magufuli

  1. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli, Oktoba atavuna alichopanda

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Kiswahili lugha ya mama zetu iliyo shehenishwa na semi mbalimbali, ama kwa hakika ni kitamu kweli kweli. Hujafa hujaumbika, utavuna ulichopanda, usitukane wakunga, usiwatukane mamba, nk nk ni baadhi ya semi hizo ambazo kwa hakika...
  2. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi Rais Magufuli kuwaahidi nafasi za uteuzi akina Andrew Chenge, siyo kutonesha kidonda kwa mamilioni ya vijana wasiokuwa na Ajira?

    Tulimsikia alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni, huko Bariadi akimuahidi Mzee Andrew Chenge, ambaye alishinda kura za maoni jimboni kwake, kuwa atampa nafasi "nzuri" ya uteuzi, miongoni ya nafasi zake nyingi za uteuzi, kwa sharti tu la kumuunga mkono mgombea "wao" wa vikao vya juu vya Central...
  3. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA yaahidi kumtunza Dkt. Magufuli kama Rais Mstaafu

    17 September 2020 CHADEMA YAAHIDI KUMTUNZA RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KAMA RAIS MSTAAFU WA 5 Chama kikuu cha upinzani Tanzania, Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimeahidi kumtunza kwa vyema Rais John Pombe Joseph Magufuli kwa heshima zote baada ya uchaguzi kuisha Oktoba 2020...
  4. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Mtu aliyethubutu kumpinga Dkt. Mpango siwezi kumteua nafasi yoyote

    Rais amesema anashangaa sana kuona mtu anajitokeza kumpinga Dkt. Mpango, kwani kwa namna Dkt. Mpango alivyosimamia uchumi vizuri, hakupaswa kupingwa na mtu yeyote. Cha ajabu ni kwamba, muda mfupi kabla ya kusema hayo mheshimiwa alisifia ukomavu wa demokrasia ndani ya CCM.
  5. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha Rais Magufuli katika Diplomasia na Uhusiano wa Kimataifa

    Raisi Magufuli awashangaa wanaodhani kujenga diplomasia ya mahusiano ya kimataifa ni kufanya safari za kwenda ulaya!! Raisi Magufuli atema cheche asema asema ana mialiko ila hataenda atatuma balozi yeye anajenga nchi Ninakubaliana naye Uingereza na Marekani wana mahusiano mazuri sana na nchi...
  6. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu zinazofanya Magufuli apendwe na Watanzania wengi

    Habari ndugu zangu wana JamiiForums. Katika uzi huu nitaelezea sababu zinazofanya Magufuli apendwe na watanzania wengi zaidi. Mimi mwenyewe binafsi najikuta sana navutiwa na mwanasiasa mchapakazi Dkt Magufuli kama ilivyo kwa watanzania wengine hili hata wanasiasa wa vyama upinzani wanalijua na...
  7. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tulimjaribu Magufuli na CCM yake miaka mitano - Tumeangukia pua sasa tunaijaribu CHADEMA - CCM tulieni

    Tume waacheni CCM waangalie hali yao na sio mnawabeba,mnajua wananchi kwa kigezo cha uchaguzi walimchagua Magufuli fundi wa barabara mjenzi mahiri miaka mitano ya Uraisi kuwaongoza wa Tanzania inamalizika mwezi ujao,kwa kweli hakuna maendeleo na hela mfukoni imekimbia au imezidi kukimbia. Kama...
  8. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Nimejiridhisha: Wana-Kagera ni 'nshomile' kweli. Waliyoyaamua dhidi ya Dkt. Magufuli mioyoni mwao ni mazito!

    Niko ndani ya mkoa wa Kagera kwa siku tatu sasa. Nimekuwa katika tafiti 'fit' za kikampeni. Nimefuatilia pia mikutano yote ya kampeni ya mgombea wetu wa Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli Nimeingia na 'site' mbalimbali hapa Kagera. Wana-Kagera nimewakubali. Wamenidhihirishia kuwa wao wamesoma...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli: Wasanii ni watu muhimu

    Mgombea urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema sekta ya usanii na michezo imekuwa ya tatu katika kukuza uchumi wa nchi. Amesema kuna watu wanawadhihaki au kuwadharau wasanii lakini wasanii ni watu muhimu katika kuelimisha jamii...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Fact Checking: Rais Magufuli hukumteua Masilingi kuwa Balozi Marekani baada ya kumaliza Ubunge wa Muleba

    Kwenye kinyang'anyiro cha Uchaguzi wa mwaka huu wa 2020, Rais Magufuli alipopita katika mkoa wa Kagera wilayani Muleba, aliwaambia wananchi wa wilaya hiyo kuwa anafahamiana sana na mheshimiwa Masilingi na kwamba yeye ndiye aliyemteua Masilingi kuwa Balozi Marekani baada ya Ubunge wake huko...
  11. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ununuzi wa ndege na ujenzi wa Chato Airport ni kashfa inayomtesa Magufuli?

