Prof Kabudi: Rais Magufuli na serikali yake hawawabagui wanafunzi wa kike, wote wanapata haki sawa wapinzani wasipotoshe

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,874
Zitto kaumbuliwa mchana kweupe kwa uzushi wake juu ya wanafunzi wajawazito kubaguliwa.

Prof Kabudi ataenda UN kuieleza dunia ukweli kutokana na uzushi huu wa Zitto.

Maendeleo hayana vyama!
 
Zitto kaumbuliwa mchana kweupe kwa uzushi wake juu ya wanafunzi wajawazito kubaguliwa.

Prof Kabudi ataenda UN kuieleza dunia ukweli kutokana na uzushi huu wa Zitto.

Maendeleo hayana vyama!
Leo buku7 haingii, polepole sio mjinga kwa Uzi mwepesi hivi.
 
Tufike sehemu tuache unafiq ,Magufuri si mara 1 wala 2 amesikika akisema kwa kipindi chake mwanafunzi atakaye pata mimba hatarudi shule (ya serikali) labda awe siye yeye madarakani

Kabudi, ww na Elia F Michael ni wanafiq grade 1 kupindisha maneno

je alipo sema hawatosoma shule za serikali ilikuwa sio kuwatenga,ama ndo aliwaunganisha na wazazi wengine huko nyumbani.

acheni unafiq, ilani inasema watarihusiwa kurudi shule magu anasema hakuna kitu kama icho (mkamuunga mkono) leo anabanwa kwa iyo sema mnageuka kutetea et mbona waziri ni mwanamke (rejea bandiko pumbavu(la kijinga ) la elia
 
Zitto kaumbuliwa mchana kweupe kwa uzushi wake juu ya wanafunzi wajawazito kubaguliwa.

Prof Kabudi ataenda UN kuieleza dunia ukweli kutokana na uzushi huu wa Zitto.

Maendeleo hayana vyama!
Wa jalalani tena?? Hivi wakati Mh. Ana kataza wanafunzi walio zaa kurudi shule aliongelea bafuni au chumbani? Au mna taka muwekewe clips zake hapa?? /vitu mseme wenyewe sasa ime kuwa ni agenda ya Zitto sio ya Ccm tena.. Jaribuni kuwa na aibu kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah, sote tunaona aliyeko mbele yetu ni bata lakini 'jiniazi' na mwanasheria msomi dokta profesa palamagamba idani mwaluko kabudi anatuambia kuwa huyu tunayemwona ni mbuzi. Yeye ndiye mtaalamu!
 
Nilimuelewa Kabudi.

Alisema Serikali imeweka mfumo mwingine mzuri wa kuwapatia elimu wanafunzi waliopata mimba na walioshindwa kuendelea na Msingi/Sekondari kwa sababu mbalimbali.

Mfumo huo ni elimu ni mfano Veta na mafunzo ya ufundi stadi kwa ujumla.

Haya mambo yana ugumu gani kueleweka?
 
Back
Top Bottom