Dar es Salaam ya Tanganyika ilikuwa na fursa nyingi sana za kazi kwa vijana. Vijana wakitoka mikoani na walipata ajira na kuendesha maisha yao. Ajira nyingi zilikuwa Bandarini kazi ya ukuli, hii ilikuwa ni nguvu yako tu, wengi walikua ni vibarua wa siku. Kulikua na kazi za Reli, kung’oa...
Tangu tarehe 27/10/2020 Kilichokuwa kinaendelea ni kuminywa (kufungwa) kwa mitandao ya kijamii. Swala ambalo limehusishwa na uchaguzi kwa namna moja au nyingine.
Ila chaajabu ni kwamba hawajafungia Internet, maana yake ni kuwa waeza kutumia bando lako kwenye maswala mengine ila sio Social...
Jamanii eeh, uchaguzi umeshamalizika salama, hongera kwa walioshinda na pole kwa walioshindwa. Wajipange wakati mwingine.
Mitandao ifunguliwe na shughuli ziendelee.
Hatuwezi kuendelea kuwa watumwa wa uchaguzi. Mambo yameshakamilika, maisha yarejee kwenye mstari wake.
Wanaohusika na...
Sina mengine zaidi ya hayo, heading inajieleza vizuri.
Ni kweli mtakosa mapato, lakini mnaweza kujibidisha na kupata shughuli nyingine hata ikiwezekana kilimo.
Tuachieni hii miaka mitano ili tujionee wenyewe.
Msihangaike kwenda mahakamani maana huko mtapoteza fedha na muda wenu bure...
Hivi Ndugai au yeyote yule atakaye kuwa spika wa bunge atajisikiaje pale atakapoangalia kila upande bungeni hamuoni Mbowe, Sugu, Zitto, Lema, Heche na wapinzani wengine machachari?
Hakika watawamiss sana na ndipo mtagundua kosa mlilofanya sasa kama tu bunge lilimkosa Lissu likapoa, je likikosa...
Hii ndio Demokrasia ya Tanzania🇹🇿. Ushindi wa CCM ni aailimia 99.9 upinzani umeshatoswa baharini.
Bunge liapishwe, katiba ibadilishwe, Magufuli awe rais wa maisha Kama yule wa China.
Tuvunje uhusiano na mabeberu wa magharibi, sisi Ni nchi tajiri wala hatuhitaji kusaidiwa.
Tupige marufuku...
Watumiaji wa mtandao wa twitter, Telegram, wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo.
PIA SOMA
= > Leo Mitandao ya kijamii Tanzania Bara imekuwa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter na Telegram zimeguswa
Hakuna aliyetegemea uchaguzi uwe wa huru na haki. Lakini hakuna aliyetegemea wizi uwe wa wazi na wa kijinga hivi.
Chama Cha Mapinduzi, kama chama kikongwe barani Afrika, kimethihirisha hakipo tayari kuachia madaraka kwa njia ya sanduku la kura. Si Bara wala si Visiwani.
CCM si chama cha siasa...
Habari,
Kuna watu wanajua ila wanajisahaulisha kuwa nchi za Magharibi ndizo zinazotusogeza mbele au kutusapoti kwenye sekta ya Afya na Elimu kwa kiasi kikubwa.
Hii iko wazi miaka na miaka.
Watu wa Magharibi hakuna kitu wanajali kama Demokrasia ambayo imeminywa kwa miaka 5 yote ya Magufuli...
Wana JF,
Tunashukuru Mungu uchaguzi wetu umekuwa huru na haki. Sasa maisha baada ya uchaguzi yameanza rasmi.
Neno linalotamkwatamkwa sana katika kipindi hiki cha maisha baada ya uchaguzi ni "mawakala".
Napenda kuwakumbusha wanasiasa na vyama vya siasa kutambua yafuatayo kwa ajili ya chaguzi...
Wasalaam,
Siku zote mkiambiwa iPhone ni kama gereza mnashupazaga shingo ooh...hamna simu kama Apple iPhone, security kubwa sijui blaah blaah!
Vipi mbona mmetandikwa kombora na wenye mtandao mmetulia tulii😂😂😂 toka jana hama insta😂, gmail, wala ukwaju! Ifike mahali Android ipewe heshima yake...
RAIS Dk. John Magufuli amewataka Watanzania kutumia utashi wao kuchagua viongozi wanaowafaa, watakapokwenda kwenye vituo vya kupigia kura kesho.
Akizungumza jana wakati wa uzinduzi wa msikiti uliojengwa katika Wilaya ya Chamwino jijini Dodoma, aliwataka Watanzania kuhamasishana kwenda kupiga...
Nimesikitishwa na upuuzi uliofanywa na wanasiasa wanaotumia nguvu nyingi kutaka kutawala na hatimaye wanaingilia uhuru na haki yetu.
Kitendo cha kulimit mtandao ili usifanye kazi kwa baadhi ya social media ni kuingilia maisha yetu binafsi na ni ujinga kwa kiongozi anayelipwa mshahara wa kodi za...
Ndio yanayojadiliwa sasa na vyombo vya habari vya nje vikiwahoji watu mbalimbali nchini, ni mjadala wenye usawa na haki sio kama ule wa TBC fuatilia kwenye redio kupitia DW sasa.
Inaonekana watu wamechoka na sera zilezile za miundombinu.
Wakuu poleni na hongera kwa shughuli za kutafuta riziki.
Naomba wale wote wenye experience ya maisha ya ghetto pindi wapo chuo, mnaweza nipa muongozo mdogo wenu ni kwa namna gani nitaweza hustle kiume.
Ikiwa ni pamoja na ushauri namna ya kupambana na shughuli nyingine nje ya masomo, maana...
NASAHA MUHIMU SANA...
Maisha mazuri au mabaya hayaletwi na kiongozi, bali ni kwa yale yanayochuma mikono yetu, tubadilike na tuwe wema kwanza sisi!
Tusijidanganye kwa kura, tufanye subra na tumche Allah tumtii kiongozi tuliyepewa na tuwe waadilifu.
Kura haziwezi kumuondoa au kumweka kiongozi...
Ewe kijana mtafutaji kama huna 40 yrs sio time ya kujipa mastress just work hard and enjoy it to the fullest, maisha ni sasa na sio baadaye ambayo huijui.
Ukizaa zaa kwa mpangilio watoto ambao hawatakupa mastress, sana sana mtoto mmoja wamezidi sanaa wawili.
Tafuta pesa inavyotakiwa...
TANDAHIMBA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais, atahakikisha anaboresha bei ya korosho na wananchi wa Tandahimba na Mtwara wananufaika na kilimo cha korosho
Pia, Prof. Lipumba amesema kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.