mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. P

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kuwa na Mahakama ya Katiba na Usajili wa Vyama vya Siasa

    Ili kukuza demokrasia Nchini na uwepo uongozi/utawala bora wenye misingi ya usawa kwa kila mtawala na mtawaliwa ni wakati sasa kuwa na Mahakama ya Katiba na Usajili wa Vyama vya Siasa. Nchi inavyoenda kwa mfumo huu bila chombo madhubuti ni sawa na kuendesha kikada na fikra za mtu binafsi bila...
  2. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yaamuru Polisi kumfikisha Mahakamani Neema Mwakipesile wa BAWACHA Agosti 12, 2021

    Polisi wenu wamemuachia HURU Bi. Neema Mwakipesile Sakalile baada ya mawakili wetu kupeleka Habeas Corpus mahakamani na kesi kupangwa tarehe 12/08/2021 (kesho) saa 03:00 asubuhi mbele ya Jaji Mgonya, Mahakama Kuu, DSM... Muda huu wamemuachia baada siku 15.. Huu ni UONEVU! Mawakili wetu muda huu...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Zanzibar yaamuru Cryprian Musiba kumlipa Fatma Karume Tzs 7.5 bilioni

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter Wakili msomi, Fatma Karume aka Shangazi, ameandika hivi; Hamjambo? Mnaomjua Cyprian Musiba mwambieni Mahakama Kuu ya Zanzibar, ndio pale VUGA, yametoa HUKUMU leo. Yamesema ni yeye na GAZETI lake wameandika UONGO dhidi yangu. Sasa anatafute 7.5 billion za...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Shughuli za Mahakama zinaingiliwa kwa bahati mbaya?

    Tanzania siku hizi ni kawaida kuona au kusikia watu wakiingilia shughuli za Mahakama. Hii inatokana na watu kutojua sheria au Mahakama yenyewe inaruhusu kuingiliwa? Nawasilisha.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Mnyika kuingilia Uhuru wa Mahakama inaonesha alivyo na papara na jabza

    Tunaitaka Chadema kubadilika na kuanza kufanya siasa za hoja, zenye kutoa kipaumbele maendeleo ya wananchi na Taifa badala ya siasa hizi za kuhimiza ghasia, vurugu na kueneza uongo na chuki nchini. Kadhalika Mnyika aache upotoshaji na kumlisha maneno Rais Samia ambayo hakuyasema au kuingilia...
  6. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya IGP Sirro na mahojiano ya Rais Samia yanaingilia mhimili wa Mahakama?

    Kwa kifupi hawa Waheshimiwa wameshaona hii issue haiko rafiki kwao, wanapoteza pambano mapema! Kwa hiyo wamekubaliana kuwa "waingilie" Uhuru wa Mahakama kwa ku-pre-empty public. Bahati mbaya sana kwa nature ya Mahakama zetu, haziwezi kujisimamia wenyewe. Kwahio tutegemee hukumu yenye mwelekeo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ingilia kati suala la Mbowe ukubalike zaidi kisiasa; kesi ikitupwa au akishinda itakuharibia taswira yako na ya CCM

    Mtu yeyote mwenye kujua sheria anapoona tu kichwa cha thread hii, atasema sio sahihi, Rais Samia hapaswi kuingilia kati suala la mashitaka ya Mbowe ya Ugaidi kwa kuwa hapaswi kuingilia kati mhimili wa Mahakama. Ni kweli. Lakini pia, Watanzania wengi sana wanaamini kwa dhati kwamba kesi ya...
  8. Ritz

    JamiiForums Tanzania Charles Odero, afungua kesi Katika Mahakama Kuu kupinga tozo za Miamala ya Simu

    Wanaukumbi. Mwanaharakati wa Masuala ya Haki za Binadamu, Charles Odero, amefungua kesi Katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam dhidi ya Waziri wa Fedha na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupinga tozo za Miamala ya Simu iliyoanza Julai Mosi. Kesi hiyo itaanza Alhamisi,Agosti 12. Hawa ndiyo...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume na Maria Sarungi sijawaona katika maandamano Mahakama ya Kisutu, wanachochea halafu wamejificha nyuma ya kabati

    Hawa wadada wakiwa twitter wanaonekana kama tembo au simba, linapokuja suala LA kwenda saiti kutekeleza uchochezi wao, wao hawafiki! Yaani wanataka rule rungu, tufe,wao wabaki wakila bata. Maria Sarungi mama yake ni mzungu, ana pakwenda endapo njama zake za kuvuruga amani zikifanikiwa, sisi...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kiusalama kesi ya Mbowe iendeshwe kwa njia ya mtandao akiwa gerezani ili kuepusha mkusanyiko

    Teknolojia iko mbele sana na tunaipongeza mahakama kwa kuendesha kesi kimtandao. Kwa kuwa ugaidi ni jambo zito sana linalohatarisha usalama wa nchi, na hatuna uhakika kama magaidi wote wamekamatwa, ni vyema kesi ya mtuhumiwa wa ugaidi, Mbowe iendeshwe kwa njia ya mtandao akiwa gerezani. Naona...
  11. J

    JamiiForums Tanzania DC Jokate: Temeke kuwa na mahakama ya mfano nchini

    TEMEKE KUWA NA MAHAKAMA YA MFANO NCHINI. Katika kuhakikisha kunakuwa na uharakishwaji wa uendeshwaji wa kesi zinazohusu mirathi, talaka na zile zinazohusu watoto. Serikali inakamilisha ujenzi wa jengo la kisasa la mahakama katika eneo la Chang’ombe wilayani Temeke litakalokuwa maalumu kwa...
  12. Kijogoodi

    JamiiForums Tanzania Kama hii ndiyo idadi ya CHADEMA kutoka mikoa kuja kwenye kesi ya Mbowe, basi chama kimepoteza mvuto kabisa

    Kwa wiki moja sasa Chadema walikuwa wakihamasishana kuhudhuria kwa wingi kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wao Mbowe. Kuanzia katibu mkuu wa chama John Mnyika alitokwa povu sana akiwaambia polisi liwalo na liwe maelfu ya wananchi watafurika mahakamani Kisutu siku ya tarehe 5, akaja...
  13. J

    JamiiForums Tanzania SHINYANGA: Mahakama yamwachia huru Kishabi na wenzake 4 wa CHADEMA waliofungwa kwa kudaiwa kuchoma moto Kituo cha Polisi

    Mahakama kuu kanda ya Shinyanga imemuachia huru mwanachama wa Chadema Mhindu Kishabi na wenzake 4 waliofungwa jela miaka 3 kwa kosa la kuchoma moto kituo cha polisi huko Simiyu. Kishabi alikuwa diwani na baadae aligombea ubunge jimbo la Kisesa Mungu ni mwema wakati wote!
  14. Research Solutions TZ

    JamiiForums Tanzania Wananchi tumekuwa tukiingilia Uhuru wa Mahakama, tubadilike

    Kumekuwa na tabia kwa wananchi kusema katika mihimili ya serikali, kuna muhimili mmoja huwa unaingilia mamlaka za mihimili nyingine. Mihimili inayotambulika hadi sasa ni Serikali Kuu(Executive), Bunge na Mahakama. Lakini kwa kiasi kikubwa wananchi wamekuwa wakiingilia uhuru wa mahakama mara kwa...
  15. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Ili kuwa na taifa linalofuata misingi ya katiba na sheria, waliokuasanyika bila kibali Mwanza wafikishwe mahakama kesho

    Ukweli ndio huu, kama wamevunja sheria wakidai katiba basi katiba iliyopo ifuatwe. Kesho Jumatatu wawe arraigned in court in Mwanza. Sio kuwakaalisha mahabusu wakila chakula cha bure. My take: Sheria ifuate mkondo wake ili tudai vizuri katiba mpya.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Polisi, Madaktari na Mahakama wanavyoshughulikia kesi za kubaka watoto ni wazi Tanzania ni 'banana republic'. Inasikitisha, inatia hasira na aibu

    Hebu fikiria. Mtoto wako wa miaka sita anatoka shule. Akiwa njiani mjinga fulani mwenye akili mbaya kuliko mnyama anamkamata na kumvutia porini, kisha anambaka na kumuumiza sana. Mtoto huyu wa miaka sita analia kwa maumivu, lakini mbakazi anamziba mdomo na kumtishia kumuua ikiwa ataendelea...
  17. Lorenzo Samike

    JamiiForums Tanzania Kodi mpya za miamala: Mahakama iweke zuio la haraka

    Huu uharamia wa kodi mpya za miamala ya simu unapaswa kusimama. Wanasheria wetu mtusaidie hili. Hakuna kitu kinachoitwa sijui "kodi ya uzalendo" — Lazima Mahakama iweke ZUIO la hizi kodi za kitapeli. Hauwezi ukakata kodi mara tatu kwenye muamala mmoja. Huo ni uhuni na wizi. Hizi ndizo kodi za...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mahakama Kuu yatupilia mbali ombi la Jacob Zuma

    Siku chache baada ya Jacob Zuma kujisalimisha Polisi kuanza kifungo cha miezi 15, Mahakama Kuu Nchini humo imetupilia mbali ombi lake la kuzuia kukamatwa kwake. Licha ya kujisalimisha Polisi, Rais huyo wa zamani wa Afrika Kusini amepinga kifungo chake na Mahakama ya Kikatiba ambayo ilitoa...
  19. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Bunge ni mtoto wa Katiba, Mahakama ni mtoto wa Katiba, Serikali ni mtoto wa Katiba

    Penda tusipende, Katiba mpya ni Takwa la Wananchi wa Tanzania. Bunge ni mtoto wa Katiba, Mahakama ni mtoto wa Katiba, Serikali ni mtoto wa Katiba. Kwa kawaida mama anamzaa mtoto, mtoto hamzai mama na mama ni Watanzania, ndiyo wenye Katiba-M/kiti NCCR-Mageuzi, James Mbatia.
  20. comte

    JamiiForums Tanzania Sheria haiwezi leta haki hata kidogo: Mtu kakiri kuua lakini mahakama Kenya yamuona hana hatia

    Serial Killer Acquitted: Phillip Onyancha, who confessed to killing 17 people in 2010, has been acquitted of a murder charge by High Court. Onyancha led police to different towns where he committed heinous acts, decomposing bodies were found. -- A suspected serial killer facing three murder...
Back
Top Bottom