Yaani nipo hapa najiuliza sipati jibu ni mwananchi wa fani/aina gani atampa kura Magufuli mwaka huu.
Maana kama;-
WAFANYA BIASHARA.
Hawa wamenyanyaswa sana ndani ya miaka 5 hii iliyoisha, refer msoto wa Manji alioupitia toka Magufuli aingie madarakani na wafanya biashara wengine kedekede...
Tumekuwa na Rais mjanja sana. Jana akiwa singida alitaja miradi mingi ya 2013-2015 kama sehemu ya mafanikio yake
Sasa ili nirudishe imani kwake angefanya yafuatayo:
1. Atoe orodha ya majina ya vituo vya afya 487 alivyojenga nchi hii
2. Sekta na mgawanyo wa ajira 6M
3. Barabara na urefu wake...
Kila anapopita, hujieleza. Tena ni mambo yaleyale aliyoyahubiri na kuyatajataja kwa miaka yake yote mitano madarakani: ujenzi wa reli, ujenzi wa bwawa la umeme, barabara, zahanati, madaraja na kufuta ada za shule za msingi hadi kidato cha nne. Hana jipya katika sera zake. Hana mipango mipya...
Wanabodi,
Kampuni ya Mafuta ya Total, imempongeza Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli, na serikali yake ya awamu ya tano, kwa kujenga mazingira wezeshi ya biashara, na uwekezaji, yanayovutia wawekezaji wa kimataifa kuleta mitaji ya uwekezaji nchini na kuwawezesha Watanzania kupatiwa fursa za...
Kampeni zinaendelea na leo Chama cha ACT-Wazalendo wanazindua kampeni zao Lindi, wagombea wote kwa upande wa Jamhuri na Zanzibar wameshawasili uwanjani na kwa sasa kikundi cha burudani kutoka Lindi kinatoa burudani ya utangulizi. Tuwe pamoja kujuzana yatakayojiri.
=====
Maalim Seif: Nasema...
Leo Magufuli aliweka kituo kidogo Ikungi wakati anatoka Dodoma ambapo wananchi walisimama barabarani kumsubiri akiwa anaelekea kwenye mkutano wa kampeni Singida. Pamoja na ahadi nyingine pomoni, pia amemuahidi mgombea mwenzake anaetokea Singida nafasi ndogo ya kazi kwa madai kwamba hii...
Mgombea urais wa JMT kupitia CCM, Dr. Magufuli leo anaendelea na mikutano yake ya kampeni katika jimbo la Bahi.
Watu ni wengi sana na mkutano huu utarushwa mubashara na TBC na Channel Ten.
========
3:00 Asubuhi: Maombi ya kufungua mkutano kutoka kwa viongozi wa dini
Sikutegemea kama...
Mimi huwa mara zote napenda kusema ukweli. Niwe kazini, barabarani au nyumbani ukweli ndio ngao yangu.
Kwa hakika Mimi sitamchagua Magufuli wala mwana CCM yeyote kwa ngazi yoyote ile katika uchaguzi huu.
Ila kwa hali inavyoonekana Magufuli atashinda tena kwa kura za ndio. Hii imesababishwa na...
Leo katika uzidunzi wa ilani ya ACT-Wazalendo nimemsikia Zitto akitaja mambo zaidi ya kumi ambayo CCM waliahidi kwenye ilani yao na hawakutekeleza hata kidogo, na sio tu kutekeleza bali hata kuanza japo kwa hatua za awali hawakufanya.
Nimekua najiuliza huku kusifusifu kulikovuka mipaka...
Naona wote wanapiga tu chenga watuambie sisi vijana tunapataje ajira au tunajiajirije wakati mikopo kwa ujasiriamali kupata vigezo ni vingi pia riba kubwa
Watuambie wananchi wa kipato cha chini wanaishije, watuambie kuhusu afya na mazingira rafiki ya kibiashara yako wapi.
Si kutupa shuhuda za...
