magufuli

  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania yampongeza Rais Magufuli na kuipongeza Tanzania, kujenga mazingira bora ya biashara ya Mafuta, Uwekezaji

    Wanabodi, Kampuni ya Mafuta ya Total, imempongeza Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli, na serikali yake ya awamu ya tano, kwa kujenga mazingira wezeshi ya biashara, na uwekezaji, yanayovutia wawekezaji wa kimataifa kuleta mitaji ya uwekezaji nchini na kuwawezesha Watanzania kupatiwa fursa za...
  2. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutoka Lindi: Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo

    Kampeni zinaendelea na leo Chama cha ACT-Wazalendo wanazindua kampeni zao Lindi, wagombea wote kwa upande wa Jamhuri na Zanzibar wameshawasili uwanjani na kwa sasa kikundi cha burudani kutoka Lindi kinatoa burudani ya utangulizi. Tuwe pamoja kujuzana yatakayojiri. ===== Maalim Seif: Nasema...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ikungi: Magufuli amuahidi Lissu kazi, amuambia aachane na Urais ambao hatashinda

    Leo Magufuli aliweka kituo kidogo Ikungi wakati anatoka Dodoma ambapo wananchi walisimama barabarani kumsubiri akiwa anaelekea kwenye mkutano wa kampeni Singida. Pamoja na ahadi nyingine pomoni, pia amemuahidi mgombea mwenzake anaetokea Singida nafasi ndogo ya kazi kwa madai kwamba hii...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni Bahi: Dkt. Magufuli asema miaka mitano ilikuwa ni onjaonja, hiyo yenyewe ndio inakuja

    Mgombea urais wa JMT kupitia CCM, Dr. Magufuli leo anaendelea na mikutano yake ya kampeni katika jimbo la Bahi. Watu ni wengi sana na mkutano huu utarushwa mubashara na TBC na Channel Ten. ======== 3:00 Asubuhi: Maombi ya kufungua mkutano kutoka kwa viongozi wa dini Sikutegemea kama...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sioni dalili za Dkt. Magufuli kushindwa kutetetea kiti chake cha Urais uchaguzi wa Oktoba, nimevunjika moyo kama mtumishi wa umma

    Mimi huwa mara zote napenda kusema ukweli. Niwe kazini, barabarani au nyumbani ukweli ndio ngao yangu. Kwa hakika Mimi sitamchagua Magufuli wala mwana CCM yeyote kwa ngazi yoyote ile katika uchaguzi huu. Ila kwa hali inavyoonekana Magufuli atashinda tena kwa kura za ndio. Hii imesababishwa na...
  6. Jelavic

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM imetekeleza ilani yake kwa 31% tu, mambo mengi ni nje ya ilani. Je, Rais Magufuli alitumwa na nani?

    Leo katika uzidunzi wa ilani ya ACT-Wazalendo nimemsikia Zitto akitaja mambo zaidi ya kumi ambayo CCM waliahidi kwenye ilani yao na hawakutekeleza hata kidogo, na sio tu kutekeleza bali hata kuanza japo kwa hatua za awali hawakufanya. Nimekua najiuliza huku kusifusifu kulikovuka mipaka...
  7. yuda75

    JamiiForums Tanzania GE2020 Naona wote wanapiga tu chenga, watuambie sisi vijana tunapataje ajira au tunajiajirije

    Naona wote wanapiga tu chenga watuambie sisi vijana tunapataje ajira au tunajiajirije wakati mikopo kwa ujasiriamali kupata vigezo ni vingi pia riba kubwa Watuambie wananchi wa kipato cha chini wanaishije, watuambie kuhusu afya na mazingira rafiki ya kibiashara yako wapi. Si kutupa shuhuda za...
  8. Kakke

    JamiiForums Tanzania Je, ni yupi mcha Mungu kati ya Magufuli na aliyejitolea kufa kwa ajili yetu, Lissu?

    Ni wape siri moja kati ya Magufuli na Makonda dhambi inayowatafuna watu wawili hawa? Kifupi nikua alietegemewa kufaa Bwana Mungu wetu hakutaka afe na wingi wa risasi kama cheche za welding lakini Mungu hakutaka afe. Na tu kumbuka yakua kilichomuokoa Tundu Lissu sio huduma za madaktari wazuri...
  9. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hebu tutafakari sera zinavyonadiwa na mgombea wa CCM John Magufuli na yule wa CHADEMA Tundu Lissu

    Hakuna mashaka yoyote kuwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, mchuano mkali sana wa kinyang'anyiro hicho cha urais utakuwa baina ya vyama viwili ambavyo ni CCM na CHADEMA. Kwa maana hiyo ni lazima sisi wananchi tufuatilie kwa makini sana, kwa wagombea wa Urais wa vyama hivyo viwili vikuu, pale...
  10. Kawe Alumni

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Upinzani ni CCM kuwa imara tena chini ya Mzalendo Mwenyekiti Magufuli

