magufuli

  1. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

    Yaani inaudhi tumepitia huku kila baada ya miezi kadhaa sijui wapi wanaombea au kumngojea Rais aumwe? Ili kiwe nini? Kama anaumwa vya kutisha mnasema, kama ni uzushi mnasema na hata kumwonyesha kama alivyofanyiwa Dr. Mpango. Nililisema hili hata wakati wa zile tetesi nyingine wakati ule. Rais...
  2. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

    Wanabodi, Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample za mimea na wanyama kwa kuzipa majina ya binadamu kwenye maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa siri bila wapimaji kufahamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake. Je? Tatizo ni...
  3. lendila

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere: Hii Katiba ya Tanzania, tukimpata Rais asiye na busara anageuka kuwa Mungu

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hii katiba yetu, inampa mno madaraka makubwa sana, mwalimu alisema kuwa kama tukimpata Rais asiyekuwa na busara, kwa katiba hii Rais anageuka kuwa mungu, unakubaliana na kauli ya mwalimu Nyerere? "Katiba hii imenipa Madaraka makubwa sana, siku atakuja mtu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Rais Mwinyi na Magufuli hawawasiliani katika uongozi?

    Wanaojua masuala ya uongozi wa nchi zetu Zanzibar na Tanganyika wanisaidie juu ya haya Mawasiliano baina ya Marais wetu Dk. Hussein Mwinyi na Dk. Magufuli (Tanzania). Nijuavyo ni kwamba Muungano wetu ni wa nchi moja ndani ya Serikali mbili. Uamuzi wa Rais Magufuli unaathiri maeneo yote ya nchi...
  5. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Suala la kuongeza muda wa Rais ni ajenda ya Rais Magufuli

    Bwana Lissu anaongea kwa kujiamini kabisa. Anaongea kama vile ana uhakika na anachokisema. Kuwa, eti hii minong’ono ya Rais Magufuli kuongezewa muda, ni ajenda yake yeye mwenyewe Magufuli kupitia kwa wapambe wake. Natumai ana ushahidi wa anachokisema. La sivyo, ni vibaya sana kwa kiongozi wa...
  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Prof Lipumba: Taswira ya Tanzania kimataifa iliyoachwa na Mwalimu Nyerere, Rais Magufuli ameiharibu. Ni aibu kubwa kutoshirikiana na WHO

    Kwa malezo aliyotoa Prof Lipumba alipokuwa anaongea na waandishi wa habari huku akiongea kwa uchungu, amesema kuwa rais Magufuli ameharibu taswira ya Tanzania kwenye Jumuia ya Kimataifa. Nchi zingine zote zinashirikiana na WHO kwa kupima na kutoa taarifa. Pia zipo kwenye mgao wa WHO wa kupata...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

    Naam wakuu, Leo ni Jumapili nyingine. Nimezoea kukutana na mnakasha humu JF au kukutana na mabandiko katika makundi sogozi ya WhatsApp yakiambatana na picha yakionyesha Rais alikoshiriki ibada. Mara nyingine hata akipewa nafasi kutoa neno kanisani. Yupo Dar bado? Leo Machi 7, 2021 amesali...
  8. hayaland

    JamiiForums Tanzania Magufuli na Kenyatta walimaliza migogoro haya mengine yanatoka wapi?

    Nakumbuka marais hawa wawili waliwahi kuzungumza kwa simu hata kabla ya uchaguzi wa mwaka jana 2020 .Rais Magufuli alisema amezungungumza na Rais mwenzake wa Kenya mh Kenyatta na kuweka mambo sawa na kumwagiza waziri wa mambo ya nje wa Tanzania na wa Kenya kukutana mara moja Ili kusawazisha...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Yanga inamuhitaji sana mtu kama Magufuli (mtu asiyeogopa watu hata kwa ubabe mambo yaende)

    Habari wadau. Mimi mshabiki wa yanga kiukweli mwenendo wa timu unanikwaza, hasa viongozi wakina Msolla na Mwakalebela. Ninatamani kiongozi mwenye Magufuli mentality aje aiongoze Yanga.
  10. Ghost boss

    JamiiForums Tanzania Nilichokiwaza nilipoona matumizi ya Serikali

    Mmmmh! Siku ya kwanza binafsi kuona bajeti ya jumla ya serikali nilimuuliza rafiki yangu xxxx kwamba hivi tutafanikiwa kweli kama ulaya sisi? Niliuliza hivyo bila kuelewa vizuri maana binafsi nilivyoona salaries na wages inaichukua serikali pesa nyingi nilisikitika sana moyoni. Nilisikitika...
  11. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Mtokambali: " Wito wa maombi maalum ya kitaifa ya siku 21 dhidi ya wimbi la pili la maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19)”.

