 bila kulipa)...
  11. R

    Kama Watanzania tutapuuza kutetea na kutafuta haki za Marehemu, maisha yetu yatazidi kuwa hatarini siku kwa siku

    Moja ya Jambo ambalo mataifa yaliyostaarabika wamefaulu nikuwaakikishia wananchi wake haki ya kuishi. Kwamba hakuna mtu atatoa uhai wa mtu akabaki salama; lazima tu abainike. Kwa Tanzania hali ni mbaya, viongozi hata kapuku anaweza akafa kifo chenye utata tukabaki kusema tunamwachia Mungu. Je...
  12. Leo nimeokoka na kumkabidhi Yesu maisha yangu

    Habarini ndugu zangu, Leo bila kushurutishwa na mtu yoyote nimeenda kuombewa Sala Ya Toba kanisani Tabata Segerea. Baada ya kuhangaika na maisha ya Ujana nikaona ni vyema kumpokea Bwana Yesu na kumtumikia kabla hazijaja siku zilizo mbaya. Ndugu zangu walokole naombeni mniombee safari yangu ya...
  13. R

    Je, wewe katika scenario hii utarudi ili ufungwe miaka 30/ Maisha?

    09.12.2019 Mahakama Kuu ilimwachia huru mtuhumiwa wa madawa ya kulevya. Jana 28/4/2023 Mahakama ya Rufaa ikamuona ana makosa ya madawa ya kulevya , ikamtia hatiani na kuamuru arudi /akamatwe afungwe miaka 30/maisha. Je wewe katika hali hiyo utarudi? Mimi sitarudi yote ya kwangu nyumbani...
  14. Ni vipi Mungu anahusika kuwaleta duniani watu wanaozaliwa na ulemavu unaofanya maisha yao kuwa Jehanamu, Ni baraka yake kuwa hivyo ?

    Nimechoka na majibu ya mkato kwamba mambo ya Mungu tumwachie Mungu mwenyewe, hili jibu haliwezi kamwe kutosha kwa maisha magumu wanayopitia walemavu, Ufafanuzi unahitajika !! Wanasema kila kitu ni utukufu wa Mungu, watu wote wanaozaliwa wameumbwa kwa baraka yake, Kwa walemavu je ni baraka kwa...
  15. Mwanaume Maisha ni Mapambano, chagua moja kati ya haya

    Kupambana sio kutafuta hela tu. Kupambana ni kitendo cha kuwa bora na mwenye thamani zaidi kila siku. Tangu umezaliwa hauna thamani kulinganisha na mtoto wa kike. Usikae kulalamika kuhusu hilo. Ni juu yako kupambana na kukuza thamani yako. Na utaheshimiwa zaidi kadri unavyozidi kupanda juu...
  16. Kuna baadhi ya wavuvi wanatumia vyandarua kuvulia samaki, huu sio uhujumu wa maisha ya viumbe vya majini?

    Uvuvi kwa kutumia vyandarua vya kuzuia mbu unasababisha hata wale samaki wadogo ambao walikuwa na muda wa kukua kuvuliwa na mwisho wa siku idadi ya samaki inapungua. Serikali isimamie uvuvi huu wa holela na kuhakikisha unahitimishwa.
  17. Hivi lini hii dunia wajinga wataisha? Hivi msomi nae anaweza kuwa na vivyo hivyo ukawa mjinga! Dada Betty ujinga umekufanya upoteze maisha

    MAREHEMU BETTY AJENTA CHARLES: Hadithi ya Betty Ajenta Charles (pichani), inasikitisha. Mwili wake umefukuliwa baada ya kufunga mpaka kufa katika sakata linaloendelea nchini Kenya la Mchungaji Paul Mackenzie ambaye anawafungisha Wakenya hadi umauti ("Fasting to Death") ili wafike Mbinguni...
  18. Jinsi ya kuokoa maisha ya mtu aliyepaliwa mfumo wa hewa

    Kupaliwa kwa mfumo wa hewa ni hali hatari na inahitaji hatua za haraka ili kumuokoa mtu. Hapa ni hatua za kwanza ambazo unaweza kuchukua ili kumuokoa mtu aliyepaliwa mfumo wa hewa: Tathmini hali ya mgonjwa: Angalia hali ya mgonjwa na kubaini ikiwa yupo katika hali ya hatari. Kama mgonjwa...
  19. Yule Mzee aliharibu maisha ya Mabinti wengi Ila yangu aliyaharibu na kuyatengeneza mwenyewe

    Niko nimejilaza zangu kitandani nikiwaza na kuwazua huku nikifurahia mvua na radi zinazoendelea huko nje. Katika kuwaza na kuwazua nikamkumbuka Clepatina wa umri wa miaka saba au nane hivi aliyekua akiishi na baba na mama yake wa kambo huko kijijini. Mvua hizi zimenikumbusha mbali utotoni...
  20. Sensa 2022: Matokeo yanaonesha Watanzania wengi "hukata moto" miaka ya 30+. Je, ni hali mbaya ya maisha?

    Ni Kwasababu ya ugumu wa maisha? Au kutokana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza? Au ni kutokana na mtindo wa maisha?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…