Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Chakorii

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
18,579
50,666
Habari za mchana watu wangu wa nguvu..ni matumain yangu nyote mko salama na mnaendelea kuimalizia jumapili mwanana kabisa...🧚‍♀️🧚‍♀️
Maisha ni mafupi bhana waaaahiii..😅😅tujifurahishe tu hakuna namna🥂🥂🥂

Huo ulikuwa ni utangulizi tu 😅😅ngoja nirudi kwenye uzi sasa🤪🤪🤪

Aiseh hakuna kitu sipendi kama kuswaki,kuvaa kyupi🙈kuvua na kuvaa nguo🤣🤣ila nakuwa Sina namna. Mengine nitaendelea kuyakumbuka kadri mda unavyoenda😅😅😅.

Karibu na wewe ushee nasi ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yako ya kila siku lakini unakuwa huna namna😁😁

Karibuni wapendwa 🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🥂🥂🥂🥂
 
Nikisema sikupendi utafanyaje

Mimi buana sipendi kutembea tembea,yaani kutembea kwa namna yoyote ile iwe kwa gari,miguu nk.
Natamani ningekuwa na kila kitu nitoke j2 tu kwenda kuabudu.
Naona unataka kunitisha..😂 mpk kamoyo kamefanya pwaaaa..! Wacha zako..

Kuna watu huwa wanatembea bila hata sababu! Sababu zitapatikana hukohuko kwenye matembezi..😜
We dawa yako ni kukutuma tu..
 
Naona unataka kunitisha.. mpk kamoyo kamefanya pwaaaa..! Wacha zako..

Kuna watu huwa wanatembea bila hata sababu! Sababu zitapatikana hukohuko kwenye matembezi..
We dawa yako ni kukutuma tu..
Yaani mimi maisha tu yananifanya nitembee.
Last week kahoma kalinibana,yaani nimekaa chumbani siku km 4 hivi sijatoka hata sebuleni..halafu nilikuwa naona kawaida,cha ajabu nilipotoka wakawa wananishangaa

Ukinioa babe jitahidi kuwa na kila kitu nyumbani.. sipendi kuzurura mie, sipendi stori na watu, napenda kukaa mwenyewe na ikiwezekana Jenga nyumba porini huko tukakae huko
 
Porini tutakaa tu nami ndo nakokupenda huko ili tunanili vizuri..😜
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom