Enyi Wanaume ishini na wake zenu kwa akili la sivyo Mwanamke atakukoroga maisha yako yote

yuda75

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
520
1,378
BIBLIA ILIPOSEMA "Enyi Wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI" Mungu alikuwa anajua anachosema. Kama huna akili Mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "Women are so Complicated"

Wanawake huwa wanaongea vitu 'Kirahisi-rahisi tu' lakini huwa vinamaanisha 'Vitu Vigumu Ajabu'. Wanawake wanaweza kukwambia "Mi nataka Mwanaume anipende tu BHAAS. Ukidhani kwamba Upendo wako unatosha kwake UTAKUWA UMEFELI
Wanawake wanahitaji vitu 4 na vyote VIENDE KWA PAMOJA (Perpendicularly), vitu hivyo ni

1. HELA
2. GOOD SEX
3. CARING MAN
4. MUDA

Kuna Wanaume wanajua "Kukaza vizuri" mwanamke anatosheka,na wana hela ila WAKO BUSY...Hii factor ya wewe kuwa Busy tu itamfanya mtu mwingine mwenye Muda "Amkaze kiulaini kabisa" halafu wewe utashangaa"Mke wangu nampa kila kitu,hela za kila kitu nampaYES. Amekaa muda mrefu uko bize unasaka hela na adui namba 1 wa Mwanamke ni LONELINESS....

A lonely Woman can easily be trapped by anyone..hata Houseboy akimpa ATTENTION endlessly anakula mzigo
Unataka Mwanamke awe wako peke yako? Fuata kanuni ya KIBIBLIA, ishi nae kwa akili. Mpe MUDA. Mpe HELA...Mpe Kisago kitandani...Mpe CARE na ATTENTION
 
Kumuelewa huyo kiumbe unajisumbua. Mwaga jivu fanya yako. Anayetaka kujiweka muachie nafasi yamkute na yeye
 
Back
Top Bottom