Harmonize sio poa kutafuta Kiki kupitia kifo Cha Mhe Magufuli

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
7,119
2,000
Huyu kijana sasa hiv naona ameanza kuvuka mipaka ya Kiki sio mbaya kufanya Kiki lakini fanya Kiki za maana kwa namna moja au nyingine zitakazoweza kusaidia kupush kazi zako lakini hii ya kujirecord unalimlilia marehemu Magufuli alafu unapost kwenye account yako ya social media unawakosea heshima watanzania unaleta mambo ya bongo movie kwenye msiba mzito wa Taifa.Mtu gani mwenye uchungu anapata wasaa wakujirecodi na kutuma kwenye social media ebu badilika kijana.
 
Somoche

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
4,886
2,000
Angetunga wimbo mzuri wenye vina na mistari iliyonyooka Kwani hawakuna Komba alivyomtungia Nyerere?? Sasa Kujiliza kwenye social Media sio sawa hasa kwa wanaume.Unatia Aibu ila kwa wanaume wa Dar hiyo ni kiki.
 
magasi jnr

JF-Expert Member
Dec 3, 2017
261
500
Angetunga wimbo mzuri wenye vina na mistari iliyonyooka Kwani hawakuna Komba alivyomtungia Nyerere?? Sasa Kujiliza kwenye social Media sio sawa hasa kwa wanaume.Unatia Aibu ila kwa wanaume wa Dar hiyo ni kiki.
Mbona nyimbo kashatunga na imeachiwa leo mida ya sa4 asubuh
 
ze-dudu

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
13,441
2,000
Huyu kijana sasa hiv naona ameanza kuvuka mipaka ya Kiki sio mbaya kufanya Kiki lakini fanya Kiki za maana kwa namna moja au nyingine zitakazoweza kusaidia kupush kazi zako lakini hii ya kujirecord unalimlilia marehemu Magufuli alafu unapost kwenye account yako ya social media unawakosea heshima watanzania unaleta mambo ya bongo movie kwenye msiba mzito wa Taifa.Mtu gani mwenye uchungu anapata wasaa wakujirecodi na kutuma kwenye social media ebu badilika kijana.
Ni Mambo mawili tu binadamu hawezi kuyaficha
Mimba
Ushamba........
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom