BIBLIA ILIPOSEMA "Enyi Wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI" Mungu alikuwa anajua anachosema. Kama huna akili Mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "Women are so Complicated"
Wanawake huwa wanaongea vitu 'Kirahisi-rahisi tu' lakini huwa vinamaanisha 'Vitu Vigumu Ajabu'...
Tunaweza kuneneana uongo lakini siyo wa kiwango hiki. Kama kweli waziri wako alikujibu hivyo kama unavyosema hapa basi huwa hufuatilii mambo kwa undani.
Na kama ulijua hili ila ukaamua tu kuwaacha wanakawe wateseke kwa sababu tu unamchukia muwakilishi wao basi machozi ya watu kama walilia...
Habarini wakuu polen na pilika za kampeni hizi zinafurahisha na kuhuzunisha pia .
Naomba kwenda moja kwa moja kwenye mada naomba kujuwa kwa uhitaji wa huduma za IT kwa mkoa huu ikiwemo kufanya programing na networkng soko lake likoje na vipi kuhusu mazingira ya huko na vyumba vya kupanga kwa...
Poleni na majukumu wananzengo
Mambo ambayo binafsi nakereka sana sema kwa sababu ya system nashindwa kuamua na sina pa kupereka
Wazazi kuforce vijana wao tuoe, kila mtu ana akili yake bhana, muache mtu aishi anavoona yeye sahihi
Kuona watu wakipinga starehe za watu mfn pombe, ganja na...
Najaribu tu kuwaza, assume zile ups and down, happy moment ulizopitia na kila aina ya changamoto ulizo experience katika maisha yako yoote yageuke kuwa ndoto za usiku.
Kwamba hayana uhalisia wowote.
Then unakuja kushtuliwa na Bi mkubwa ako uwahi shule ndo kwanza upo STD III
Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemhukumu kifungo cha maisha jela, Erick Kasila (39) baada ya kupatikana na hatia katika mashtaka matatu likiwamo la kumlawiti mwanamume kwa madai kuwa alimfumania gesti na akiwa na mke wake.
Kasila anadaiwa kumlawiti Idd Kambi katika nyumba ya kulala Wageni ya...
Kwa mara yakwanza siku ya ijumatatu niliomba kazi. Kuna rafiki yangu alinifowardia message WhatsApp, kuwa kunamahala wanatafuta Mechanical engineer, wakufanya kazi za maintenance katika machines kiwandani. Pamoja nakufanya installation za baadhi ya machines. Basi nikatuma cv, siku hiohio usiku...
HALI YA MAISHA YA WATANZANIA NI NGUMU SANA VYUMA VIMEKAZA NICHAGUENI OKTOBA 28, NIFUTE UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE "PROF.LIPUMBA"
HANDENI VIJIJINI
Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha...
Tabia ni kama mazoea ya mtu na kama inavyojulikana tabia ni ngozi.
wewe mpaka ulipofikia hapo ni tabia gani huzipendi kwa watu na huna cha kufanya? Au ni tabia gani kutoka kwako huipendi na unajaribu kuiacha?
Kamwenee bee, miaka hiyo natoka advance nikaomba course ya law chuo flan cha serikali. Nashukuru Mungu sana nikipata. Time ile tuliripoti chuo kama sikosei mwezi wa kumi hivi, basi kufika chuoni rasta nilikuwa mwenyewe tu, enzi hizo marasi hatukuwa wengi. Ila tulikuwa wale marasta by nature sio...
Watu wengi wanasema maisha baada ya chuo huwa ni magumu sana kwasababu ule mzunguko wa kupata pesa kama kipindi mtu yupo chuo huwa ni mgumu.
Kwa experience yako unampa ushauri gani mtu ambae amemaliza chuo mwaka huu juzi juzi tu hapo afanye kitu gani ili kupambana na maisha ya kila siku?
vile...
Nina miaka kadhaa inayoniruhusu kuwa na familia, lakini pamoja na elimu yangu, sina hela ila nina deni kama la milion 14 hivi ninazodaiwa na bodi ya mikopo, hapo sijaweka zaka ambazo sijui nilitoa lini? Kiukweli moja haikai wala mbili haisimami, Maisha ni magumu, rafiki yangu mwajiriwa na mnazi...
NGUZO KUU TANO ZA MAISHA
Na, Robert Heriel
Maandishi ya Robert Heriel kwa Lugha ya Kiswahili.
Maisha ni kuishi, na kuishi ndio maisha yenyewe. Hapana shaka ndoto ya kila mwanadamu ni kuishi maisha mazuri na ndio sababu watu wanahangaika kuhakikisha maisha yao yanakuwa mazuri.
watu wengi...
Habarini ya Jumapili wakuu, mimi ni kijana wa miaka 23 nipo sam wea chuoni namalizia degree yangu fulani, leo nimekuja kuomba msaada wa kimawazo namna ya kuyaingia maisha ya mtaani.
To put things in persective, ninaishi kwa wazazi wa hali ya chini(milo miwili ya kubahatisha) Dar es...
FAHAMU KIDOGO KUHUSU LOAN BOARD NDUGU!
Bodi ya Mikopo imewanufaisha watanzania wengi sana ikiwa ni pamoja na kuwajengea watanzania misingi ya kielimu kwa ajili ya future katika maisha yao. Aidha, Asilimia 80 ya wanufaika wa mikopo ya bodi ni wale kina KAYUMBA, yaani watoto wa maskini.
Sheria...
Hi
As thread said maisha ambayo fake life is so expensive kama kuna mtu anayaishi aachane nayo. Mpaka nimekuja kusema hiki kitu it means nina experience kwamba nishamuona mtu ana struggle kuishi yale maisha ya masupa staa na rich kid (wakishua) akati maisha ake ni ya kawaida sio mabaya sana...
Kichwa cha uzi ni nukuu ya kauli ya jamaa yangu mmoja ambaye sasa hivi yupo likizo huko kijijini kwao mkoani Songwe.
Jamaa yangu huyu ananitaarifu kuwa asubuhi ya leo alikuwa amejihimu mapema kumuwaisha hospitali ya mkoa dada yake ambaye usiku mzima wa kuamkia leo amekuwa mahututi.
Jamaa...
HALIMA MDEE, FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO UMEPELEKA WAPI?
Bunge la JMT limetunga Sheria iliyoanzisha na kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo kwa lengo la kurahisisha na kumsaidia Mbunge wa kuchaguliwa Jimboni kupata fedha hizo kwa lengo la kurahisisha kutatua changamoto mbali mbali za Maendeleo...
Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM Dkt. Magufuli amewatakia kheri wazee wote katika kuadhimisha siku ya wazee duniani.
Kadhalika mh Tundu Lisu mgombea urais wa JMT kupitia Chadema amewatakia kheri ya siku ya wazee duniani wazee wote.
Maendeleo hayana vyama!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.