maisha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uminywaji wa Habari na ugumu wa maisha ndio kaburi la Chama Changu CCM

    Siyo tu kwamba wananchi wametuchoka, bali wanatuchora na wengi kimya kimya hadi wana CCM wenzangu wanatumia njia mbadala kutafuta habari. Wananchi wako Facebook, Instagram, Youtube, google, telegram, signal na Whatsaap wakimtafuta yule tusiyempenda na pale wanapozipata habari zake...
  2. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Nape CCM Ni sawa na maisha ya digidigi porini

    Nape inabidi aishi kwa kujipeneekeza tu ndani ya CCM. Akina Nape na vijana wengine hawawezi maisha nje ya CCM. Ni watu dhaifu sana.kwa kifupi sana,maisha ya Nape yako hivi. Hajiamini,hajui anatakaga kufanya Nini CCM. Alijaribu kumbugudhi fisadi Lowassa,Katibu Mkuu wa CCM wakati huo Makamba...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania R Kelly atuhumiwa kuwatishia maisha wanawake waliomshtaki kwa unyanyasaji wa kijinsia

    WATU watatu wamekamatwa na kushitakiwa kutokana na kuhusika kujaribu kuwapa rushwa na kuwatishia maisha wanawake ambao walimshitaki R. KELLY kwenye kesi yake inayomkabili ya unyanyasaji wa kijinsia. Kwa mujibu wa NBC News New York, watu hao wanaohisiwa kuwa na ukaribu na nguli huyo wa R&B...
  4. waterproof

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kumuoa ili tusaidiane maisha maana ni magumu peke yangu

    Katika vitabu vya dini mbali mbali na misemo ya mababu zetu inasema ya kwamba 1. Mwanaume bila mke hajakamilika 2. Wenye akili wote wameoa 3. Ndoa ni kipimo cha akili n.k Yapo mengi mno ambayo hata Mimi siyafahamu na wewe waweza kuwa unafahamu mengine. Niingie moja kwa moja kwenye pointi ya...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Zawadi ni Silaha ya Maisha

    ZAWADI NI SILAHA YA MAISHA Na, Robert Heriel Maandishi ya Robert Heriel Kwa Lugha ya Kiswahili. Haki zote zimehifadhiwa. Katika ulimwengu wa viumbe wenye utashi, zawadi ni moja ya nyenzo ya maisha. Zawadi hutolewa kwa viumbe wenye akili, utambuzi na tafakuri. Zawadi haitambuliki katika...
  6. mserekale

    JamiiForums Tanzania Mtanzania kuichagua CCM ni kubariki maisha uliyonayo

    Ni mwaka mwingine wa uchaguzi na kwa desturi ya hapa kwetu Tanzania, uchaguzi hutoa fursa kwa Wananchi kuamua hatma ya maisha yao kwa kuchagua viongozi wa kuwaongoza kila baada ya miaka mitano, ikiisha kiongozi anayekuwa madarakani anaomba ridhaa nyingine ya miaka mitano kukamilisha ungwe ya...
  7. Bin Shaib

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimae nimeanza maisha ya geto

    Bwana Yesu asifiwe,, Assaalam alykum wapendwa,,natumai hamjambo nyote kama kuna wenye udhaifu Mungu Baba atawarehemu. Maada : Hatimae nimejitegemea kigeto kama nilivyo waambia kwenye uzi niliouleta kipindi cha nyuma @Nimekukuwa, nataka kujitegemea. Nimeishi kwa mjomba kwa mwaka na miezi...
  8. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Maisha haya basi tu: Nimelishwa yai la Mbuni bila kutegemea

    Wakuu Habari! hapa nipo mbio mbio nataka nimeze dawa za tumbo nitulie tu. Kwa machache tu niseme tu leo Nimepatikana nimelishwa na visivyolika na bila kutegemea kwamba ntakuja kuvila. Inshu ipo hivi nimeenda kwa jamaa yangu kumtembelea nikamkuta yupo na Kimwana wake, ile nimefika tu sijui...
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna maisha halisi ya mtaani na ya mtandaoni, tunakuja mitandaoni kujipooza tu, Mtandaoni hakuna masikini, usiyumbishwe

    Inabidi sasa tukubaliane na uhalisia, kwa sababu ndio ukweli uliopo sasa hivi ya kwamba tunaishi katika kizazi ambacho watu wana maisha ya aina 2. Kuna maisha halisi ya mtaani na maisha ya mtandaoni. - Unaweza kuwa mtu wa kawaida sana mtaani ila huku mitandaoni unaheshimika - Unaweza kuwa huna...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mara: Kijana ahukumiwa jela maisha kwa kulawiti mtoto wa mwaka mmoja

    Mfanyakazi wa nyumbani, Magige Thomas (21), mkazi wa Mtaa wa Rebu, Tarime mjini mkoani Mara, amehukumiwa kutumikia kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi 5. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC muanze Kujiandaa 'Kisaikolojia' kwani huenda 'Viongozi' wenu baadhi wakayaanza Maisha mapya Jela Segerea

