maisha

  1. Kenya: KRA yatangaza kuchunguza maisha ya wakenya kwenye mitandao ya kijamii

    Mamlaka ya Ukusanyaji Ushuru nchini Kenya (KRA) imetangaza kuwa inaanza kuchunguza mwenendo wa maisha ya raia wa nchi hiyo kwenye mitandao ya kijamii na majukwaa mengine ya kidijitali ili kubaini iwapo mapato yao yanalipiwa ushuru. Mamlaka hiyo inasema kuwa raia wengi wa Kenya wamekuwa...
  2. Vitu ambavyo hupaswi kuvifanya kwenye maisha ya kila siku

    Hivi ni kaadhi ya vitu ambavyo hutakiwa kuvifanya kwenye maisha. 1) Kamwe usiruhusu heshima yako ishuke,kwa namna yeyote ile .Jiheshimu na hakikisha heshima yako inabaki kwa kiwango kile kile. 2) Usimdharau yeyote yule kwa sababu ya umbile , rangi yake, kabila, jinsia hata ulemavu wake. Maana...
  3. S

    Maisha ya watu waliohusika kumfunga jela Nelson Mandela yalikuwaje?

    Kama ambavyo nimekuwa nikisema humu kila wakati kuwa, katika hii duniani ambayo imekuwwpo kwa mamilion ya miaka, hakuna kinachotokea leo hii ambacho ni kipya zaidi ya teknolojia tu. Yote yanayotokea leo hii hapa duniani, yamo ya kufananayo katika maandiko matakatifu na yamo pia katika...
  4. Maisha siku za awali ya Waingereza waliohamia Australia na New Guinea

    Baada ya Uingereza kutangaza Australia kuwa ni koloni lao, walianza kupelekwa wafungwa wa muda mrefu, waliohukumiwa kifo na wale waliofungwa kwenye jela zenye ulinzi mkali. Walipelekwa pia watoto yatima na wale waliokua chini ya uangalizi wa social system.
  5. M

    Hali ya maisha Ethiopia Inasikitisha sana, vibaka wanavamia nyumba za watu kuiba chakula

    Mzuka wanajamvi! Wa Ethiopia wengi walioko nje Diaspora wanapitia wakati mgumu sana kwasababu ya ndugu zao nyumbani wanayopitia. Sasa hivi wengi hawajui kama ndugu zao wako hai au wamekufa. Simu zao hazipatikani wala kwenye mitandao ya jamii hawaonekani. Hali imekuwa ya sintomfaham sasa hivi...
  6. Ufunguzi wa mkutano wa kumbukumbu ya maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad

    UFUNGUZI WA MKUTANO WA KUMBUKUMBU YA MAISHA YA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD. - "Nimesimama mikutano mingi kuongea na mingine ya kimataifa. Lakini sijaona ugumu kama naouona katika mkutano huu" - "Enzi za uhai wake, Maalim Seif alikuwa ni makutano ya watu, alikuwa ni kiongozi wa watu na alitokana...
  7. Maisha yamebadilika. Usikubali maumivu

    Life is too short and beautiful. Usikubali maumivu . Maumivu kwenye maisha huleta stress na kifo Cha ghafla hususan kwenye umri mkubwa.
  8. M

    Rais Samia kushusha zaidi bei ya mafuta mwishoni mwa Desemba 2021

    Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa Tshs 102 katika kila lita ya mafuta msimamo wa bei ya mafuta uliopo nchini bado haumpi usingizi mama huyu kwani bei ya mafuta ndio huamua gharama za maisha ya watoto hawa wa masikini ama zipande au zishuke au zisalie zilivyo. Rais Samia Suluhu Hassan...
  9. M

    Ni kweli raia tunatakiwa kuhamia Burundi. Gharama za maisha zinazidi kupaa

    Jamani vitu vinazidi kupaa bei kana kwamba hatuna wa kutusemea,jmosi nilinunua cement kwa 20,000/= Leo nimedamka tena kwenda kununua cha ajabu,imepanda na kufika 21000/= Sasa najiuliza hii cement nayo inatoka ng'ambo ya nchi? Je shida ni material au mafuta au nini au serikali nayo imeongeza...
  10. Maisha Yana maajabu Sana limao Lina pesa kuliko chungwa.

