maisha

  1. NIKIMU

    JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa yamenishinda

    Naishi na mzazi mwenzangu nahisi hana nyota ya mafanikio nifanyeje kila ninachofanya sifanikiwi kabla ya kuwa nae mambo yalikuwa hayakwami. Naombeni ushauri kwa nyogeza tu alinichanganya baada ya kumfumania na mchepuko mwaka na nusu sasa ananiomba msamaha mpaka leo anajutia na kulia kila wakati...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukiona maisha yako ni magumu basi jua kuwa kuna Mtu amekuchezea (amekuroga)

    Habari zenu, Waswahili husema wendawazu ni kufanya jambo ulilofeli awali kwa namna ileile lakini ukitegemea ushindi. Watu wengi Afrika wana bidii ya kutafuta fedha au maisha lakini maisha yenyewe hawayaoni. Afrika wananchi hurogana ili tu kuipa furaha mioyo yao ya wivu. Haijalishi umesoma au...
  3. Mr simple M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu formula ya maisha na mafanikio

    Nimekuwa nikisikia na kusoma hoja na mijadala mbalimbali hapa JF na kwa mara great thinker wengine mbalimbali kuhusu formula ya maisha watu wakidai maisha hayana formula ni bahati tu ya mtu wengine wakidai juhudi na bidii ndio formula ya maisha na wengine wakaenda mbali zaidi na kusema maisha ni...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzake wakapate ushauri nasaha kwa Mama Sophia Simba, kuna maisha bila Ubunge wasiogope

    Nawashauri tu wale Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA kwamba badala ya kulialia kupitia media ni vema wakajifunza " subra" kwa mh Sophia Simba Mbunge wa Viti Maalum CCM. Subira ni jambo jema kuliko kupagawa na kukurupuka. Mama Sophia Simba alivuliwa uanachama na kupoteza Ubunge " halali" lakini...
  5. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Lengo la kurefusha maisha ya mwathirika bila kumpa masharti ni lipi?

    Najua hujafa hujaumbika, so usiniletee misemo kama hiyo. Napendekeza kwamba kabla ya mtu yeyote kupewa dawa ya kurefusha maisha (kabla hajafa kwa side effects za dawa); apewe form maalum atakayosaini na kuapa kwa hatatumia fursa hiyo ya muda wa nyongeza kuusambaza na kuua binadamu wenzake kwa...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Donald Trump aridhia kuanza kwa mchakato wa kumkabidhi madaraka Joe Biden

    Donald Trump ametangaza mapema Jumatatu jioni, Novemba 24, kwamba ameridhia ufunguzi wa mchakato wa kumkabidhi madaraka mrithi wake Joe Biden kutoka chama cha Democratic, zaidi ya wiki mbili baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais. Idara ya serikali ya Marekani inayoratibu shughuli ya...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ntabo Ntaberi: Kiongozi wa waasi DR Congo afungwa maisha kwa kutekeleza uhalifu dhidi ya binadamu

    Aliyekuwa kiongozi wa wanamgambo katika taifa la jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu ikiwemo ubakaji wa watu wengi. Mahakama ya kijeshi ilimpata Ntabo Ntaberi na hatia ya muaji, ubakaji, utumwa wa kingono na kuwasajili...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mambo gani yatabadilika kwenye maisha yako kipato chako kikipungua maradufu ( x 2)

    Ntahamia rasmi mkojo wa punda (balimi) ntaziacha heinken bando la data ntapunguza matumizi, kwa kiasi kikubwa nitatumia free basics Hiki chombo changu cha usafiri kinachotumia lita kadhaa kila siku itabidi nikiuze ninunue ist au vits kukabiliana na uhalisia
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ukifa leo, ni mambo gani utajutia hukutekeleza kabla ya kifo na yapi hayatakupendeza baada ya kifo

    1.KABLA YA KIFO Nlitumia muda mwingi kazini kuliko kwenye familia. Sikuwaomba msamaha watu nliowakosea makosa maksudi. 2. BAADA YA KIFO Binafsi ntamaindi sana jinsi ntavyopostiwa r.i.p hata na watu ambao walikuwa hawana msaada kwangu na hata hawakuwahi kunicheki kwa miaka zaidi ya minne. hizo...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kumbe maisha ni bure kabisa, kuanzia leo sitajisumbua kwa lolote

    Habari zenu? Nakumbuka 2014 kipindi naingia Dar es salaam rasmi kutafuta maisha nilitamani angalau nami ifike siku niwe nimepanga hata chumba cha giza. 2015 nikapanga chumba Keko cha 30. Muda kidogo nikapanga cha 35, then nikapanga chumba na sebule kwa 100k. Then nikanunua viwanja na nimejenga...
  11. I AM NO ONE