    Wana jamvi amani kwenu ! Leo nachukua nafasi hii kumpongeza askofu mkuu Dkt. Barnabas W. Mtokamhali wa kanisa la TAG; kwa barua ya kumbukumbu TAG/MNM/GEN/45 ya tarehe 05 Machi 2021; kwenda Maaskofu wote wa Majimbo,Wakurugenzi wote wa Idara na Vitengo, Waangalizi wote wa Sehemu, Wachungaji wote...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi: Zanzibar inakabiliwa na ugonjwa wa Corona

    Rais wa Zanzibar leo ametangaza rasmi kuwa Zanzibar inakabiliwa na ugonjwa wa korona na ametaka taadhari za lazima sasa zichukuliwe. Kauli hii ni ya kwanza kutolewa na kiongozi wa juu wa serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania na pia ni tofauti kabisa na kauli zinazotolewa na Rais Magufuli...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Vijana tumesahaulika

    Vijana wengi wa CCM tulisahau kuwa ili uonekane unafanya kazi lazima tupambane na upinzani mpaka sasa hatuoni kitu gani kinachonachokifanya. Msimu uliopita wa 2015 kulikuwa na ajira za chama vijana wengi waliajiriwa kupitia kuwa makada. Kuna watu wanachama wengi waliajiriwa kupitia mfumo wa...
  14. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Ushujaa na ubora wa Rais Magufuli utang'ara zaidi baada ya kung'atuka madarakani 2025

    Salaam Wana JF Nianze andiko hili fupi la uchambuzi kwa kutoa hongera na shukrani kwa Rais Dkt. Pombe Magufuli kuendelea kuonyesha misimamo chanya dhidi ya maslahi ya Watanzania katika mambo ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kifya licha ya uwepo wa mashambulizi makali kutoka miongoni mwa...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa wananchi wakiwa na Mabango ya kero mbele ya Rais Magufuli. Je, ni Kushindwa kwa viongozi wa kisiasa na watendaji mbalimbali?

    Kumekuwa na tabia iliyozoeleka Sasa ya wanainchi wakiwa na Mabango ya kero mbalimbali mbele ya Rais Magufuli. Hii ni Ktk ziara zake mbalimbali za kuwatumikia wanainchi. Je, hali hii inamaanisha ni Kushindwa kwa viongozi wa kisiasa/ wawakilishi na watendaji/ watumishi wa umma katika kazi zao?
  16. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Je, kutokuwepo kwa rabsha za tumbuatumbua ndio ishara kuwa Rais Magufuli amemaliza kero zote za wananchi? Mbona kama mambo ndivyo sivyo?

    Ndugu wana JF humu ndio mahala pa kuhoji kila jambo linalotuhusu. Je, serikali awamu ya tano imekamilisha kutatua kero zetu? Alipoingia madarakani rais Magufuli alianza kwa kasi ya kutumbua wote ambao walionekana ni wabadhirifu, wasiowaadirifu ambao walionekana kuwaletea kero wananchi kisha...
  17. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na kamari ya Machinga na Mamantilie kwa manufaa binafsi ya kisiasa

    Huwezi liona hili kama huna upeo wa kuwaelewa wanasiasa. Magufuli amesema Machinaga na Mamantilie wafanye biashara popote bila bughudha yoyote kinyume kabisa na sheria ya mipango miji na sheria ya kodi. Mfano mzuri ni hapo kariakoo ampapo ni busness hub ya Tanzania na nchi jirani kujazwa...
  18. V

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Baptist IFB: Heko Rais John Magufuli kwa msimamo wako juu ya corona na chanjo zake

    TAMKO LA KANISA KUUNGA MKONO MSIMAMO WA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI KATIKA SUALA LA UGONJWA WA COVID-19 NA CHANJO ZAKE 1. UTANGULIZI: Tamko hii halina malengo ya kisiasa kwa maana sio jukumu la kanisa kuhubiri siasa (1 Kor. 5:12; 2 Tim. 4:2). Hii ni taarifa fupi ambayo haitaweza kugusia kwa...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Kariakoo imehamia Stendi ya Magufuli, Mbezi Louis

    Kwa mara ya kwanza leo hii nimefika stendi mpya ya Magufuli, hakika inastahili kubeba heshima ya Jemedari wetu Dr. JPM, nimeshuka tu nilidhani nimefika South Africa! ni nzuri sana na kubwa, ya kisasa! Movements niliyoiona ni kama vile Kariakoo yote imehamia Mbezi! Stendi hii imebadilisha kila...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Megastructures mlizozipinga zimeibadili taswira ya Tanzania, mlikurupuka kumkosoa Rais Magufuli

    Wapinzani wa Tanzania wanakasumba mbaya sana. Wao kila jambo ni kukosoa tu. Wakiona serikali inajenga shule, hospital, barabara au stendi ya mabasi wao ni kukosoa tu. Nimeshuhudia mabadiliko makubwa sana kwenye miji yetu tangu JPM awe rais. Naweka baadhi ya mifano. Nilishuhudia mkoa wa Singida...
Back
Top Bottom