Kulala: miaka 26
Kazi: miaka 12
Kuangalia TV: miaka 8.8
Ununuzi: miaka 8.5
Kula na kunywa: miaka 3.6
Kuvinjari mtandaoni: miaka 3.2
Mitandao ya kijamii: miaka 3
Mikutano: miaka 2
Utayarishaji: miaka 1.5
Kusafiri: miaka 1.5
Kufanya kazi za nyumbani: miaka 1.25
Mazoezi: miaka 1.2
Katika baa na...
MDOGO WAKO:Kaka naomba 600,000/= Kwa ajiri ya ada . Walisema nisipolipa hawatanipokea kabisa.
BABA MWENYE NYUMBA:Missed Calls 83 na Ujumbe: Leo nakupatia Nafasi ya Mwisho
BINTI WA JIRANI: Nafikiri Nina Ujauzito wako.
RAFIKI YAKO: Kaka ,fedha yangu lini unanipa? Ni mwisho wa mwezi Sasa...
Inasikitisha sana. Mtu kuchagua kuishi maisha haya. Ni ngumu sana kuupigania ubingwa. Ni ngumu lazima utapoteza matches na kuja poteza Ubingwa.
Hivi nakwambia uwezekano wa kuvuliwa Ubingwa ni mkubwa sana. Mkubwa sana. Sasa msipoandaa mazingira mazuri kwa watoto wenu huko mbeleni mtakuja jikuta...
Bajeti imeingilia maisha ya watu ambayo tayari ni magumu kuwahi kutokea katika kipindi cha miongo kadhaa iliyopita.
Bajeti imeweka kodi katika bidhaa ambazo bei zake ni kero kubwa kwa wananchi kuwahi kutokea tangu nchi ipate uhuru;
1. Kupandisha kodi ya mafuta kwa hali ya mafuta ilivyo sasa ni...
Habari wana jamvi?
Kama kichwa kinavyojieleza nimeanzisha thread hii ili itusaidie sisi kujua je hizi ndoto zinatofautiana au sawa kwa watu sawa au wanaoishi maeneo tofauti lakini zinakuwa na maana moja au ni tofauti?
Andika ndoto yako ya usiku wa leo hata siku zijazo utakazoota hii...
Kuleta changamoto zinazoyakumba maisha ya wengine ni kwamba wengi wetu tunakosa ujasiri wa kuthubutu na kufanya mambo mbalimbali yaletayo katika maisha yetu.
Changamoto hii imekuwa ni kubwa sana kwa kizazi hiki.
Wengi hupata mawazo mazuri ila wengi huishia kwenye hatua ya awali yaani ya...
Mwanamke ni kama ua, lisipotunzwa linapoteza mvuto kabisa. Hivyo usidanganyike kuolewa na mchovu akaanza kukulaza chini kwenye mkeka, mnakaa sakafuni, mnapikia kuni au jiko la mkaa mpk kucha zinajaa masizi.
Saloon unakuwa unazipita tu kama kituo cha polisi maana wewe nywele husuki bali unakata...
Habari zenu wakuu !
Naomba mmtu mwenye uzoefu na maisha ya Poland, ashushe ABC zake ( ambae alikaa mda mrefu ikiwa kwa masomo au maisha )
Asanteni wakuu!
Kwa mwenendo wa nchi yetu ulivyo sasa.
Itoshe tu kusema,endelea kupumzika kwa amani mheshimiwa John Joseph Pombe Magufuli.
Imefikia mahali mpaka watesi wako wanakumiss huku duniani.
Watu hawana huruma na wastaafu, huwapa michongo ya pesa wanaishia kufa kwa pressure. Ukistaafu idea nyingi sana unaletewa na ndugu.
Pana mstaafu alipata milion 250. Shemeji yake akamwambia tufate pikipiki China ukileta kwa jumla pesa ipo, akampa pesa shemeji yake akalala nazo kona China, hadi...
Anaamka asubuhi anajiangalia kwenye kioo. Nimemshangaa sana. Halafu anatumia dk 10 zote akinyoosha nguo. Haya maisha mtu hana kazi anategemea kula kwangu. Anataka apendeze . Ili iweje?
Kama vile haitoshi kanaondoka asubuhi hii kanajipulizia na utuli. Nimekwazika sana. Huyu dogo kamaliza Chuo...
INTRODUCTION
Nawasalimu kwa jina la chama kubwa YANGA basi jibuni "Ubingwa uendelee""
Naanza Mimi.
Mimi nilizaliwa mjini Daslam! Miaka ya 1990. Wakati nazaliwa tulikuwa tunaishi Mwananyamala B
Na nikiwa mdogo nilifiwa na wazazi nikachukuliwa na ndugu kwenda kuishi mwananyamala Komakoma.
Hapo...
50% ya kipato chako fanya matumizi ya muhimu / ya lazima mfano kulipa kodi au ada ya mtoto.
30% ya mshahara au kipato chako tumia kwa matumizi yasiyo na ulazima, mfano kukunua nguo, radio, saa, kwenda beach, kwa kifupi mwagilia moyo, hivyo ni vitu ambavyo sio vya lazima yaani usipovifanya...
Amani iwe na nanyi!
Kama kichwa cha mada hapo ,je ilishawahi kukutokea kukosa au kupoteza kitu ulichokipenda iwe kazi ,masoma ,mpenzi, ajira halafu ukapata kingine kikawa bora zaidi.
Kama baadhi yetu tunavyoaamini "kama kitu sio riziki yao au halali kwako basi huwezi kukipata ".
Niongezee...
Nimejiskia ku share hii sehemu ndogo ya maisha yangu ambayo sikua naijua kiundani mpaka hivi juzi kati.
Twende pamoja.
Nilifiwa na mama angu mzazi nikiwa darasa la kwanza 1997.
Sikua naishi nae maana mama alikua mchepuko tu kwa mzee hivyo walishindwana mapema baada ya mimi kuzaliwa.
Siku...
Katika Mashindano ya mchezo wa kuogelea huko Budapest, Anita Alvarez wa Marekani alizama chini ya swimming pool.
Akitazama huku na kule na kugundua kuwa Anita alikua ndani ya maji muda mrefu sana, kocha wake, Andrea Fuentes mara moja akaingia ndani ya maji na kumuokoa. Anita alikuwa amepoteza...
Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya lori lenye kontena kufeli na kuparamia wafanyabiashara na kwenda kuingia moja kwa moja kwenye jengo lenye ofisi za michezo ya kubahataisha katika eneo la Yombo Vituka Mwisho wa Lami.
Ajali hiyo imetokea hii leo Juni 13, 2023...
Vijana wa Kiume wengi wanapenda Sana kuanzisha mausiano na mwanamke kisa ni mzuri, Ana takle Mara mwonekano wa weupe yote sawa Ila kuweni na Akili Acha kabisa kutongoza mwanamke maskini Kama maisha yako ni ya kuunga unga huna mifereji ya pesa za kuelewaka tumia akili.
Kuchukua Mwanamke maskini...
Muandishi: N. D. Yongolo, 1953
Unaweza kukisoma ndani ya maktaba app. TuPm Kuungwa.
1 WATOTO
2 MICHEZO NA DESTURI ZA WATOTO
3 NDOA
4 DINI NA IMANI YA WANYAMWEZI
5 SHERIA NA HAKI KATIKA NCHI
6 UCHAWI 417 MATUMIZI YA DAWA
8 HOFU NA MIIKO YA VIFO
9 MAMBO YA POMBE 6510 MAMBO YA URITHI
11 JINSI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.