Anguko la Rais Magufuli litakuwa na mshindo mkubwa sana

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Messages
8,693
Points
2,000

technically

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2016
8,693 2,000
Uchaguzi unakaribia watu hawataki kuvunja katiba wanamsubiri alivunje bunge waanze kumrarua kutoka pande zote.

Sio ndani ya vyombo vya usalama,

Sio ndani ya ccm wala ndani ya upinzani wote watapeleka mashambulizi juu ya hoja za Usalama wa taifa na utekaji wa watu, kuanguka kwa Uchumi, Ajira kwa vijana je amejipanga kuzuia ili gharika? wakina bashite wana msaada wowote?

Eti anakubalika kama anakubalika kwa nini anabana wapinzani ndani ya chama na nje?

Eti anapendwa sasa nawaambia subiri muone anavyopendwa ndani ya systemu ya nchi.

Nashauri aanze kufungasha vilago kwenda chato.
 

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
33,818
Points
2,000

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
33,818 2,000
Tech, wapinzani wasisubiri hilo, wadai tume huru ya uchaguzi! Hili ni muhimu. Wakifanya kama uchguzi wa serikali za mitaa unafanyaje? maana bado atakuwa na madaraka pamoja na kuvunja bunge!
Mie nawaambia wapinzani wasikubali kuwaza yale CCM wanataka wawaze, ni kukomaa tuu na Tume huru ya uchaguzi na sio kuwaza mengine.
Kilichopo ni msimamo wa wazi KUANZIA SASA kuwa hakuna Tume huru hakuna uchaguzi.
Full stop!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mbenge

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2019
Messages
650
Points
1,000

mbenge

JF-Expert Member
Joined May 15, 2019
650 1,000
Mdukuzi wa "info" za watu naye vikao vyake vyote vya siri hudukuliwa. Kama wale wote walokuwezesha kufikia hapo ulipo, umewadukua ktk faragha za mawasiliano yao ya faragha. Basi wao wanajua udhaifu wako wote, nao wamejiapiza na tena watatumia njia hiyo kama kete yao muhimu ya kukuondosha kwa fedheha ktk ofisi yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,392,232
Members 528,573
Posts 34,102,430
Top