mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Maisha yanakwenda Speed sana, Leo eti CCM hawaiamini TAKUKURU wala Mahakama

    Namalizia Wine yangu nirudi nikalale! Nikakukumbuka hili, nikaona wine yangu isiishe bure. Eti MATAGA leo ndio wanailalamikia PCCB, POLICE na Mahakama kuwa "hawamtendei haki" Sabaya! Nikacheka sana sana, hakika kuna nyakati za kulia na kuna nyakati za kuomboleza. Yaani hawa Walioitwa...
  2. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Watu kama Ole Sabaya inabidi Kesi zao Mahakama iwe "LIVE"

    Ni wazi kuwa vitendo vya viongozi hawa dhidi ya raia vilikuwa ni vya kidhalimu sana. Nchi ilitikisika na kupata doa la Kimataifa hata baadhi ya misaada ikasitishwa! Ili Serikali ionekane haikuwatuma,kuwepo na mahakama huru na ya wazi. Kama ambavyo serikali ya Marekani ilijivua kidunia kuwa...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Festo Sanga: BASATA ni Baraza la Sanaa la Taifa, sasa hivi limegeuka ni Mahakama ya Sanaa ya Taifa

    Mbunge wa Makete, Festo Sanga, amesema asilimia kubwa ya Wasanii wa Tanzania wamejipambania wenyewe bila msaada wowote wa Vyombo vinavyotakiwa kuwasadia lakini Baraza la Sanaa (BASATA) linafanya urasimu kwenye kazi zao Ameongeza kuwa, Sheria zilizopo BASATA ni za kikoloni ambazo zimejikita...
  4. Hamduni

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya Tanzania na mahakama ya haki za binadamu Afrika yaendelea kuimarika

    The Diplomat Kwa siku kadhaa kumekua na Upotoshaji katika Mitandao ya kijamii kuhusu Tanzania kujitoa katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu, Suala ambalo halina ukweli wowote. Jana Mei 27, 2021 Katika muendelezo wa kuonyesha ni kwa jinsi gani masuala ya Haki za Binadamu ni kipaumbele...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni Mwanachama Hai Mahakama Haki za Binadamu Afrika

    TANZANIA NI MWANACHAMA HAI WA MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU AFRIKA The Diplomat Kumekua na mitazamo hasi inayokosoa kauli ya Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Liberata Mulamula aliyoizungumza jana Mei 25, 2021 Siku ya Afrika Duniani kwa kusema "Tanzania ni mwana chama hai wa Mahakama ya Haki za...
  6. Mimi.

    JamiiForums Tanzania Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

    Kesi Ya Mirathi ya ya Dr. Reginald Mengi: Former Miss Tanzania Jackline Ntuyabaliwe adondokea pua kwa Mara Ya nane tena katika Rufaa Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ya Dar es Salaam imetoa uamuzi kuwa mtoto wa Marehemu Reginald Mengi;-Abdiel na kaka wa marehemu, Bw. Benjamin Mengi kuwa...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Serikali yasema Mahakama inashikiliwa na inalenga kudhoofisha nchi

    Zimbabwe's justice minister has accused the judiciary of overreach and said it had been "captured" by "foreign forces" in order to destabilise the county. It came after the high court ruled that President Emmerson Mnangagwa's extension of the chief justice's term by five years was illegal. In...
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Hivi nana hasa mwenye mamlaka na dhamana ya watuhumiwa wakiwa mbele ya mahakama?

    Kheri ya EID. Nitafurahi kama tutasaidiana kutafuta ufumbuzi hasa wa nani ana mamlaka na dhamana ya mtuhumiwa awapo mbele ya mahakama. Natanguliza shukrani
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mshukiwa aliyefungwa miaka 43 gerezani kimakosa

    Mshukiwa aliyefungwa miaka 43 gerezani kimakosa Kevin Strickland, ambaye alifungwa gerezani kwa miaka 43 kimakosa kwa madaia ya hatia ya mauaji matatu katika jiji la Kansas nchini Marekani (USA), ameachiliwa huru. Kulingana na ripoti ya Sputnik, kesi hiyo ilianzishwa baada ya mauaji...
  10. Ileje

    JamiiForums Tanzania Mahakama za Tanzania ni kwa vibaka na wezi wa kuku lakini kwa mambo ya msingi ni pazia

    Nenda mahakamani sasa hivi utaona jinsi mahakama zetu zinavyo washughulikia vibaka na wezi wa kuku bila huruma hata kama mtuhumiwa ni dhoofu bin hali kwa njaa na umasikini. Inapokuja suala la kushughulikia mambo ya msingi ya kulinda katiba, sheria za nchi dhidi ya serikali, utawala bora na haki...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzake ingekuwa Kenya huenda wasingekuwa wabunge, Mahakama ya Kenya iko huru zaidi!

    Sina hakika kama mahakama ya Tanzania inaweza kusema Rais wa JMT amekosea katika jambo fulani au iseme Rais anapaswa kushtakiwa kwa kuvunja katiba Mahakama ya Kenya iko huru, inaweza. Ingekuwa ni Kenya swala la Halima Mdee na wenzake lingekuwa dogo sana na huenda wasingekuwa bungeni kabisa...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Biswalo Mganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu kupingwa Mahakamani, Yadaiwa hana Maadili, zuio la kuapishwa kwake laandaliwa

    Nimesoma uteuzi wa Majaji uliofanywa na Mh Rais ,nimeelekeza Mawakili wangu waweke pingamizi mara moja la kuzuia kuapishwa kwa aliyekuwa DPP Biswalo Maganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu,hana sifa wala maadili ya kuwa mwamuzi wa haki za Watanzania,anastahili kuwa jela au jehanamu. Mytake : NI AIBU...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kati ya Bunge na Mahakama nani anaweza kuvumiliwa akivunja sheria?

    Kazi ya bunge ni kutunga sheria japokuwa kiukweli sheria zinatungwa na Ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali. Kazi ya mahakama ni kutafsiri sheria. Je, kuna tunayeweza kumvumilia hapa akivunja sheria? Kazi Iendelee!
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Bukoba imemwachia huru aliyekuwa mgombea Ubunge Bukoba Mjini (CHADEMA), Chief Kalumuna na wenzake 6

    Tulionya Mapema sana kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu katika lolote , na nadhani hata nyinyi wenyewe ni mashahidi, wote waliojipa uungu Mtu na kujimwambafai wanazidi kupukutika huku wengine wakiwa njiani. Video hii inaonyesha umati wa watu wa Bukoba wakishangilia baada ya aliyekuwa...
  15. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania ARUSHA; MAHAKAMA yamwachia huru Mshitakiwa wa uhujumu uchumi Lucas Mdeme

    Mahakama ya wilaya ya Mkoa wa Arusha imemwachia huru mfanyabiashara Maarufu wa madini ya Tanzanite jiiini Arusha Lucas Mdeme(46) na mwenzake Nelson Lyimo(58) waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka sita likiwemo la uhujumu uchumi baada ya upande wa mashtaka kudai haina Nia ya kuendelea nao katika...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wa Mahakama, wabunge na viongozi wakuu wa serikali awalipi Kodi?

    Nchi yetu inakautawala kaajabu kwelikweli, watu wanaopaswa kuwa mfano mzuri wa ulipaji Kodi ndio waliozuiliwa na sheria kulipa Kodi. Watu wanaolipwa vizuri awalipi Kodi. Watu wanaopaswa kuwatetea na kutunga sheria nzuri kuhusu Kodi awalipi Kodi. Watu wa aina hii wanawezaje kujua uchungu wa Kodi...
  17. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa ifikie nyongeza ya mshahara iwe inadaiwa mahakama kuu pale serikali inapowanyima wafanyakazi bila sababu za msingi

    Kwanza kabisa watanzania wanatakiwa kutambua kuwa kila mtanzania anayo haki ya kupata mshahara unaostahili kukidhi mahitaji ya msingi. Ibara ya 23(2) imetamka wazi kuwa watanzania wanaofanya kazi wanatakiwa wapate just remuneration. Hivyo kupata mshahara unaostahili ni takwa la kikatiba na ni...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Jamhuri yakata rufaa dhidi ya Masheikh Uamusho

    Bismillahir Rahmaanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA LEO TAREHE 28.04.2021, SERIKALI IMEKATA RUFAA MAHAKAMA YA RUFAANI DHIDI YA MASHEIKH Tarehe 23.04.2021, Mahakama Kuu ilitoa hukumu ya ushindi kwa Masheikh wa kesi 14, Kati ya 25, zilizokuwa zinawakabili Masheikh. Baada ya uamuzi huo...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Serikali Iwezeshe Upatikanaji wa Mahakama za Jadi

    Poleni kwa mahangaiko ya dunia hii ndugu zangu. Poleni wahanga wenzangu mliopitiwa na wezi. Ushauri kwa serikali: Kuna haja ya kuona namna ya kuweka mazingira wezeshi kwa wazee wa mila kuanzisha mahakama na kutoa hukumu kimila. Katika kupambana na wizi au uhalifu katika jamii, baadhi ya nchi...
  20. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Viongozi serikali bunge na mahakama pateni mipesa yote ila wananchi wanyonge wanachoangalia ni mumewasaidiaje?

    Kama kichwa kinavyojieleza lipaneni mipesa yote kama mishahara na miposho mtakula na mtakufa hamtaishi milele kumbukeni wanyonge walio wengi
Back
Top Bottom