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane maisha kabla ya WhatsApp na Instagram

    Habari wakuu. Hebu tukumbushane maisha kabla ya WhatsApp na Insta ilikuaje kwako. Mi nakumbuka nilikuwa makongo sekondari aise, yaani swagga zetu ilikuwa ni kupendeza kuvaa vizuri; mademu tuliburuza sana aise bila shida yoyote maana hakukuwa na swagga za kuonekana wewe unamiliki simu kali...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kila kinachotokea katika maisha yako kina sababu ya kutokea

    Kijiko alizaliwa mjini, kijana msafi sana kwa muonekano. Alimaliza masomo na kupata ajira, alifanikiwa kufungua na biashara ya maduka ya chakula. Kijiko hakua na shida ya pesa ya kula ingawa hakua tajiri. Alikua kwenye mahusioani na binti mmoja mwajiriwa katika ofisi ya serikali. Binti...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama umetoka mkoani kuja Dar kutafuta maisha, tulia nikupe siri ili utoboe

    From my experience nitaweka vitu viwili vitatu vidogo ila ni muhimu sana kwa watafutaji tuliotoka mkoani kuja Dar kutafuta maisha. Maisha popote pale yapo na yanaweza kukunyookea. Ila vijana wengi tumekuja Dar kwasababu mbalimbali. Dar es Salaam ni rahisi kupata fedha kuliko mkoa wowote...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Watu 34 wameripotiwa kupoteza maisha kufuatia shambulizi la silaha lililotekelezwa kwenye basi la abiria nchini Ethiopia

    Shirika la kujitegemea la utetezi wa haki za kibinadamu nchini Ethiopia, lilitoa maelezo kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter na kuarifu kutekelezwa kwa shambulizi la silaha kwenye basi la abiria mkoani Benishangul-Gumuz na kusababisha vifo vya watu 34. Maelezo hayo pia yalibainisha taarifa za...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ajichoma moto akipinga 'rushwa na hali ngumu ya maisha'

    Mwanaume mmoja raia wa Misri amejichoma moto, kisha kuokolewa na polisi na wapita njia katika uwanja wa Tahrir, jijini Cairo, mtu huyo alifanya hivyo kupinga "rushwa na hali mbaya ya maisha". Mtu huyo alifukuzwa kazi katika benki kwa kuanika vitendo vya rushwa vilivyowahusisha maafisa wa...
  16. emanuel joseph

    JamiiForums Tanzania Naomba kupewa uzoefu wa maisha ya uanafunzi kati ya UDOM na IFM

    Habari wakuu, naomba kupewa ushauri na uzoefu wenu juu ya maisha ya uanafunzi kati ya UDOM na IFM katika suala zima za mazingira ya kuishi na gharama za maisha
  17. Securelens

    JamiiForums Tanzania Kila CHADEMA wanalojaribu linabuma: La Lissu na Lema pia limebuma. Watanzania tunaendelea na maisha

    CHADEMA kama ilivyo kawaida yao ya kutunga na kutengeneza matukio ya uongo. Wamejaribu kutengeneza ya Lissu, Lema na Nyarandu lakini yote yamebuma. Watanzania na wajanja duniani wamekwishawagundua kuwa ni walaghai. Wamebaki na kujipa moyo kwenye keyboards zao na vyombo vya habari uchwara vya...
  18. G Sam

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

    Gazeti la The Standard la Kenya linaripoti kuwa Lema na familia yake wamekamatwa eneo la Kajiado wakivuka mpaka wa Namanga kwa tax kutorokea Kenya kwa hofu ya kuuawa. Zaidi.... Aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema amekamatwa na Polisi katika Kaunti ya Kajiando nchini...
  19. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Ukishainuka kimaisha basi usiiname na ukiinama basi usikae kabisaa!

    Huwezi ishi maisha mazuri siku zote kama hauna mipango mizuri, katika kila unachofanya. Kama umebahatika kufika mbali kimaisha yaani sio choka mbaya au fukara basi hakikisha hauwi fukara tena wala choka mbaya(yaani ikitokea umekuwa fukara na hauna roho ngumu unaweza kufa kifo kibaya kwa sababu...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Hadi sasa wafuasi 13 wa ACT-Wazalendo wamepoteza maisha kwa vurugu za uchaguzi

    Kwa upande wetu @ACTwazalendo na kutokana na Taarifa tulizokusanya mpaka sasa: Wananchi 13 wameuawa kwa kupigwa risasi na mabomu katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar, Watu 130 Wamejeruhiwa, Watu 120 Wamekamatwa na Polisi, mtu Mmoja Amebakwa na Watu 14 Wametekwa Akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Chama...
Back
Top Bottom