Wanabodi najua kabisa tupo kwenye msiba mkubwa. Msiba ambao umemgusa kila mtu na mpaka sasa kila Mwananchi haamini kilichotokea.
Lakini yapata kama wiki moja iliyopita taifa zima lilikumbwa na taharuki kubwa. Kila raia mwenye mapenzi na mkuu wa nchi yetu alitaka kujua kama anaumwa au haumwi...
Leo watu ni wengi wengi tena wengi sana sidhani kama itakapofika saa 11 jioni wakati wa kufunga zoezi hili kwa mkoa wa Dar es salaam watu watakuwa wamekwisha.
Ila siku ya leo akina mama wengi wamekuja na watoto wachanga na wale wadogo na wakipita mbele ya jeneza kuaga huwanyanyua juu watoto wao...
Nianze kwa kutoa pole mimi kama Mtanzania mzalendo kwa watanzania wenzangu kwa msiba huu mzito ulilolipata Taifa letu, tumuombee mpendwa wetu awe na safari njema huko aendako AMEN.
Nirudi kwenye Maada pasipo kuwachosha sana,kifo cha Rais wetu kimekua cha kusikitisha sana na chenye simanzi...
Mchungaji wa Kanisa la KKKT Kimara, Dr Mastai amesema yeye alimuunga mkono hayati Magufuli kuanzia siku ya kwanza aliyoingia madarakani hadi Jumapili iliyopita alipomfanyia maombezi maalumu Kanisani.
Mchungaji Mastai amesema hata sasa anamuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan lakini akitugeuka...
Nianze Kwa kumtanguliza Mungu kama Nabii Dr. John Magufuri alivyopendelea kumtanguliza Mungu kila wakati. Napenda nimshukuru Mungu aliyeziumba mbingu na nchi kwa kuendelea kuliongoza Taifa letu bado ninaamini Taifa letu lipo mikononi mwake Mungu. Mungu wetu aendelee kututia nguvu sisi kama taifa...
Huu ndio ushauri wangu kwa serikali hii mpya ili tuone ni nini kimo kwenye hiyo mikataba na tukigundua ni mikataba mbovu; basi tuisitishe na kisha tuifumue kabla ya kuendelea nayo.
Tukumbuke ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ulifutiliwa mbali kwa hoja mkataba wake ulikuwa mbovu na baaadhi yawatu...
Hawa Walinzi wa Aliyekuwa Rais wa JMT Hayati John Pombe Magufuli wamefanya kazi ya kutukuka. Wamefanya kazi kwa ueledi na ufanisi Mkubwa. Leo mpendwa wao na boss wao katutoka...
Kwa namna walivyofanya kazi tunaomba uendelee nao ama waende kwa Makamu wa Rais ajaye. Tuwape fursa zaidi kwa kazi...
" Rais Dkt. Magufuli alikuwa ni Yesu wa duniani na nadhani hata Yesu Mwenyewe angekuwepo angemfurahia na Kuona kuwa kapata Mrithi wake kutoka Tanzania "
" Rais Dkt. Magufuli hukupenda kwenda nchi za Mabeberu Ulaya na Marekani ila China alienda "
" Rais Dkt. Magufuli ndiyo alikuwa Rais pekee...
Kwa kweli Kenya na Tanzania ni nchi mbili marafiki sana na niseme ni kama ndugu:
Naona toka msiba huu umetokea Kenya wanauchukua pia kama wao: Mambo yafuatayo yametoa faraja sana kwetu toka kenya
1. Rais Kenya kuhutubia taifa kuhusu msiba wa Rais wetu aliyetangulia mbele za haki Magufuli
2...
Mods Moderator naomba msiunganishe huu uzi🙏
Tumshukuru sana Mungu kwa zawadi ya uhai wa John Pombe Joseph Magufuli kwa nchi yetu. Ametutoa pagumu sana, ametuthubitishia yaliyoambiwa hayawezekani yanawezekana kwa vitendo
Ametuachia viongozi makini aliowapika kuwa wazalendo kama yeye mwenyewe...
Wakazi 8 wa Mererani Wilaya Simanjiro wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kukejeli na kushangilia kifo cha Rais John Magufuli.
Rais John Magufuli amefariki Machi 17 kwa matatizo ya moyo na atazikwa Machi 26, Chato, Mkoani Geita. Taifa lipo katika maombolezo ya siku 21...
A sneak peek into dreams Museveni, Magufuli shared
President Museveni (left)and his Tanzania counterpart John Pombe Magufuli (RIP) sign a pact for the East Africa Crude Oil Pipeline (EACOP) project in Tanzania in September last year. PHOTO | FILE
Summary
When Magufulu came to Uganda in 2016 to...
Msemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo.
Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu.
Kadhalika Mufti wa Tanzania sheikh Zubeir alimuombea.
Katika maisha ya binadamu hii ni neema kubwa...
Wanajamvi habarini,
Ama baada ya salam naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye mada yangu. Kwa ninavyofahamu mke wa hayati John Magufuli, Janeth Magufuli, alikuwa Mwalimu na kama sijakosea alikuwa ni Mwalimu wa shule ya Msingi ila alikoma kushika chaki mara tu baada ya Hayati Magufuli...
How Magufuli charmed Uganda
FRIDAY MARCH 19 2021
Tanzanian President John Magufuli (R) and Ugandan President Yoweri Museveni endorsed the construction of the East Africa Crude Oil Pipeline (EACOP. PHOTO/FILE
Summary
Six years ago, there existed a loose grouping christened the ‘coalition of the...
Baada ya Ibada ya kuuombea na kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kufanyika katika kanisa la St Peters Jiji Dar es Salaam sasa ni muda wa uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam. Wananchi wamekusanyika kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania
WAKAZI WA DAR...
Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoielekeza kwenye mamlaka za nchi kuwaombea msamaha watu kadhaa waliokamatwa kwa kuzusha uongo mitandaoni kwamba Rais Magufuli ni mgonjwa.
Baba Askofu amewaombea msamaha wahalifu hao ili pamoja na mambo mengine tushiriki nao kuomboleza msiba huu mkubwa wa Kitaifa.
Nimejaribu kwa muda mrefu kuwafananisha hawa viongozi wawili ambao mmoja ametangulia mbele za haki kwa mapenzi ya Mola, Hawa viongozi wawili ni Energetic na Ni wakali sana kwenye rasilimali za nchi na ni wazalendo wa kweli.
Tofauti ya ndogo iko katika vipande hivi;
1. Tundu Lissu ni mwanasheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.