magufuli

  1. tpaul

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Museveni na Kagame kutokuja kumuaga hayati Rais Magufuli kinaashiria nini?

    Ndani ya muungano wa EAC nchi ya Kenya imekuwa mstari wa mbele katika kuleta chokochoko za hapa na pale, hasa ikiichokonoa Tanzania mara kwa mara. Ingawa hivyo, Rais wa Kenya Hon Uhuru Kenyatta amefika yeye mwenyewe mubashara kuja kumuaga hayati Dr Magufuli. Nchi za Uganda na Rwanda hazijawahi...
  2. samesame

    JamiiForums Tanzania Dar na Dodoma: Wafanyabiashara walazimishwa kufunga maduka sababu ya msiba wa Hayati Magufuli

    Katika karne hii 21 taifa linaendeshwa kama enzi za ujima. watu wote tunalazimishwa kufikiri sawa, yaani wanataka woote tuhuzunike. Hii si sawa. watu woote hawa wamefika makazini hawajui cha kufanya baada ya kufika kazini na kuamlishwa kutawanyika. nakulilia Tanzania yangu.
  3. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Tanzania imezizima, dunia imetaharuki kwa kuwa Magufuli alifanya yale wanadamu waliyotarajia kama kiongozi. Je, yupo atakayeweza kuvaa viatu vyake?

    Magufuli alionyesha utofauti kama kiongozi tangu mwanzo wa safari yake ya uongozi na siasa.Katika ngazi zote za utendaji na kama Waziri,alitimiza wajibu wake katika kila eneo.Akawa kivutio kikubwa kwa wananchi na hata adui zake ndani na nje ya nchi. Kwa siri adui zake walikiri umahiri wake...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tumuenzi Rais Magufuli kwa kubana matumizi yasiyo ya lazima

    Rais Magufuli (RIP) hakupenda matumizi ya hovyo kabisa kwenye maisha yake ya uongozi. Hivyo, hata kwenye mazishi yake lazima tuzingatie matumizi ambayo yanaongeza gharama ambazo sio za lazima katika kupunsishwa kwake kwenye nyumba yake ya milele ili pesa hizo zielekezwe kwenye ujenzi wa miradi...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli anapotajwa kuwa Shujaa wa Afrika, maana yake nini?

    Wasalaam wajumbe. Nimesoma na kusikia katika vyombo vya habari kwamba Magufuli Pombe katika kipindi chake alikuwa shujaa wa Afrika. Hii inasemwa sana, mwanzo nilijua ni kupitiwa tu, bahati mbaya. Kumbe wana habari wapo serious kabisa. Nahitaji kujua machache kuhusu Magufuli kutajwa kama shujaa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ahoji alipo Waziri Simbachawene

    Kaandiki hivi kupitia twitter ambapo pia ameambatanisha picha ya Simbachaweni katika tweet yake hiyo: Yuko wapi Waziri Simbachawene? Vaeni Barakoa. Jilendeni na corona. Mtaisha mkifanya mzaha.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Magufuli: Dunia imeshuhudia Watanzania walivyokuwa wanampenda Magufuli

    Mawakala wa mabeberu walikuwa wanajitahidi Sana kuiaminisha Dunia kuwa Watanzania wako kwenye mateso Sana chini ya utawala wa Rais Magufuli. Waliamini watanzania walio wengi watafurahi Sana na kushangilia Magufuli atakapoondoka madarakani au atakapofariki. Kinyume chake mabeberu na mawakala wao...
  8. Mystery

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje kamati ya uratibu wa mazishi ya Magufuli, hapo awali "waliwaengua" Zanzibar katika shughuli ya kuaga mwili?

    Kama tujuavyo ni kuwa hapo awali kamati ya mazishi ya marehemu Magufuli, hawakuwaweka katika orodha ya awali Zanzibar, miongoni ya miji ambayo wakazi wake watapata fursa ya kuaga mwili. Kama tujuavyo ni kuwa katika ratiba ya awali wa kuaga mwili wa marehemu Magufuli, iliorodheshwa miji ambayo...
  9. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Macho yangu yananidanganya?

    Mimi si kipofu wala si kiziwi. Uwezo wangu wa kuona na kusikia upo juu. Hivi hiki ninachokiona kwa macho yangu na kukisikia kwa masikio yangu ni uongo? Nina maruerue labda? Hayo ninayoyaona ni mazingaombwe? Kwa nyomi hizi zinazojipanga barabarani mwili wa Rais Magufuli unapopitishwa ndo...
  10. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete: Usirithi adui ya mtu... Tengeneza Adui yako Mwenyewe, lakini...

    Akiwa anatoa hotuba ya Kumsimika Makamu wa Chuo Kikuu Dar es Salaam. Prof. William Lazaro Anangisye, ametoa Mfano akiwa mwenyekiti wa CCM huko Mtwara akotokea Jeshini. Aliambiwa... “Ukitaka Mambo yako yafanikiwe, Haki ya Mungu, Fulani na fulani kaa Mbali nao! Mwishowe kasema, “Tengeneza adui...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mama Janeth Magufuli awasili Dodoma akiwa amevaa Barakoa...

    Kwa mara ya Kwanza kabisa baada tu ya Kutua Mkoani Dodoma ( Makao Makuu ya Nchi ) ameonekana akiwa amevalia Barakoa na pia akiwa hataki kabisa Kupeana ( Kushirikiana ) Mikono na Watu. Maswali yangu ni kama yafuatayo.. 1. Kwanini Mumewe ( Hayati Rais Dkt. Magufuli ) alipokuwa Hai alikuwa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gamanywa: Nilimuombea hayati Magufuli nina uhakika amepokelewa mbinguni kwa Baba

    Askofu Gamanywa amesema watu wasitegemee mama Samia kufanana na hayati Magufuli kwa sababu Mungu amemuumba kila mtu na kipawa chake. Rais Samia atatimiza majukumu yake vizuri sana kulingana na kipaji alichobarikiwa na Mungu, amesema. Askofu Gamanywa amesema wao walimuombea hayati Magufuli...
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Mwili wa John Pombe Magufuli: Wakazi wa Dodoma waizunguka Airport

    Wakazi wa Dodoma wamejitokeza na kuizunguka Airport ya Jiji la dodoma wakisubiri kuona Mwili wa Mh Rais Magufuli ukishuka tayari kuagwa hapo kesho. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA! DODOMA NI MAKAO MAKUU YA CHAMA NA SERIKALI.HAWA NI WAKAZI WA DODOMA WAKISHIHUDIA SAFARI YA MWISHO YA Rais...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea katika uwanja wa uhuru katika kuaga mwili wa Rais Magufuli

    Wakazi wa Dar wamefurika Uwanja wa Uhuru kumuaga Hayati Rais Magufuli ambapo Saa 11, mwili utasafirishwa kuelekea Dodoma. Kutokana na wingi wa watu Mkuu wa Mkoa wa Dar, Abubakar Kunenge amewaomba wale ambao wanataka kumuaga Rais Magufuli lakini hawataweza kufanikiwa kufika uwanja wa Uhuru...
  15. Wakwetu03

    JamiiForums Tanzania Meshamazing ft Mbeya all stars - Magufuli (official video)

  16. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Miradi yote aliyoacha Rais Magufuli iko salama

    Leo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai wakati akitoa salamu za pole kufutia kifo cha Rais Magufuli, amewataka watanzania kuwa watulivu na kusema ilani ya CCM ya 2020 - 2025 na miradi yote ya maendeleo aliyoacha Rais Magufuli itatekelezwa kwani fedha zote za miradi hiyo...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Uhuru umefurika sana!, watu Washindwa kuaga. Watakiwa kujipanga barabarani kuelekea Uwanja wa ndege ili waweze kupunga mkono

    Ili kuwatendea haki Wakazi wa Dar es salaam tunaomba kamati ya mazishi ya hayati Magufuli muongeze walau siku moja ili zoezi hili liitimishwe kesho. Uwanja umefurika na nje misururu ni mirefu sana. Maendeleo hayana vyama!
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mzee aliyetoa zawadi ya Jogoo, apanda gari kuja kumuaga Rais Magufuli, Dar

    Mnamkumbuka yule mzee aliyempa Magufuli zawadi ya Jogoo kule Kilwa? Mzee Shaweji Kimbwembwe amepanda basi kutoka huko kijijini kwao kuelekea Dar ili apate fursa ya kumuaga Rais Magufuli. Alimpa Rais Magufuli Jogoo baada ya kuelezea kadhia ya huduma hafifu za afya katika eneo lake la Somanga...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli kuagwa bungeni Dodoma kesho, wabunge wengi wamlilia

    Kesho bunge la JMT litapata fursa ya kumuaga hayati Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania ambaye pia ni sehemu ya bunge. Shughuli za kuaga zitafanyikia kwenye viwanja vya bunge. Wabunge wengi wameonyesha hudhuni kubwa akiwemo mbunge wa Morogoro kusini babu Tale ambaye aliahidiwa kujengewa...
  20. Page 94

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wanaoenda kumuaga Rais Magufuli

    Wasalaam! Wakati zoezi la kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg John Pombe Magufuli likiendelea mkoani Dar es Salaam ni vema kila anayepanga kwenda kutoa heshima za mwisho achukue tahadhari zifuatazo. a) Jitahidi uvae barakoa. Inakupasa kufahamu ya kuwa unaenda...
Back
Top Bottom