Uteuzi wa Biswalo Mganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu kupingwa Mahakamani, Yadaiwa hana Maadili, zuio la kuapishwa kwake laandaliwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
85,474
2,000
Nimesoma uteuzi wa Majaji uliofanywa na Mh Rais ,nimeelekeza Mawakili wangu waweke pingamizi mara moja la kuzuia kuapishwa kwa aliyekuwa DPP Biswalo Maganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu,hana sifa wala maadili ya kuwa mwamuzi wa haki za Watanzania,anastahili kuwa jela au jehanamu.
@henrykilewo_shared_a_photo_on_Instagram:_“Ushauri_wenye_weledi...Ahsante_@godblessjlema1”_•_M...jpg

Mytake : NI AIBU KUBWA SANA KWA MTEULE WA RAIS KUPINGWA MAHAKAMANI .

Pia soma
 

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
6,590
2,000
Kipimo kwa mahakama tuone kama zimeanza kuwa huru, Biswalo hana credibility ya kuwa jaji ikiwa sifa moja kubwa ya mtu kuwa jaji lazima awe impartial, huyu jamaa ofisi yake ilikandamiza watu wakati wa utawala wa mwendazake, watu kutolewa pesa bila maamuzi ya mahakama ulikuwa ni uporaji.
 

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
6,590
2,000
Wakati Magu anatunga hizo sheria za kulinda watu wake hakuna aliyesimama. Kila mtu alikuwa yuko kibra tayari

Haya ni matokeo tu.

View attachment 1781262

View attachment 1781263
Hizi sheria ndio kielelezo kuwa huyu mtu hatufai, angekuwa yuko impartial asingehitaji hizo sheria zimlinde, walitengenezewa hizo sheria ili ziwalinde wakienda kinyume na majukumu waliyopewa kwenye ofisi zao kama kina Ndugai bungeni.
 

IamJackReacher

JF-Expert Member
Apr 1, 2018
210
500
Godbless Lema yeye kama nani anatoa order kama hiyo... jambazi tu huyu kasumbua sana Arusha eti leo ni mwanasiasa! siasa nayo ni sehemu ya watu washenzi kujifichia!

Hana maadili? Hao majaji wengine waliokuwa kwenye hivi vyeo mpaka kuozea huko wamefanya mambo gani ya maana?

Hii ni kinga kwake zaidi maana najua kuna watu walikuwa wanategemea atatupiliwa mbali. Na pengine sasa atakua kwenye kiti maalum cha kufanya maamuzi dhidi za kesi... kwa kifupi hiki ni kipimo kwake!

aachwe hapo hapo!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom