mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Viongozi serikali bunge na mahakama pateni mipesa yote ila wananchi wanyonge wanachoangalia ni mumewasaidiaje?

    Kama kichwa kinavyojieleza lipaneni mipesa yote kama mishahara na miposho mtakula na mtakufa hamtaishi milele kumbukeni wanyonge walio wengi
  2. W

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu Udalali wa Mahakama ama Court Brokers

    Habari za Majukumu. Huwa nasikia hii shughuli ya udalalai wa mahakama. Kuhusu usajili nimeshapata taarifa lakini kwa wanavyofanya kazi naomba wenye uzoefu nayo ama wanaoifanya ama wenye ABC zake tujuzane. Lengo ni kujua kuna mazingira gani ya kuifanya kwa ajili ya kujikwamua kimaisha. ASANTENI
  3. yuda75

    JamiiForums Tanzania Mahakama: Majadiliano Kati ya DDP na Harbinder Seth yamalizwe

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa mashtaka kufuatilia majadiliano ya kuimaliza kesi iliyowasilishwa kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) dhidi ya mwenyekiti mtendaji wa PAP, Harbinder Seth na aliyekuwa mwanasheria wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Joseph Makandege...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Washington, USA: Mahakama yaitupilia mbali rufaa ya familia ya Valambhia dhidi ya Tanzania

    Mjane na Watoto wa Vdevram Purshotam Valambhia waliishtaki Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani. Walitaka kulipwa dola 64,500,750 kutokana na Mkataba wa ununuzi wa vifaa vya kijeshi kati ya Kampuni ya Transport Equipment Ltd (TEL) ya Marehemu Valambhia na Serikali ya Tanzania...
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jambazi akamatwa akitubu dhambi Kanisani

    Jambazi akamatwa akitubu dhambi Kanisani Pascal Mwakyoma TZA on April 13, 2021 Kijana aitwaye Abraham Nduba, mwenye umri wa miaka 26 kutoka kaunti ya Murang’a nchini Kenya amekamatwa na kutupwa jela miaka mitano baada ya kuungama kanisani kwamba ni mwanachama wa genge la uhalifu eneo hilo...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ziara ya BAVICHA Magereza yaanza kuzaa Matunda. Mahakama ya Songwe yamuachia huru Moses Mwaifunga aliyesoteshwa jela kwa miezi 5

    Moses Mwaifunga ni miongoni mwa vijana lukuki wa Chadema waliobambikwa kesi za uongo karibu nchi nzima , huyu alipewa kesi ya kutunga na ya uongo ya mauaji ili kumkomoa kwa sababu za kisiasa. Sasa baada ya ziara ya viongozi wa Bavicha Taifa kwenye Magereza za Mbeya na Songwe za kuwajulia hali...
  7. Peter Madukwa

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamwachia huru aliyekuwa mgombea ubunge katika jimbo la Nachingwea, Dkt. Mahadhi Mmoto na wenzake 11

    Mahakama ya Makimu Mkazi Lindi, imewafutia mashtaka yaliyokuwa yakiwakabili aliyekuwa mgombea ubunge ktk jimbo la Nachingwea, Dkt. Mahadhi Yusuph Mmoto na wafuasi wake 11 wa CHADEMA ambao walikamatwa wakati wa uchaguzi mwezi Oktoba 2020 kwa kuhusishwa na vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi...
  8. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Rais wa Brazil kuchunguzwa kutokana na jinsi anavyopambana na corona

    Mahakama Kuu nchini Brazil imeamuru Baraza la Senate kuchunguza jinsi serikali ya nchi hiyo ilivyodhibiti maambukizi ya virusi vya corona, huku ikikataza makanisa kufunguliwa na kuzidisha uwezekano wa kuongeza mvutano baina ya Rais Jair Bolsonaro na mhimili wa mahakama. Uchunguzi huo utahusisha...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kati ya mahakama na benki ni ipi ina wajibu wa kumkabidhi msimamizi wa mirathi pesa za marehemu alizoacha benki au SimuPesa?

    Ikiwa marehemu kaacha pesa kwenye Akaunti ya bank au simu! Je, ni wapi ambapo msimamizi wa mirathi atatakiwa kwenda kuchukua hizo pesa za marehemu? Ni Benki au ni mahakamani? Je, usahihi wa taarifa ukoje?
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Afungua kesi mahakama ya Mwanzo Ilala kudai talaka baada ya kunyimwa tendo la ndoa kwa miaka mitano

    Ndoa zimekuwa na utata kila kukicha, sasa mtu ana miaka 62 anataka kumuaacha kwa nini? Au ndio kutaka kugawana mali mapema? Adela Ngogolo (42) amefungua kesi ya madai mahakama ya mwanzo Ilala akiomba kupewa talaka na mumewe, Alcado Mkondola (62) kwa madai kuwa ameshindwa kumpatiwa haki yake ya...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia wenzetu Majaji Mahakamani wanavyopatikana ni tofauti kabisa na wanavyopatikana Makatibu Wakuu

