kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Nchi yetu inakautawala kaajabu kwelikweli, watu wanaopaswa kuwa mfano mzuri wa ulipaji Kodi ndio waliozuiliwa na sheria kulipa Kodi. Watu wanaolipwa vizuri awalipi Kodi. Watu wanaopaswa kuwatetea na kutunga sheria nzuri kuhusu Kodi awalipi Kodi. Watu wa aina hii wanawezaje kujua uchungu wa Kodi Hadi watunge na kusimamia sheria rafiki katika kutoza Kodi?
Wao wanapewa nyumba, wanapewa usafiri, wanalipiwa mafuta, wanalipiwa pesa ya mawasiliano,wanalipiwa wafanyakazi wanaowasaidia, wanalipiwa kila na bado wanamishahara mizuri na mikubwa lakini Kodi kwao hapana.
Hii ndio Tanzania ya Wanyonge?Natamani tupige kelele watu Hawa waanze kulipa kodi