    Sio siri tena, hoja ya matumizi ya pesa za serikali ili kununua ndege na ujenzi wa kiwanja kikubwa cha ndege tena cha kisasa katika kijiji cha Chato wilayani Geita ndio inarindima zaidi kwenye majukwaa ya kampeni za Urais za CCM kwenye huu uchaguzi mkuu wa 2020. Karibu kila mahali Rais...
  12. Mackanackyyy

    JamiiForums Tanzania Mjulisheni Magufuli, siasa za kupambana na dunia anazozijaribu hapa zimeshindikana Zimbabwe

    Zimbabwe wamesalimu amri rasmi, sasa wanarudisha mashamba ya Wazungu waliyoyanyang'anya Miaka 20 iliyopita. So Mjulisheni Magufuli kuwa anachokijaribu hapa wenzake wamekijaribu na kimewashinda, mjulisheni maana haya mambo ya Kimataifa huwa yanampita hana habari; Kabudi naye yupo kakodoa Macho...
  13. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania GE2020 Namshauri mgombea wangu wa Urais CCM, Dkt. Magufuli aache kufanya kazi ya kumjibu Tundu Lissu, ni kazi ya kina Polepole

    Mimi nawashangaa sana hasa vijana wa CCM tuliokaa kimya tukimwacha mgombea wetu anajibizana na mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu. Hivi tunaelewa maana ya hili? Mnaelewa mitego anayotengeneza Tundu Lissu? Vijana wenzangu wa CCM tuache kutanguliza maslahi mbele, tumsaidie Rais na mgombea wetu...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tusipomchagua Rais Magufuli tutalaaniwa milele na vizazi vyetu. Wapinzani wasiwadanganye

    Kipindi cha ugonjwa hatari wa corona ambao ulitikisa ulimwengu na mataifa makubwa kama China, America, Uingeleza,nk Rais wetu mpendwa Magufuli alituonyesha njia kuwa njia ya pekee kutuponya na gonjwa hili ni kumwomba Mungu muumba wa mbingu na nchi,kutubu na kuombolezea dhambi zetu na...
  15. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Biharamulo, Kagera

    Hii hapa live Dkt. Magufuli akiwa Biharamulo akitokea Kagera alikomaliza kampeni muda si mrefu. Live hii hapa
  16. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli asema Serikali imejipanga kulifanya eneo la Kanda ya Ziwa kuwa eneo la utalii mkubwa na aeleza kuwa utalii utainua hiyo Kanda kiuchumi

    Dr Magufuli asema serikali imejipanga kulifanya eneo la Kanda ya Ziwa kuwa eneo la utalii mkubwa kama ilivyo Kilimanjaro na Arusha na aeleza kuwa utalii utainua hiyo kanda kiuchumi. Wale mliokuwa mkibeza uanzishaji mbuga za wanyama Mwanza, Kagera na Geita na ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa CCM Dokta Magufuli na yeye sasa amebadilisha gia angani

    Amepata kusikika kila mara kila wakati akisema kuwa maendeleo hayana chama, umekuwa wimbo wake na korasi yake lakini ghafla bin vuu amebadilika juu kwa juu na kusema kama katika tochi ya betrii 3 katikati au pembeni mkiweka gunzi la muhindi imekula kwenu, tochi haita waka na yeye awashi...
  18. The suspender

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

    MGOMBEA Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt John Pombe Magufuli, leo Septemba 16, 2020 ameendelea kupiga kampeni, ambapo baada ya kumaliza wilayani Chato, mkoani Geita, Muleba leo yupo Bukoba Mjini mkoani Kagera Uwanja wa Gymkana. MGOMBEA Ubunge jimbo la Bukoba Mjini Stephen Byabato amewaomba...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Magufuli anacheza na akili za wasanii

    Hiv karibuni tuliona Dkt. Magufuli akitoa kofia yake na kumpa Diamond huko Mwanza. Baada ya kupita siku kadhaa tukaona pia akatoa kofia yake akampa Harmonize. Leo hii nimeona Alikiba anaperform Bukoba kwenye kampeni za CCM usije ukashangaa pia nae atapewa kofia baada ya wasanii wenzake kupewa...
  20. Mystery

    JamiiForums Tanzania Alikosea kwa kuamini kuwa angeweza kuumaliza upinzani kwa kutumia Vyombo vya Dola badala ya kutumia nguvu ya hoja

    Rais Magufuli alianza kutekeleza azma yake hiyo kwa kutangaza hadharani kule Singida, katika sherehe za kuadhimisha kuzaliwa kwa chama chake cha CCM, hapo Februari 5, mwaka 2016, kuwa ndani ya utawala wake, atahakikisha vyama vya upinzani vinakufa ifikapo mwaka huu wa 2020! Utekelezaji wa azma...
Back
Top Bottom