    Mahakamani ambao huwa Majaji asilimia kubwa ni Mahakimu. Kwenye Mawizara kuna watendaji wazuri tu katika nafasi za ukurugenzi n.k lakini zoezi la kuwapandisha hadhi kuwa Makatibu Wakuu au Manaibu Makatibu Wakuu linawapita pembeni sana wakati hawa watu ndiyo wanakuwa wanazijua Ofisi hizo vizuri...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mahakama yavunja ndoa iliyodumu miaka 21 bila wanandoa kushiriki tendo la ndoa

    Dar es Salaam. Mahakama ya Mwanzo Buguruni imevunja ndoa ya mwimbaji wa nyimbo za injili, Rebecca Magaba na Zabron Maselege baada ya wanandoa hao kutoshiriki tendo la ndoa kwa zaidi ya miaka 18. Pia, Mahakama hiyo imetoa amri mali zote walizochuma wanandoa hao, ikiwamo shamba la eka 10 lililopo...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamuamuru Rais wa Brazil kumlipa fidia Mwandishi baada ya kumdhalilisha

    Mahakama nchini Brazil imemuamuru Rais wa nchi hiyo, Jair Bolsonaro kumlipa fidia mwandishi wa habari wa kike kwa kumtolea maneno ya kumdhalilisha. Uamuzi huo wa Mahakama umekuja kufuatia kauli aliyoitoa Rais Bolsonaro dhidi ya Patricia Campos Mello ambaye ni mwandishi wa habari wa gazeti la...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uungwana: BAVICHA yatoa Shukrani kwa wote waliochangia pesa za kulipa faini ya Yericko Nyerere Mahakama ya Kisutu

  15. Francis12

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Mwanzo ya Buguruni imevunja ndoa ya waliotengana kwa makubaliano ya kila mmoja aende kutafuta watoto

    Mahakama ya Mwanzo Buguruni imevunja ndoa ya Wanandoa Raymond Kulaya (44) na Magreth Silaeli (37) waliotengana kwa miaka 10 baada ya kukubaliana kila Mtu akatafute Watoto ‘anapopajua’ baada ya kuishi miaka mitano bila kupata Mtoto, kwa sasa Magreth amepata Watoto wanne na Mwanaume mwingine...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Hatuwezi kuzuia bajaji kutumia barabara Kuu Mbeya

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amesema hatozizuia bajaji kupita barabara kuu kwa kuwa na wao wanatafuta riziki za kutumia na familia zao. Machi 15, Asubuhi Madereva wa daladala zinayosafirisha abiria katikati ya Jiji la Mbeya, wameanza mgomo kushinikiza Serikali iziondoe Bajaji kwenye...
  17. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wahamiaji haramu toka Kenya watiwa mbaroni Tanzania

    Vyombo vya Kamati ya Usalama Wilaya ya Rombo vimewakamata wahamiaji haramu kutoka nchi jirani ya Kenya ambao wameingia Nchini bila kufuata utaratibu kwa maana ya hawakupitia boda iliyo rasmi na hawakuwa na nyaraka zozote za kiuhamiaji Wamekamatwa kupitia msako halali, na imeelezwa walikuwa watu...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamwachia huru Halima Mdee

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemuacha huru mbunge Viti Maalumu (asiyekuwa na chama), Halima James Alifukuzwa uanachama wa Chadema, yeye pamoja na wenzake 18, tarehe 27 Novemba mwaka jana. Alituhumiwa kwa makosa usaliti, ikiwamo kushirikiana na Chama Cha Mapinduzi...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Dada aeleza Mahakama utamu wake kitandani ulivyomuua mpenzi wake

    Dodoma. Mshtakiwa katika kesi ya mauaji ya mpenzi wake, Helena Sambo (52) ameieleza Mahakama Kuu Dodoma kuwa siku ya tukio walipeana penzi zito ambalo halijawahi kutokea tangu walipoanza uhusiano wa kimapenzi. Mshtakiwa huyo alisema hayo katika utetezi wake kwenye kesi ya mauaji namba 160/2017...
  20. Mtini

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu katika maisha; niliyoyaona katika Mahakama za Mwanzo yanatisha

    Wasalam, Leo nimependa kushare nanyi baadhi ya mambo ya kusikitisha yanayoendelea katika mahakama za mwanzo na si kwamba yanafanywa na mahakimu wote la hasha bali wachache wenye nia ovu. Naandika haya si kuwa nimesimuliwa hapana ila ni mambo yaliyonitokea miaka ya nyuma kipindi biashara yangu...
Back
Top Bottom