Maisha ya wapiga kura vs maisha ya wapigiwa kura

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1603078831601.png
1603109084888.png


1603078988834.png
 
Nimependa uwezo wake wa kuifanyia wiring hiyo nyumba😅 na sehemu pekee inayoonesha kuwa imara ni hapo palipofungwa mita ya umeme.😊

Imekosekana service line tu hapo umeme uwake.
 
Miaka 59 baada ya uhuru, watu wana mansion na hela ndani na nje ya nchi, wengine wanakula hundreds of millions kila mwezi, alafu bado kuna jinga linachagua CCM eti wameletwa na mungu, haha nyoko.
 
Ila CCM wana dhambi sana kwa kweli na bado hawakomi na hawana hura
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom