magufuli

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tujuzane nyimbo zilizotoka za maombolezo ya Magufuli

    Igweeee! Poleni sana ndugu zangu watanzania wenzangu kwa msiba mzito wa taifa letu. Najaribu kupitia mitandao lkn bado sijapata nyimbo za maombolezo. Tushirikishane tafadhali ht kwa kutaja majina au wasanii. Natanguliza shukrani
  2. tpaul

    JamiiForums Tanzania Tumuombee mama Samia Suluhu aendeleze haya mambo mazuri aliyoyaacha Magufuli

    Bila kupepesa macho wala kutikisa masikio, naingia kwenye mada moja kwa moja. Katika andiko hili nimebainisha kinagaubaga mambo ambayo yalimuinua na kumdidimiza Magufuli ili mama Samia Suluhu aendeleze yale mambo mazuri na kutupilia mbali yale mabaya. Nitaanza na yale yaliyomdidimiza na...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Mama Samia Suluhu amtembelea kumfariji Mama Janeth Magufuli

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemtembelea mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Rais Samia amepomtembelea Mama Janeth Magufuli nyumbani kwake Jijini Dar es salaam Machi 19, ambapo aliongozana na Katibu Mkuu...
  4. Peter Madukwa

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Magufuli; Kila la heri Mama Samia Hassani Suluhu, tunakuombea kwa Mungu uongozi uliotukuka

    Kwaheri Rais Magufuli, ndiyo lugha pekee iliyobaki tunayoweza kuitumia kwa sasa kwa kuwa hakuna namna ambayo tunaweza kuifanya kurudisha uhai wa mpendwa wetu, tumwombee apumzike kwa amani roho yake ilazwe mahali pema peponi, Amen. Mimi binafsi pamoja na mapungufu ya kibinadamu bado ninaamini...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya kuagwa mwili wa hayati Rais Magufuli; Mikoa minne kuuaga mwili, kuzikwa Chato

    Msemaji Mkuu wa Serikali ameongea na Waandishi wa habari muda huu na kueleza kuhusu ratiba ya kuagwa kwa mwili wa hayati rais John Pombe Magufuli. Mikoa ambayo ipo katika ratiba ya kuuaga mwili wa Hayati Rais Magufuli ni DSM, Dodoma, Mwanza na mazishi kufanyika Chato mkoani Geita. Msemaji Mkuu...
  6. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa UDSM waliwahi kuchangia matibabu ya Dkt. John Magufuli

    Aliyekuwa Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. P Mlama aliwahi kuchangisha fedha za matibabu ya Dkt. John Pombe Magufuli. Prof. Mlama alieleza kuwa Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Sayansi, John Magufuli anasumbuliwa na Ugonjwa wa 'Hypertropic Cardiomyopathy'...
  7. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Magufuli the story of Africa

    MAGUFULI THE STORY OF AFRICA. Leo 20:30hrs 18/03/2021 Our Father John Pombe Magufuli,You took us on the top of Mount Kilimanjaro and make us shine beyond our borders,You took us to the Center of the World where the white people could respect us,You brought hope in the street of Wanyonge na...
  8. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Afande Sele akimlilia Hayati Magufuli

    Afande amemlaumu sana Mungu kwa kutuonea Waafrika. Ameshauri Watanzania na Waafrica kuachana na dini za wazungu tuamini mizimu yetu na jua. Amesema hayo akishangaa kwanini Mungu aliyepewa kipaumbele na JPM ameshindwa kumlinda na husda za wazungu mpaka wakafanikiwa kumuondoa.
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atuma Salamu za rambirambi kufuatia Msiba mzito wa Rais Magufuli

  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Katiba inaposema sifa za mgombea Urais ni kuwa na afya njema, msilidharau hili

    Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya. Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya...
  11. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Harmonize - Ahsante Magufuli (Official Video)

  12. likandambwasada

    JamiiForums Tanzania Iyumbu, Dodoma: Rais Magufuli aagiza ardhi iliyotengwa na Serikali ili kuzika Viongozi kurudishwa kwa wananchi. Asema yeye atazikwa Chato

    Baada ya Mh. Rais kuzindua tawi la benki ya CRDB la LAPF Dom, sasa TBC1 wako live katika sherehe za uzinduzi wa mradi wa nyumba za makazi wa Iyumbu, Dodoma. Anazindua nyumba 150 za mradi wa Shirika la nyumba la Taifa (NHC) zilizopo Iyumbu, kata ya Iyumbu Mkoani Dodoma...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Harmonize sio poa kutafuta Kiki kupitia kifo Cha Mhe Magufuli

    Huyu kijana sasa hiv naona ameanza kuvuka mipaka ya Kiki sio mbaya kufanya Kiki lakini fanya Kiki za maana kwa namna moja au nyingine zitakazoweza kusaidia kupush kazi zako lakini hii ya kujirecord unalimlilia marehemu Magufuli alafu unapost kwenye account yako ya social media unawakosea heshima...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rwanda yatangaza maombolezo hadi Rais Magufuli atakapozikwa

    Rais wa Rwanda, Paul Kagame, ametuma salamu za rambirambi kwa Tanzania kwa kuondokewa na Rais John Magufuli aliyefariki Machi 17 Pamoja na salamu hizo Rwanda imetangaza kuwa na siku za maombolezo ambapo bendera ya Taifa la Rwanda na Bendera ya Umoja wa Afrika Mahsriki itapepea nusu mlingoti...
  15. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Serikali mmetunyima haki ya kumuombea Magufuli, kwa kutunyima taarifa za kuumwa kwake

    Rais Magufuli alikuwa muumini mkubwa wa maombi na kuombewa. Nna imani kabisa kama tungejulishwa kuhusu kuumwa kwake huenda wengi sana watanzania tungemuombea. Badala yake serikali kwa sababu wanazozijua wao, waliamua kuficha taarifa na ilikuwa ni dhambi hata kuthubutu kumuulizia Rais alipo...
  16. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania The internet is undefeated: A painful lesson

    I hope this was a teachable moment. From it, they will grow through what they went through and do better going forward. They say if you know better, you do better. So I’m crossing my fingers that they will publicly acknowledge the error of their ways and promise us to do better and use some...
  17. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Ninachokumbuka kuhusu Nyakati za John Pombe Magufuli

    Habari na poleni sana kwa msiba. Niseme tu kwamba wengi wanaweza kusema mengi kuhusu Msiba huu ila mimi naweza kusema Jambo Moja. Maisha ni zawadi, tuyaenzi. ujifunze kutoka katika maisha ya Magufuli; Maisha ambayo yaliacha alama. Mwaka 2010 mara baada ya uchaguzi mama yangu mzazi aliniuliza...
  18. Replica

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyatta aihutubia Kenya msiba wa Magufuli, atangaza siku saba za maombelezo na bendera nusu mlingoti

    Leo Rais wa Kenya amelihutubia Taifa la Kenya juu ya kifo cha Rais Magufuli na kutoa pole kwa mama Janeth Magufuli na watanzania. Amesema anakumbuka ziara ya Rais Magufuli nchini Kenya na kwa pamoja wakafungua barabara inayoitwa 'Seven Bypass' na kwake binafsi anaikumbuka heshma kubwa...
  19. kidadari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya wanafanya propaganda chafu kwenye msiba wa Rais Magufuli

    Nimeangalia KTN News usiku wa leo, kweli Kenya wanafanya coverage kubwa sana kwenye msiba wa Rais Magufuli usiku kucha. Wamebase kwenye negative tu za Rais Magufuli kiasi hakuna jema kabisa. Kwanza wanaaminisha dunia kuwa Magufuli hajafariki kwa ugonjwa wa moyo ila ni Covid-19. Kwa station...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Tuhangaike kujenga mifumo imara na siyo kutumainia mtu mmoja

    Ndugu Nape alipohojiwa kuhusu vuguvugu la kumuongezea Rais Magufuli muda wa utawala wake amesema haya yafuatayo. 1. Kwanza anashangazwa na kwamba ndiyo kwanza miaka mitano ya muhula wa pili wa utawala wa Rais Magufuli umeanza halafu watu wanaanza kuzungumza ya baadae, wakati haya waliyoomba...
Back
Top Bottom