Wafanyakazi wengi wa serikali wanaishi maisha artificial ndio maana wanaona mishahara haitoshi.
Unakuta mtu ana mshahara laki saba kakopa benki kanunua gari na zingine anajenga bonge la jumba.
Hela ikiingia benki wanakata anabaki na laki moja!!! Anaanza kuishi kwenye mzunguko wa madeni kopa...
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema,"Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani...
Wakuu, poleni na Majukumu, naomba kujua kuhusu maisha ya Zanzibar, kuna rafiki yangu wa kike ameenda Zanzibar leo hii kutafuta maisha na hajui pa kufikia, nimemkataza lakini hakunisikia.
Naombeni mawazo yenu nini afanye huko niweze kumshauri huko aliko.
Asanteni.
Hakika hotuba aliyotoa jana Rais wetu Magufuli imeniacha na huzuni kubwa, kwa kuwa nilichobaini kutokana na hotuba hiyo ni kama maisha yetu watanzania wote, tumeyaweka rehani na kiyakabidhi mikononi mwa mtu mmoja, ambaye ndiye Rais wa nchi.
Katika hotuba hiyo tulimsikia Rais akikanusha vikali...
Korona 2.0 Kwani Rais ana Ubia na Maisha Yenu?
Na. M. M. Mwanakijiji
Naandika kama shabiki wa Magufuli; naandika kama mtu ambaye nimeelewa malengo yake na mitazamo yake, na ninaandika kama mtu ambaye sijaegesha akili yangu mahali mwenyewe nikaondoka. Nimesoma na kufuatilia mijadala ya kile...
Inapokuja kwenye mafanikio, kila mtu ana maana yake.
Lakini kwa ujumla, mafanikio ni pale mtu anapokuwa bora zaidi ya alivyokuwa huko nyuma.
Kifedha kama ulikuwa na kipato kidogo na kikaongezeka, umefanikiwa.
Kimahusiano kama ulikuwa na hali ya kutokuelewana na wale wa karibu na ukaitatua...
Anaandika Comrade Malisa GJ.
Rafiki yangu mmoja kanitumia ujumbe "Malisa mbona huombi kura?" Ikabidi nimpigie kumuuliza kura za nini? Akaniambia za tuzo. Nikamuuliza tuzo zipi? Akaniambia umependekezwa kwenye tuzo ziitwazo Tanzania Inspiration Awards. Nikamwambia sina taarifa.
Akanitumia...
Za leo waungwana,
uzee sasa umepiga hodi na nguvu zimeanza kuniishia.
Maisha ya uzee yameshaniingia, ni vitu gani nifanye au niandae, ili nisikose mlo pamoja na majukumu mengine ya muhimu ndani ya nyumba wakati huu kabla sijakaa chini kutokana na kuishiwa kabisa nguvu ya kutafuta.
Asanteni...
Nina elimu kubwa tu na umri unasogea. Hela ya kujiajiri sina. Naombeni mnipe ushauri kati ya Macau na Singapore ni wapi kuzuri zaidi? Nimechagua hizi nchi kwa sababu ukiwa na passport ya Tanzania huhitaji viza kuingia.
Natanguliza shukrani zangu.
Nijuavyo wapo binadamu baadhi wameyajua matamanio ya binadamu kiujumla!,namaanisha wanajua ubongo wa binadamu unataka kusikia nini..? Unafikiria nini juu ya mambo mtambuka na binadamu anahisia zipi juu ya maisha yake!.
Hilo sijasoma mahali wala mada hii sijasoma mahali bali ni fikra zangu!,na...
Kila shule na kila faculty vyuoni ina hawa viumbe wanaitwa vipanga; ni watu ambao wanafanya vizuri sana darasani aidha kwa kutumia jitihada kubwa ama uwezo mkubwa wa akili waliojaaliwa.
Tatizo sio kuwa kipanga, tatizo ni kuwa kipanga jeuri, ni wale watu wanaofanya vizuri darasani na kuona kwao...
Wakuu habari, mimi ni mdau wa maswala ya ujenzi (civil engineer) nataka nifanye maisha ambayo kwa kiasi kikubwa yatakuwa yanahusiana na sekta ya ujenzi.
Je, kati ya Dodoma na Babati ni mji gani utakuwa poa zaidi?
Na je gharama za maisha kwa ujumla zikoje maeneo hayo.
Pia kati ya miji hiyo...
Miradi mikubwa inajengwa Chato. Rais anashinda Chato, Watendaji wa ngazi za juu wa kitaifa wapo Chato muda wote.
Marais wa nchi ama viongozi waandamizi wa serikali wa mataifa mbalimbali wanakuja Chato kuonana na rais wetu.
Wakati huo huo Chato imetangazwa kuwa kitovu cha utalii, na usafiri wa...
"Elimu ni ufunguo wa maisha". Moja ya msemo ambao tumekuwa tukiusikia tangu awali. Ni kiasi gani msemo huu umeakisi maisha yako baada ya kuhitimu elimu ya chuo kikuu?
Maisha yanazidi kunichachia kila kukicha, nimetafuta sana kazi bila mafanikio yoyote mpaka ninahisi nimerogwa.
Mtaani thamani yangu imeshuka mno maaana nilipiga hatua kidogo ya kielimu ila nikakosa mtu wa kuniendeleza baada ya kufiwa na mama (baba yupo ila ni baba jina) hivyo nikakata tamaa ya...
Baada ya Nyerere kufanya makosa ya kutojiandaa na maisha baaada ya kustaafu, waliomfuata walianza kujitengenezea maisha ya kustaafu katika awamu zao za pili. Suala hili halijawai kubadilika tangu awamu ya pili hadi sasa.
Kwa sasa Tanzania, Habari ya mjini ni Chato, kivuko ni Chato, vyuo ni...
Asalaam wakuu,
Kama binadamu nimekuwa najikuta nateseka sana kuishi kwenye hii dunia hasa kwenye jamii yangu ambayo inanifanya nipate huduma muhimu tu kama binadamu
Kwa muda mrefu sijui imeanza lini lakini huwa nafikili ni vipi kama haya maisha yote ninayoishi ni ndoto
Katika maisha yangu...
Shirika hili linakiuka kwa kiasi kikubwa mikataba na makubaliano walioafikiana na wateja wao hasa ihusuyo malipo ya fedha za bima zilizoiva.
Jambo hili si zuri na halikubalikiki hata kidogo maana linatengeneza taswira ya ulaghai kwa wateja wenu ukizingatia hili ni shirika la umma.
Mamlaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.