    Bei ya limao moja kwasasa ni tsh 500 wakati chungwa moja ni tsh 100. Inamaana limao moja ni machungwa matano TAFAKARI.
  11. Usingizi katika maisha yetu ya kila siku

    Unahitaji Usingizi Wa Saa Ngapi Kwa Siku? Faida Za Usingizi. Watu wengi wanakibanwa na ratiba ngumu za kazi au wakipatwa na tatizo la kukosa usingizi, huona kuwa kuendelea kuishi kwa kupunguza saa za kulala ndilo suluhisho. Ukweli ni kwamba kupunguza muda wa kulala hata kama ni kwa kiasi kidogo...
  12. L

    Uwekezaji wa China barani Afrika, waendelea kuchangia maendeleo ya uchumi na kuboresha maisha ya watu

    Katika miaka ya hivi karibuni ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukiendelea kuimarika, na kutoa mchango mkubwa kwenye maendeleo ya uchumi wa nchi za Afrika. Katika kipindi cha muongo mmoja uliopita, nchi mbalimbali za Afrika zimeonyesha kuwa na ongezeko madhubuti la...
  13. Dstv yangu huu ni mwezi wa 3 nakula maisha

    Toka mwezi agosti mimi nalipa kifurushi cha bomba lakini napata chaneli za Compact plus kwa mwezi wa tatu mtawalia. Sijawahi kufanya magumashi yoyote yale kwebye king'amuzi hiki, yaani mpaka nimeanza kuogopa. Je, wanaweza kunichaji zaidi siku wakinishtukia?
  14. Nikiwaambia msioe muwe mnasikia; kwa miezi 4 mwamba kaishi maisha magumu bila mshahara kumbe mkewe ana laki 8 ndani, na usaliti juu kaambulia

    Eeeh bwana ehh ni Mimi Mr. Liverpool Tena. Weekend hii tumempiga Manure na nyundo Kali sanaa mpaka kapoteana.!! Sasa jiulize ile ilikua Old Traford, je wakija Anfield..!!! Turudi kwenye mada .... HIVI KWANINI HAMSIKII NIKIWAAMBIA MSIOE ??😳😳😳 Sasa Kuna mwenzenu yamemkuta huku ...
  15. Kama huyapati haya, jua hapo ulipo hujaoa; bali umetafuta mtu wa kusindikiza naye maisha

    Maisha ya ndoa raha sana, mwanaume ukitoka kazini, unafanyiwa haya:- Mkeo anakupokea kwa furaha Anakuvua koti Anakuvua viatu na soksi Anakuvua nguo zote Anaenda kukuogesha Anakuandalia chakula na juisi au kinywaji chenye mfanano huo Anakupatia chakula ukipendacho Anakuliwaza kwa stress...
  16. Neema Village, Mzungu anayebadilisha maisha ya Wakina Mama Arusha, serikali yetu inakwama wapi?

    Poleni na Majukumu, Serikali yetu kwa sasa inapitia katika kipindi kigumu cha tatizo la ajira rasmi kwa vijana na watu wazima pia. Pamoja na Yote Serikali imekuwa ikisisitiza vijana wajiajiri bila kuwawezesha ni kwa namna gani vijana waweze kujiajiri. Jijini Arusha mzungu mmoja aitwae Michael...
  17. Usiombe hivi vitu viwili (2) vikutokee katika maisha yako

    Usiombe hivi vitu viwili (2) vikutokee katika maisha yako;- Maradhi ya muda mrefu Kesi mahakamani Hivyo vyote viwili, vinamaliza pesa na vinapoteza muda; vinaweza vikakubadilisha ndani ya muda mfupi ukawa masikini/fukara. Na ni mazingira ambayo yatakutambulisha rafiki wa kweli ni yupi, pamoja...
  18. R

    Ushauri: Umachinga haulipi; warudi vijijini kulima maisha yaendelee -- waache kusuguana na serikali

    Wengi wamesema mengi. Wacha nami nitoe ushauri. Kwanza nashangaa imekuwaje serikali yenye nguvu inasitasita kutoa maamuzi ya kimamlaka kushughulikia hawa wanaoitwa wamachinga. Serikali ina vyombo vya dola na mamlaka zote kuhakikisha Machinga wanaondoka maeneo yasiyo halali kufanyia biashara...
  19. M

    Kipigo cha kushtukiza: Yote maisha, tusigombane, tuangalie tumejikwaa wapi, turekebishe na maisha yaendelee!

    Chonde chonde wana msimbazi wenzangu, tujiangalie na kujitathmini kwa uwazi, tusiruhusu kugombana, turekebishe na tusonge mbele!! Adui zetu tusiwape faida!! Ila tusifumbie macho udhaifu wa wazi uliopo kwenye timu yote. Tujue tumejikwaa na kukosea wapi! Turekebishane kwa upendo na maisha...
  20. "Nadharia ya Ugwekaji" Athari za Ugwekaji katika maisha yetu.

    UGWEKAJI JINSI UNAVYOATHIRI MAISHA YETU. Mwandishi, Robert Heriel 0693322300 Kazi: "Natharia ya UGWEKAJI" Maandiko ya Robert Heriel katika Lugha ya Kiswahili. © 2021 Haki zote ZIMEHIFADHIWA. DONDOO Muhtasari wa Nadharia ya UGWEKAJI UTANGULIZI Ulishawahi kufikiri mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…