magufuli

  1. Replica

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nyehunge: Dkt. Magufuli amuamrisha Mfugale atangaze ujenzi barabara ya Sengerema-Nyehunge (KM 46) kisha amuulize hela za kujengea

    DKT. Magufuli akiwa anaendelea na kampeni za uchaguzi 2020, amepita kijiji cha Nyehunge akiwa anaelekea Geita ambapo kutoka Sengerema mpaka Nyehunge ni kilomita 46. Alisimama kuongea na wananchi waliokuwa wakimsubiri barabarani, wakati anaielezea barabara hiyo ghafla aliomba simu yake na...
  2. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Ninamuomba Rais Magufuli anidhamini niingie studio kumrekodia wimbo huu mzuri chini kwa ajili yake

    Wimbo maalumu kwa ajili ya kupongeza juhudi za mh.Rais Dr.John Joseph Pombe Magufuli.
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sengerema: Dkt. Magufuli aomba ridhaa kuongoza Muhula wa Pili. Asema wakichagua mwingine anaweza kuuza skrepa vyuma vya kujengea daraja

    Leo Rais Magufuli anaendelea na kampeni mkoani Mwanza na yuko wilaya ya Sengerema, fuatana nami kukujuza yatakayojiri. ====== MAGUFULI: Wananchi wa Sengerema nawashukuru kwa makaribisho mazuri niliyoyapata hapa leo, Sengerema mmefunika, asanteni sana. Nilipopata makaribisho pale barabarani...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli akiwa Misungwi; Nimebaki mimi tu kwa sababu hamnipendi, hamjanipitisha bila kupingwa

    Dkt. Magufuli asubuhi hii amefanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Misungwi jijini Mwanza na kuwataka Watanzania tupendane. Dkt. Magufuli amewasihi wananchi kutobaguana kwa misingi ya chama cha siasa, dini au kabila kwa mustakabali mwema wa taifa letu. Kadhalika Dkt. Magufuli amewataka...
  5. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu 27 za kwanini Magufuli hafai kupewa miaka mingine 5 ya kuwa Rais

    Magufuli kauliza katenda dhambi gani asipewe tena miaka 5. kwanza dhambi kubwa sana ni RAMBIRAMBI za tetemeko, kivuko kwa wahusika ziligeuzwa kuwa mali ya serikali na ikafanya kazi ya serikali huku mfuko wa maafa upo na bajeti yake ilipitishwa. Sasa majibu yake haya hapa: 1. Hajatoa ajira...
  6. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini tuichague CCM na Magufuli kwa miaka mitano tena?

    Na: Giantist McWenceslaus Dodoma Ndugu wanabodi habari zenu. Jioni ya Leo nimeona niwaletee kwenu uzi wenye faida kwenu kwa sasa na kwa vizazi vyenu vya baadaye. Napenda nitangulize utambulisho wangu mdogo kwenu. Jina langu nimeshaliandika hapo juu, mimi ni mwanachama kijana wa chama pendwa...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na Magufuli, mtaondoaje mirundikano ya kesi mahakamani?

    Katika kipindi hiki cha kampeni nimesikia kila mgombea akinadi atakavyoboresha maeneo ya sekta kadhaa ya nchi yetu. Lakini sijasikia mgombea aliyeahidi kuboresha mahakama zetu na ziondokane na misongamano iliyopo kule. Nimeona uhuru wa mahakama ukiongelewa kwa juu juu. Nadhani wanasiasa wote...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uzinduzi wa Kampeni za CUF: Prof. Lipumba asema akishinda Urais atakuwa Rais wa 1 Tanzania kupewa tuzo ya Mo Ibrahim

    Mgombea Urais kupitia CUF, Prof. Ibrahim Lipumba amezindua kampeni za chama hicho Mkoani Mtwara ambapo ameahidi kuboresha Huduma za Afya kwa wajawazito na watoto, kuimarisha Uchumi wa Baharini (Uvuvi), Elimu bora na kuimarisha Soko la Nafaka na Mazao mbalimbali Prof. Lipumba amesema...
  9. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM ya Magufuli wanaweweseka kitu gani ilhali miaka yote 5 nchi ilikuwa yao?

    Kampeni za uchaguzi wa octoba 2020 zinachangamsha sana. Pamoja na CCM na serikali ya Magufuli kuzuia na kupiga marufuku mikutano ya upinzani tangia 2016 ili kufifisha nguvu ya upinzani mambo ni kinyume kabisa. CCM na jiwe kwa akili za kitoto walifikiri wakifanya hivo uchaguzi wa 2020 watarudi...
  10. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Unajua ni kwanini Tundu Lissu anamshinda Dkt. Magufuli?

    Kuna wakati hua nafuatilia mijadala hasa kwa jamaa zangu wa CCM wanavyojigamba kwa sababu tu hawafikirii sawa sawa. Matumaini makubwa kwao kua CCM inaendelea kutawala kwa sababu wapiga kura wengi wako vijijini, wewee nani kakudanganya wapiga kura wengi wako vijijini? TWENDE NA HESABU HII...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya Kimataifa: Rais Magufuli amefungua balozi mpya katika nchi 8 ikiwemo Israel, Mungu ambariki sana!

