magufuli

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya Magufuli kuwatosa Wapalestina? Netanyahu anakuja Afrika ya Mashariki

    Tunamjua Rais wetu, akipewa heshima kubwa ya kubumba (charm offensive) au kusifiwa basi ataenda extra mile hadi kuichanachana misingi iliyowekwa na watangulizi wake. Sote tunafahamu kuwa sera ya nchi yetu kuhusu mgogoro wa Wapalestina na Waisrael ni kusimama na Wapalestina ili wapate haki yao...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni: Rais Magufuli yupo well-informed na fiti sana kichwani kwa kumbukumbu. Ana data hadi za majungu hatarishi ya ndoa!

    Wanabodi, Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni, Rais Magufuli, kwanza yuko well informed kwa upande wa data za utendaji wa wateule wake wote! kichwani yuko fiti sana katika utunzaji wa kumbukumbu kutoka kichwani, leo katika kuwaapisha viongozi wapya aliowateua hivi karibuni, alikuwa anatiririka...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ujumbe maalumu kwa wasaidizi wote wa Rais Magufuli na Viongozi wa CCM

    Mimi ni raia wa kawaida wa nchi hii. Nachukuwa fursa hii kutoa ujumbe wangu kwa wasaidizi wa Mh Rais wetu wote kwenye Serikali na Chama (CCM) Historia ya nchi yetu imepata doa ndani ya miaka 4 ya utawala wa JPM hilo halina ubishi. Ama iwe ni kwa bahati mbaya, makusudi au kwa kutojuwa ni DHAHIRI...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar | Rais Magufuli awaapisha Viongozi mbalimbali: Dkt. Abbas kuendelea kuwa Msemaji wa Serikali huku akiwa Katibu wa Wizara ya Habari

    Rais Magufuli anawaapisha leo hii Kamishna Jenerali wa Magereza, Kamishna Jenerali wa Zimamoto, Makatibu wakuu na Makatibu tawala wa mikoa saa 3:30 asubuhi. A. MAKATIBU WAKUU 1. MARY GASPER MAKONDO - kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Kabla ya uteuzi huo Bi...
  5. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Makundi mbalimbali ya Watanzania wanaoichukia serikali ya Rais Magufuli na kwanini wanaichukia...

    Tumeshudia Rais Magufuli akitukanwa kwa sababu zisizo za msingi kabisa,tena wakati mwingine kwa kufanya mambo ya msingi ambayo kama nchi tunayahitaji.Tumeshuaudia pia akibezwa na kudharauliwa.Lakini ni akina nani hasa wanahusika na vitendo hivi ambavyo si vya kiungwana kabisa, vyenye nia ovu ya...
  6. Mystery

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Rais Magufuli kila anapomtumbua waziri wa mambo ya ndani, hataji sababu kuu kuwa ni kutokana na Kuzorota kwa Usalama wa Raia?

    Tulimsikia Rais Magufuli wakati anamtumbua waziri wa zamani wa mambo ya ndani, Mwigulu Nchemba, akitaja sababu kuu ni kutokana na mkataba wa Lugumi, ambao kwa madai yake ulikuwa na ufisadi mkubwa Tumemsikia tena majuzi, wakati akimtumbua Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, akitaja sababu...
  7. technically

    JamiiForums Tanzania Makonda anawajibishwa kwa Makosa ya Magufuli why?

    Hakuna mtu mwenye ubavu wa kufanya jamba analochukia bosi wake na akabaki salama makosa yote yaliyotajwa na Marekani ni makosa yanayoungwa mkono na rais wetu so wakuwajibika hapa ni Makonda au Magufuli? tuache unafiki anayetakiwa kuwekewa vikwazo ni Magufuli.
  8. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Magufuli chaguo la Mungu hayupo anayeweza kumwandama yeye na Serikali yake akabaki salama! Marekani wanajua thamani yake ndio maana hawamgusi

    Alijua athari ya kujipendekeza kwa Mabeberu nini kingetokea Jiulize kwa mfano wanasema wanamwekea Vikwazo asisafiri yeye Magufuli kwenda Marekani Dunia ingewashangaa Magufuli ukiangalia Safari yake ya kisiasa ni hatua ambazo mwenyezi Mungu alimpangia azipite na mpaka kusudio LA Mungu...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Magufuli stuka wanaokuzunguka wanakuharibia angalia sura zao unapoongea nao ikulu ni Kama wanasema hili nalo Bora liondoke.

    Mh magufuli stuka comrade wote wanaokuzunguka sidhani Kama wanakutakia mema. Ukitaka kuamini angalia mkanda wa video Mara mbilimbili utagundua sura zao zinaongea yaliyoko mioyoni mwao. Stuka mzee chombo kinaenda mrama wao wanajua utalinywa mwenyewe wao hawatahusika. Mjumbe hauwawi.
  10. G Sam

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli huoni aibu? Mbunge anapigwa risasi hadharani mchana kweupe na hakuna chochote kilichofanyika!

    Hivi jamani hata aibu watu hawaoni? Mbunge anapigwa risasi hadharani tena mchana kweupe na hakuna chochote kinachofanyika kutoka serikalini zaidi ya kuendelea kumuumiza! Tunaenda kwenye ibada kufanya nini! Tena mbaya zaidi na baadhi ya viongozi wa dini wanafumbia macho ukiukwaji huu mkubwa wa...
  11. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Waziri wa mambo ya nje ya Marekani anamkuta Paul Makonda na hatia ya kuua watu! Kwanini anakumbatiwa sana na Rais Magufuli?

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani ambaye kimsingi ni moja ya viongozi wanaoheshimika sana duniani anaitangazia dunia kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda anadhulumu haki ya mtu kuishi ( Anaua watu) na dunia nzima inasambaza habari hizo. Ukija hapa Tanzania utaambiwa na...
  12. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Umaarufu wa Tundu Lissu umezimwa ghafla na Zito kabwe Tayari ZITO amempiku. rasimi TUNDU LISU Tayari 2020 October Magufuli vs Zito CHADEMA out.

    Hata wabunge hawataki kuisoma hii michezo lakini baada ya TISS kuona ugumu wa Tundu Lissu kuhamia ACT kwa maana ya kuimaliza CHADEMA Plan B ikapangwa nayo ni kuupaisha umaarufu wa ZITO kwa gharama yeyote hili tayari limewezekana. Baada ya BUNGE kuvunjwa Wabunge kadhaa na madiwani wa CHADEMA...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Marekani yaipongeza serikali ya Rais Magufuli, yatoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi kwa JWTZ

    Serikali ya Marekani inayoongozwa na Rais Donald Trump imefurahishwa na utendaji wa serikali ya awamu ya 5 na imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi. Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja na magari ya kisasa ya kijeshi. Sherehe ya makabidhiano imefanyika katika viwanja vya kambi ya jeshi...
  14. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani: Tumetiwa moyo na hakikisho la Rais Magufuli kwamba uchaguzi mkuu 2020 utakuwa huru, wa haki na wenye uwazi

    Tamko hili ni kama agizo juu ya kauli aliyotoa Rais Magufuli juu ya uchaguzi mkuu wa 2020. Hilo suala la Tume huru ya uchaguzi halijaingizwa hapo kwa bahati mbaya bali linaonyesha lina kusudio maalumu. Haya US wamepiga kulia huku kushoto WB wametwanga kivingine. Hakika mwaka huu kuna makubwa...
  15. Full 8

    JamiiForums Tanzania Nenda Lugola, Bodaboda watakukumbuka

    Duniani kila kitu kina pande mbili, wema na ubaya, mbele na nyuma bila kusahau juu na chini. Siko hapa kuongelea mabaya ya Kangi Lugola maana atayaongelea mwingine. Mimi naongelea jambo moja tu ambalo ni miongoni mwa mazuri mengi aliyoyafanya katika kipindi kifupi cha uongozi wake. Bodaboda...
  16. Interest

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe asubiriwa na Bunge kueleza lengo la barua yake Benki ya Dunia kuzuia mkopo wa kuboresha Elimu (SEQUIP)

    Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai amesema kama kulikuwa na tatizo la kisera, ni mambo ya kujadiliwa bungeni. Sio mara ya kwanza kutokea sera zikawa na udhaifu au zinahitaji maboresho. Anasema Zitto alipaswa awasilishe maoni yake na mapendekezo kuhusu ubovu wa sera ya elimu kisha litazamwe. Ndio...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli ndiye Mwenyekiti bora kabisa wa chama cha siasa barani Afrika. Bila juhudi zake CCM ingekuwa kama KANU

    Mtafiti wa masuala ya siasa za Afrika nchini Kenya ndugu Jonathan Otieno amesema Rais Magufuli ndiye mwenyekiti bora na aliyeleta mabadiliko makubwa kwenye chama chake ukilinganisha na wenyeviti wengine barani Afrika. Otieno amesema ni juhudi binafsi za Dr Magufuli zilizorudisha uhai kwenye...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumtumieni Rais Magufuli vizuri, Akiondoka tutamkumbuka sana

    Najua kuna watu ambao hawataelewa ninachotaka kusema ila wacha niseme tu. Tangu wamau ya kwanza watu wamekuwa wakisubiri tu siku watakapopata kiongozi bora atakayeleta neema.Enzi za baba wa taifa watu hawakumtumia vizuri alipoondoka akaja Mzee ruksa akafanya yake naye watu hawakumtumia vizuri...
  19. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Benki ya Dunia wanatoa pesa wakijua Tanzania tuna msimamo gani na tunafanya nini, wapiga kelele wapuuzwe

    Rais Magufuli akiwa katika hafla ya kuwaapisha mawaziri na mabalozi Ikulu leo, amesema kwamba kuna mambo mengi yamezungumzwa na tuyapuuzie. Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia alikuja hapa, mwaka jana, kwahiyo wanatoa pesa wakijua sisi Tanzania tuna misimamo gani na tunafanya nini, hao wengine ni...
  20. technically

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli mpaka anakosa pesa ya elimu bure?

    Makusanyo ya trion 1.3 unakosa bil 12 kwa mwezi!? Hata kama ingekuwa bil 50 kwa mwezi unapeleka tu. Yaani unaenda kukopa trion 1.2 wakati unakusanya mkapa zaidi ya 1.5 kwa mwezi? Hiyo pesa itarudi vipi wakati wanafunzi unaosomesha hawaingii kwenye soko la ajira? kwanini wasijisomeshe kwa...
Back
Top Bottom