maisha

  1. benix samson

    JamiiForums Tanzania Dizasta Vina - Simulizi, ubunifu na maisha ya jamii yake ndani ya album ya The Verteller

    Msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania, Dizasta Vina ni mmoja wa viongozi katika orodha ya wafalme wa Hip-Hop wa kizazi cha leo. Muziki wake umebeba falsafa, mafunzo na mitazamo inayogusa jamii kwa namna tofauti. Ana mtindo wa kipekee, mashairi yenye ujumbe na mtiririko wa visa na matukio ya...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania UNICEF: Mataifa tajiri yahatarisha maisha ya watoto ulimwenguni

    Shirika la Kuwahudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limedai kuwa mataifa tajiri Duniani yanahatarisha maisha ya watoto kutokana na uzalishaji mkubwa wa gesi za sumu zinazoathiri afya zao. Kituo cha Utafiti cha UNICEF kimetafiti mataifa 39 ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi na...
  3. Lyrics Master

    JamiiForums Tanzania Maisha by Joslin

    Usione watu wanapita pita mitaani ukadhani wana raha, Usione watu wanasulubika mitaani ukadhani walishapataa, Maisha yanatisha, maisha yanaumiza jamaani, Maisha yanatisha maisha yanaumiza moyoni, Verse: Ona akina dada waliosimama wanajiuza, Ona akina kaka wanaitwa mapusha, Wanatafuta maisha...
  4. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kitanzania na maisha ya mashaka South Africa

    Maisha wanayoishi huko ni mabaya kweli kweli.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Epuka makosa haya kwenye maisha.

    Epuka makosa haya kwenye maisha, yatakuchelewesha na yatakuzeesha haraka. Huyo mimi ndiyo nilimsomesha. Hilo paa mimi ndiyo nimempaulia ili ahamie kwake, alikwama kabisaaaaa. Hicho cheo mimi ndiyo nilimfanyia mpango akakipata. Usimuone hivyo mimi ndiyo nilikuwa nampa nauli sasa hivi hanijui...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kujifariji, kuridhika na kupeana matumaini ya maisha

    Kwa wale wapambanaji na wazee wa kusikilizia michongo; Ebu tupieni faraja na matumaini hapa ili kujipa moyo wa kupunguza maumivu yoyote! Mi nawaambia wadau muachage mazarau! < Anaringa na kigari chake cha mkopo; ukifika japani hivyo vigari vinauzwa kwa mafungu, Nikitaka gari mi nitaagiza...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa kike wa maisha

    Mimi ni kijana umri miaka 35, Elimu yangu diploma, ni mjasiriamali mdogo, sina mtoto na sijawahi kuoa, nipo Dar dini ni mkristo. Muonekano wangu ni mrefu kiasi, mwembamba kiasi na mweupe kiasi. Natafuta mwenza wa kike umri 28-31, asiwe na mtoto na awe Dar, awe mkristo na awe na elimu angalau...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kazi yoyote jamani, maisha magumu

    Nina shida sana hali ngumu, nahisi kukata tamaa. Yoyote anisaidie kazi yoyote. Maana sina hela na nyumbani na nahitaji kupata mahitaji yangu Kama sabuni, nguo nk. Nimeona niweke wazi tu huenda kuna mtu humu atanisaidia.
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Chadema imegharimu sana maisha yako na kukupa hasara kubwa. Hawa sio watu wema

    Ulikuwa ni mwanasheria mzuri na mpaka sasa ni mwanasheria mzuri sana. Ulikuwa ukipigania haki za watanzania kwa weledi mkubwa sana. Kumbuka sakata la wananchi wa Bulyanhulu ulivyowasaidia kupigania haki zao. Hawa ni wananchi waliofukiwa na serikali ili kupisha muwekezaji aweke mgodi pale...
  10. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kiufupi vijana tufanye kazi na tumuombe Mungu hakuna Mwanasiasa was kubadilisha Maisha yetu ni Juhudi zetu na Mungu tu.

    Kiufupi nimejionea Mengi Sana hapa Tz kuhusu siasa zetu . Ni takribani mwongo Mmoja tangu Kupata ufahamu wa siasa . Wanaofadika Ni wao tu kila mwaka Hivyo kuwasikiliza Ccm na Vyama vingine nikupoteza Muda wetu they work on their families benefits na sio sisi ambao hatuna connections...
  11. Akili Sina

    JamiiForums Tanzania Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Nilizaliwa mwishoni mwa miaka ya themanini katika kijiji cha chabutwa wilaya ya Sikonge mkoa wa Tabora, nilifanikiwa kupata elimu yangu ya msingi hapo kijijini, shuleni nilikuwa vizuri sana, si walimu tu bali hata wanafunzi walinipenda. Familia yetu ilikuwa ya maisha ya kawaida sana kwani baba...
  12. De Opera

    JamiiForums Tanzania Life Circle! Ukiuelewa mkanda wa maisha yalivyo, huwezi kujipiga kifua.

    Hii picha inatukumbusha ni wapi tunatokea na ni wapi tunaelekea.
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Tanzania wanasubiri waolewe ndio waanze Maisha

    Bongo Hapa Unakuta Mama mtu mzima miaka Kama 30+ lakin hanashindwa hata kununua Godoro la 150k anachoweza Ni kumiliki infinix toleo la 2019 . Mtu umri umeenda kapiga 30 maji ya jioni badala atafute hata Room apange huku akifanya hata Biashara ya Aina Flani kusogeza siku .. huku akisubiri...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Mitaala ya shule ifundishe maisha halisi Ili kumfanya mwanafunzi kuyamudu maisha pindi arudipo mtaani

    Ni wazo langu kwamba Serikali iangalie mitaala yetu Ili kuwafundisha WATOTO maisha halisi Ili warudipo mtaani wasihangaike kutafuta ajira. Kwa mfano masomo ambayo yamechukua nafasi ya SoMo la sayansikimu ya miaka ya tisini kwa sasa ni butu kabisa kwa sababu WATOTO hawajui hata kufua na kupasi...
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Mtu mmoja hupoteza maisha kila baada ya sekunde 48 kwa njaa Afrika Mashariki

    Mashirika ya kibinadamu yameonya kuwa nchini Ethiopia, Kenya na Somalia, mtu mmoja hupoteza maisha kila baada ya sekunde 48 kutokana na njaa kali inayohusishwa na migogoro, mabadiliko ya hali ya hewa na kupanda kwa gharama ya chakula. Kwa mujibu wa ripoti ya #Oxfam na #SavetheChildren...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Suala la Simba kupigwa faini na CAF limekwisha na maisha lazima yaendelee

    Tuna tatizo la kujadili mambo mabaya na kuacha mazuri. Ni kweli lile ni kosa na limeshafanyika na Simba imeshapigwa faini limekwisha na kama kujifunza tumejifunza. Kuna mambo mengi sana kwenye soka la Afrika. Ila hatupaswi kuiga mambo mabaya. Kosa limeshatokea na tumeadhibiwa kwa kosa hilo...
  17. Surya

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Mwanadamu na hisia za Mwanadamu Duniani ni mfano wa Mungu (Kiungu)

    Soma kwa Makini uhusiano huu..hadi mwisho. ******************* Yohana 1:1-5 [1]Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. [3]Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. NENO Maneno yalitumika Kuumba ulimwengu...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ukipata msaada katika maisha jiongeze kidogo usijibweteke.

    Swaiba alipata kiwanja Kigamboni, enzi zile bado mapori mengi. Kwa kifupi aliuziwa shamba la ekari mbili. Kwakua haishi Tanzania aliamua kujenga ili asipoteze kiwanja. Alijenga nyumba yake nzuri na swimming pool. Kwakua kiwanja ni kikubwa alijenga na guest wing ya vyumba vitatu yenye...
  19. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Kumbe Maisha siyo magumu!

    Nilivyomaliza chuo mwaka jana nilisambaza CV org nyingi na baadhi wakanialika kwa usaili. Nilifanya interview kama 5 bila kupata kazi nikagundua kwamba napoteza vijipesa vyangu kwenye safari zisizoonyesha kuzaa matunda kwa sababu unakuta gharama ya interview moja nauli kwenda na kurudi, chakula...
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Chukua hii ya Yanga. Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya mwaka ambao Yanga wanachukua ubingwa na maisha ya neema kwa watanzania.

    Katika miaka yote ambayo Yanga huwa wanabeba ubingwa wa nchi basi huwaga kuna neema kubwa sana ya kimaisha miongoni mwa watanzania. Hata siku Yanga wakicheza na Simba halafu Yanga wakashinda mechi siku hiyo huwa inakuwa nzuri sana na yenye kwa wananchi wa...
Back
Top Bottom