Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,534
Habari ya mchana watu wangu wa nguvu kabisa mnaendeleaje na afya zenu jamani..mmeshapata lunch jamni maana ndo muda wenyewe huu
Siku zilizopita tulizungumzia vitu ambacho hatuvipendi katika maisha yetu ya kila siku lkni tunakuwa hatuna namna.
Watu mlitiririka sana.
Sasa leo tunazungumzia vitu tuvipendavyo katika maisha yetu ya kila siku
Nitaanza na mimi mambo yasiwe mengi
Napenda
1. kupika
2. kula
3. kuishi/kukaa sehemu/au mazingira yaliyotulia mnooooo niwe nasikia sauti za ndege tu.
4. kupiga “game” sehemu ambayo sio rasmi kama vile sebuleni jikoni Nikiwa nakatakata vitunguu mguu mezan (hapa inabidi niwe makini na pilipili mambo yasije yakaharibika) basi tu mradi vurugu tu mara vitunguu vimeungua, nyanya sijui zimefanyaje huko mara sijui hiki kimefanyaje basi ni vurugu mechi mtindo mmoja
5. kuwatch movie na babe huku nimemlalia kwa kifua. Yatakayojiri wakati tutakaokuwa tunaangalia movie nitarudi kuwahadithia
Tusichukulie maisha siriazi sana jamani tufurahi kidogo ndugu zanguni
Wikend hiiiyoooooooo ndo kwanza mpya bado haijachakaa woooooozaaaaaahhh
Waaaaaaaaahhiiiiiiiiiiii, maisha ndo haya haya tu furaha tu hakuna namna si ndio eeeeheeee
Take gud care of yourselves guys