    Kwa ufupi kabisa kwa wale CHADEMA pamoja na Tundu Lisu mnaodai Rais Magufuli amefifisha mahusiano na dunia nataka niwakumbushe tu Rais Magufuli amefungua balozi katika nchi nane duniani ikiwemo Israel. Tunapokosoa jambo tuwe tunaweka na uhalisia wa ukosoaji siyo kukurupuka. Hata Ethiopia...
  12. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Hatimaye amepanda, Magufuli amvulia kofia Diamond Platnumz

    Rais Magufuli aliamua kumvulia na kumvisha kofia yake Diamond Platnumz simbaaa baada ya performance yake katika uwanja wa ccm kirumba jijini mwanza. Ila kijana wetu anaadabuu, mara baada ya kuitwa jukwaa kuu alienda anakimbia 🤣🤣🤣 Diamond platnumz simbaaa baba lao rais halali wa muziki Tanzania.
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

    Leo mgombea wa Urais kupitia chama cha mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli yupo jijini Mwanza baada ya kuwasili jana ambapo yeye na chama chake wanatarajia kuzindua kampeni zao jijini humo kwenye uwanja wa CCM Kirumba kuomba ridhaa ya wananchi kuendelea kuongoza serikali. Mwaka 2015, Dkt...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli kama utafanikiwa kurejea tena Madarakani 2020 - 2025, ufanye Mtandao huu wa JamiiForums kama ndiyo Mshauri wako Mkuu

    Mpaka hivi leo huku Kampeni zikiwa hata bado tu hazijafikia Nusu yake (achilia mbali Robo yake) na kwa hali ambayo nimeanza Kuiona ni rasmi sasa kwamba kama Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli angekuwa anapenda Kusoma ama Mada au Michango ya wana JamiiForums hapa (tena inayomkosoa) zaidi nina uhakika...
  15. Abdul Mohammed

    JamiiForums Tanzania GE2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

    Mbeya leo asubuhi alipokuwa anaenda Mbarali Wananchi walizuia msafara wake na kumwambia wanataka mabadiliko na mtu wa kuyaleta mabadiliko ni Lowassa.
  16. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwanza: Shule zasitisha masomo, Wanafunzi waambiwa wakampokee na kumsikiliza Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli Uwanja wa CCM Kirumba

    Katika hali isiyo ya kawaida Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela amesitisha kufunguliwa kwa shule zote hapo kesho ili waalimu na wanafunzi washiriki kampeni za chama Cha CCM. Hali hiyo imesababishwa na chama hicho kukosa ushawishi wa watu kuhudhuria mikutano yake bila kulazimishwa na hali...
  17. kagoshima

    JamiiForums Tanzania GE2020 Inakuwaje Magufuli anatupangia tumchague nani na nani tusimchague?

    Hii ni zamu yetu wananchi kuamua nani tumchague na nani tusimchague kwenda kutuwakilisha. Maajabu sasa huyu Rais anayemaliza muda wake amesikika akiongea kwa jazba kuwaamrisha wananchi nani wamchague. Hii si sawa maana legitimacy ya uongozi ni baada ya approval ya wenye nchi. Hivi kumbe siye...
  18. chakii

    JamiiForums Tanzania GE2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

    Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla kumzungumzia Mgombea wa Urais wa CCM, Dkt. Magufuli badala ya kuendelea na malumbano yake yanayohusu mpira dhidi ya Mmiliki wa Simba SC, Mohammed Dewji. Dkt. Bashiru amaema“Naona Hamis Kigwangalla...
  19. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Asilimia 100 ya tabaka lililojichokeaga awamu zote, ambalo awamu ya tano linaogopwa na wenye pesa, watampa kura zote Rais John Pombe Magufuli

    ASILIMIA 100 YA TABAKA LILILOJICHOKEAGA AWAMU ZOTE,AMBALO AWAMU YA TANO LINAOGOPWA NA WENYE PESA, WATAMPA KURA ZOTE RAIS JOHN POMBE MAGUFULI. Leo 14:45hrs 06/09/2020 Tabaka la watu wanyonge wasio na chochote cha kujisifu nacho mbele za watu ambalo awamu zote limejichokeaga tu sema safari hii...
  20. Makala josee

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli ni kweli anajua maana ya kunadi sera?

    Inasikitisha katika nyakati kama hizi za Demokrasia komavu kukutana na hoja dhaifu au za ajabu Akiwa Lindi mgombea wa chama cha mapinduzi kwa nafasi ya Urais ndugu John Magufuli ambae kwa mujibu wa sheria ni Rais hadi hivi sasa, amenukuliwa akitishia Wananchi kutokuwapelekea Maendeleo kwa...
Back
Top Bottom