Ni wape siri moja kati ya Magufuli na Makonda dhambi inayowatafuna watu wawili hawa?
Kifupi nikua alietegemewa kufaa Bwana Mungu wetu hakutaka afe na wingi wa risasi kama cheche za welding lakini Mungu hakutaka afe.
Na tu kumbuka yakua kilichomuokoa Tundu Lissu sio huduma za madaktari wazuri...
Hakuna mashaka yoyote kuwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, mchuano mkali sana wa kinyang'anyiro hicho cha urais utakuwa baina ya vyama viwili ambavyo ni CCM na CHADEMA.
Kwa maana hiyo ni lazima sisi wananchi tufuatilie kwa makini sana, kwa wagombea wa Urais wa vyama hivyo viwili vikuu, pale...
Hizi hasira za upinzani za kuhisi wanaonewa ni hofu inayowaumiza kisaikolojia juu ya kupuuzwa na Watanzania
Kabla ya Rais Magufuli,Wanaccm walikuwa wanaona aibu kuvaa nguo za chama,na kuna Sehemu walikuwa wakitupiwa makopo wakikatiza mtaani
Wanaccm walificha sare zao ndani kutokana na masuala...
Rais kama ni ushindi wa kishindo umepata, tunayajua haya kwa kuwa tuna bwana anayetupa majibu. Rais kilio changu ni kufukuzwa kazi bila kufuatwa kwa utaratibu wala kuhojiwa achilia mbali nilikuwa naumwa na taarifa nilitoa, sikukaa kimya niliandika barua Tamisemi kwa George Mkuchika wakati huo...
Wakala wa usafiri wa Mchi kavu yaani The Land Transport Regulatory Authority (LATRA) ilianzishwa na sheria ya bunge t No. 3 of 2019. zamani tukiita SUMATRA.
Gilliard W. Ngewe ndiye mkurugenzi mkuu wa LATRA, na makao makuu yapo
LATRA Head Office,SUMATRA House,
Nkrumah Street , Box 3093...
Ama kweli Rias Magufuli ana kiburi.
Haiingii akilini anakuja na mipango ambayo kwa namna moja ama nyingine, kwa kiongozi wa nchi ni mipango ya upande mmoja. Alishindwa kuweka mzani wa alipotoka na vitu vyake vs watu aliowaongoza ili ajue afanye nini. Kushindwa kufanya hivyo ni tafsiri kuwa...
1. MAGUFULI anayeng'ata na kupuliza. Anakwambia maendeleo Hayana chama huku anakashifu wananchi wa majimbo ya Upinzani wakimhoji.
2. Lissu ni mpambania ukweli na haki za watu hata kwa kuweka rehani Maisha yake.
3. Magufuli anasiasa za kuwafanya watu wote Kama wajinga, watoto. Ahadi hewa za...
Katika kufungua kampeni jana nimemshuhudia mgombea kupitia CCM John Pombe Magufuli akiwa mtulivu na mnyenyekevu sana.Pia kwa mara ya kwanza kwa muda wote wa hotuba yake alikuwa akitumia “tuaomba miaka mitano tena” na sio naomba miaka mitano tena (ameondoa u mimi ambao amekuwa akiiutumia kwa...
Tumia jicho lako la tatu kutueleza utofauti wa hawa viongozi wawili wenye ushawishi mkubwa kwenye uchaguzi mkuu wa 2020.
Baada ya kumalizika kwa kampeni za leo kwa wagombea wote wawili mmoja akiwa Dodoma na mmoja akiwa Dar es salaam wote waliandike jumbe kwenye kurasa zao za Twitter.
Kwa kauli...
Sio kila mtanzania ni CCM. Watanzania wasio na vyama bi wengi kuliko Wana CCM au wenye vyama vingine.
Kutulazimisha wote kumpitisha mbunge ambae hatujampigia kura sababu Tu ya kumuondoa mpinzani wake Kwa hila ni kutudharau na kutotuheshimu sisi ambao sio wananchama wa wa vyama.
Kutunyima haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.