    BENARD MORRISON KUMALIZA 'MASINEMA' YAKE NA YANGA Shirikisho la kabumbu nchini Tanzania (TFF) limesema hukumu ya madai ya kughushi saini ya mchezaji Bernard Morrison itatolewa Agosti 10 baada ya kazi ya uchunguzi iliyofanywa na Jeshi la Polisi kumalizika. Kiungo huyo mshambuliaji kutoka nchini...
  12. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Maisha mengi ya hapa Duniani ni ya kutegemeana

    Wajumbe mambo vipi? Naomba mtia wenu msinikate katika kula za maoni nikaambulia kura yangu mimi peke angu🤦😂 Duniani Maisha mengi haya tunayoishi huwa tunategemeana kwa vitu flani na ndo tunayaishi hayo hayo Maisha, Mimi namtegemea Mwenyezi MUNGU anipe kila siku anipe Afya njema...
  13. dawa yenu

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu na JamiiForums

    Baada ya kumaliza kidato cha nne nilibahatika kumiliki smartphone yangu ya Kwanza. Nilikuwa so excited kujua Jamiiforums inafananaje hii ilitokana na baba yangu kuwa msomaji Sana wa magazeti ya Raia Mwema na Mwanahalisi na mara nyingi wachambuzi wa magazeti hayo walikuwa wanafanya reference zao...
  14. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Mlo mzuri utakaobadilisha maisha yako ni kujua ule nini asubuhi dakika 20 baada ya kufumbua macho

    Tunapokula huwa hatulishi tumbo bali tunalisha selihai. Unapoamka asubuhi Cell hai nazo huwa zinanjaa. So njaa ya ugali nyama bali virutubisho muhimu. Habari mbaya ni kuwa hata usipolisha selihai hizo vitu sahihi muda huo , zenyewe zitatafuta popote mwilini mibadala kupata hicho kinachotakiwa...
  15. lendila

    JamiiForums Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere: Maendeleo hayana budi yawe ni "maendeleo ya watu"

    Viongozi wengi walioko madarakani wanajifanya kumuenzi Nyerere lakini ni uongo mtupu, kila siku wanajidai kuwa magorofa yameongezeka posta na ni maendeleo lkn wanasahau kuwa maendeleo ni watu na sio vitu, naomba.ujumbe huu umfikie mwingulu Maendeleo ni watu, siyo vitu NUKUU YA MOJA KWA MOJA...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Winda maisha yako

    WINDA MAISHA YAKO; MBINU KABAMBE. Na, Robert Heriel Maandishi ya Robert Heriel, Kwa Lugha ya Kiswahili. Haki zote zimehifadhiwa. Moja ya mambo niliyokuwa nikiyafanya kwa ufanisi mkubwa enzi nikiwa mdogo, na hapa ni chini ya miaka 13 ni pamoja na uwindaji wa ndege. Nilikuwa moja ya watoto wenye...
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania wakuu upendo wa wengi umepoa au ugumu wa maisha ya tz ya ulimwengu wa pili

    zamani mida kama hii ningekuwa nimeshapokea mahotipoti kama matatu ya pilau na vitoweo mbalimbali vya iddi kutoka kwa ndugu na majirani wanaosherekea sikukuu hii. leo hadi sasa bila bila sijajua tatizo ni nini?
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Askofu Nyaisonga: Kukiri kwa Mkapa kwa aliyokosea ni ishara ya unyenyekevu

    Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Mhashamu Askofu Gervas Nyaisonga, amesema kitendo Hayati Benjamin Mkapa kukiri mambo aliyowahi kukosea wakati wa uongozi wake akiwa Mkuu wa nchi katika kitabu chake cha ‘My life My Purpose’ ni ishara ya unyenyekevu na kumpenda Mungu. Askofu...
  19. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kaongea jambo moja ambalo kila mtu anapaswa kulitafakari na kujiuliza kama ambavyo yeye anajiuliza

    Lissi kafanyiwa mahojiano(kwa lugha ya kingereza) huko Ubelgiji(probably leo) kuhusu swala zima la kama tutarajie uchaguzi huru na wa haki, ila alivyojibu,ni wazi mwenzetu huyu sUala la kutegemea uchaguzi huru na wa haki, kwake halipo kabisa kwani ameonyesha wazi hatarajii hilo kutokea, ila...
  20. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri na hatua nilizowapa wasichana singles na ghafla wakawapata waume na maisha yakasimama

    Nina maswali mengi najiuliza bado sijapata jibu sawa sawa, nilikutana na wasichana 3 tofauti kwa muda, miezi na siku tofauti, wasichana hao umri umeenda, walikuwa wakilalama kuhusu yanayo wasibu na kupoteza matumaini, maisha magumu hawana kazi na wanaume wamekuwa kama wamewapa kisogo pamoja na...
Back
Top Bottom