Tabia zipi huzipendi kwa ndugu yako, mpenzi wako, rafiki yako au hata mzazi wako?

Tabia nisiyoipenda kwa mpenz wangu safar kila siku utaskia naenda kutembea kwa rafiki yangu,,, lkn ao rafiki zake sijawahi kuona wakija kumtembelea yeye

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Rafiki yake mkubwa ni mimi baharia mwandamizi...Shughuli yangu nadhani inaeleweka sasa ntaanzaje kuja kwako mzee baba 😎!!! Napenda muendelee kupendana arif!
 
Tabia ni kama mazoea ya mtu na kama inavyojulikana tabia ni ngozi.

wewe mpaka ulipofikia hapo ni tabia gani huzipendi kwa watu na huna cha kufanya?

Au ni tabia gani kutoka kwako huipendi na unajaribu kuiacha?
Binafsi nachukia kugombana generally. Iwe mpenzi rafiki au whatever.

1.Anger management ndio inanipa shida kwa nimpendae. Huwa sio mwepesi kuelewa matters straight hali inayopelekea naboeka sana maana hata kama ni shida imetokea atakupigia makelele wee mpaka aje kunyamaza umelowa jasho kwa hasira.

Kuna kitu huwa ana complain sana ila nadhani psychologically niko affected tayari. Huwa kuna mambo nayachuniaga tu esp. matatizo ambayo nakumbana nayo maana hata ukimshirikisha hanaga ile emotional support bali ana tabia ya kugandamizana she will find a way to just fall the blames on you hata kama ni uncontrollable issue. Sijui ila nahisi kuna mental disorder inayopelekea mtu kuwa hivi.

Ananiambiaga why do you hide matters from me until i find them out. Namwambia kuwa sifanyi intentionally ila tu inatokea sababu sipendi ile hali ya kuanzishiana lawama. But personally hii character its a pain in my ass!
 
Huwa tunagombana sana na bi mkubwa wangu tabia yake ya kunipamba sana kwa rafiki/jamaa zake mtaani....ukimpa habari njema au taarifa ya mafanikio fulani uliyoyapata basi mtaa mzima utajua, tena hapo we haupo,.....siku unakuja kitaa unaanza kuhadithiwa, "nasikia umenunua kiwanja bwana, hongera Sana", imefikia stage sasa nikiwa na jambo langu napiga kimya tu.

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Tabia nisiyoipend Uzi mrefuuuu mzuri umepata tabu kuusoma na umefanikiwa kuumaliza.

MTU anakuja chini kwenye reply atauquote wote mbaya zaidi na yeye ataandika kitabu chake cha ngoswe hapo hapo.

Mnachosha sana,.
 
Huwa tunagombana sana na bi mkubwa wangu tabia yake ya kunipamba sana kwa rafiki/jamaa zake mtaani....ukimpa habari njema au taarifa ya mafanikio fulani uliyoyapata basi mtaa mzima utajua, tena hapo we haupo,.....siku unakuja kitaa unaanza kuhadithiwa, "nasikia umenunua kiwanja bwana, hongera Sana", imefikia stage sasa nikiwa na jambo langu napiga kimya tu.

Let's meet at the top, cheers 🍻
😂😂😂 me pia Bi Mkubwa ana tabia hiyo, dawa yake ni kunyamaza kimya tu. Tena anaongeza na chumvi....yaan bi mkubwa angu akikusimulia kuhusu mimi lazima udate😂 na nikikutana nae mbele ya mabest zake full ma-hug. Dah Bi mkubwa bhana😏
 
😂😂 Vile vile yani, hawajatofautiana kabisa.

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Back
Top Bottom