    Hizi hasira za upinzani za kuhisi wanaonewa ni hofu inayowaumiza kisaikolojia juu ya kupuuzwa na Watanzania Kabla ya Rais Magufuli,Wanaccm walikuwa wanaona aibu kuvaa nguo za chama,na kuna Sehemu walikuwa wakitupiwa makopo wakikatiza mtaani Wanaccm walificha sare zao ndani kutokana na masuala...
  11. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Barua ya pili kwa Rais Dkt. Magufuli baada ya barua ya awali kutotoa matunda, vyombo husika naomba mfikishe

    Rais kama ni ushindi wa kishindo umepata, tunayajua haya kwa kuwa tuna bwana anayetupa majibu. Rais kilio changu ni kufukuzwa kazi bila kufuatwa kwa utaratibu wala kuhojiwa achilia mbali nilikuwa naumwa na taarifa nilitoa, sikukaa kimya niliandika barua Tamisemi kwa George Mkuchika wakati huo...
  12. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania LATRA/SUMATRA wanakaa ofisini na kuacha wamiliki mabasi kujipangia nauli watakavyo

    Wakala wa usafiri wa Mchi kavu yaani The Land Transport Regulatory Authority (LATRA) ilianzishwa na sheria ya bunge t No. 3 of 2019. zamani tukiita SUMATRA. Gilliard W. Ngewe ndiye mkurugenzi mkuu wa LATRA, na makao makuu yapo LATRA Head Office,SUMATRA House, Nkrumah Street , Box 3093...
  13. G Sam

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli haikuwa hotuba ya Mgombea Urais, ilikuwa Hotuba ya Mgombea Uwaziri wa Miundombinu. Imekosa mvuto mpaka mwisho

    Ama kweli Rias Magufuli ana kiburi. Haiingii akilini anakuja na mipango ambayo kwa namna moja ama nyingine, kwa kiongozi wa nchi ni mipango ya upande mmoja. Alishindwa kuweka mzani wa alipotoka na vitu vyake vs watu aliowaongoza ili ajue afanye nini. Kushindwa kufanya hivyo ni tafsiri kuwa...
  14. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni Tndu Lissu na si Magufuli?

    1. MAGUFULI anayeng'ata na kupuliza. Anakwambia maendeleo Hayana chama huku anakashifu wananchi wa majimbo ya Upinzani wakimhoji. 2. Lissu ni mpambania ukweli na haki za watu hata kwa kuweka rehani Maisha yake. 3. Magufuli anasiasa za kuwafanya watu wote Kama wajinga, watoto. Ahadi hewa za...
  15. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Katika kufungua kampeni jana nimemshuhudia mgombea kupitia CCM John Pombe Magufuli akiwa mtulivu na mnyenyekevu sana

    Katika kufungua kampeni jana nimemshuhudia mgombea kupitia CCM John Pombe Magufuli akiwa mtulivu na mnyenyekevu sana.Pia kwa mara ya kwanza kwa muda wote wa hotuba yake alikuwa akitumia “tuaomba miaka mitano tena” na sio naomba miaka mitano tena (ameondoa u mimi ambao amekuwa akiiutumia kwa...
  16. Dam55

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jicho la tatu: Huu ndio utofauti wa Tundu Lissu na John Magufuli

    Tumia jicho lako la tatu kutueleza utofauti wa hawa viongozi wawili wenye ushawishi mkubwa kwenye uchaguzi mkuu wa 2020. Baada ya kumalizika kwa kampeni za leo kwa wagombea wote wawili mmoja akiwa Dodoma na mmoja akiwa Dar es salaam wote waliandike jumbe kwenye kurasa zao za Twitter. Kwa kauli...
  17. The Boss

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutulazimisha wabunge tusiowachagua: Magufuli haogopi 'karma'?

    Sio kila mtanzania ni CCM. Watanzania wasio na vyama bi wengi kuliko Wana CCM au wenye vyama vingine. Kutulazimisha wote kumpitisha mbunge ambae hatujampigia kura sababu Tu ya kumuondoa mpinzani wake Kwa hila ni kutudharau na kutotuheshimu sisi ambao sio wananchama wa wa vyama. Kutunyima haki...
  18. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa hali hii Urais ni bora tumwachie Magufuli atuvushe tu

    Ndugu wanajamvi za mida hii? Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja, Binafsi kama mtanzania sioni haja ya kupepesa macho wala kuwa mnafiki kwa kile kinachoonekana kwa macho kabisaa, Nimejaribu kufuatilia mwenendo mzima wa harakati za kisiasa za hapa nchini lakini nimegundua kwamba kwa sasa...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri katika Ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) - Uwanja wa Jamhuri, Dodoma (Agosti 29, 2020)

    Leo chama tawala (CCM) kinafungua kampeni zake uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma kuomba ridhaa ya wananchi kurejea kwenye utawala baada ya ngwe ya kwanza ya miaka mitano ya serikali ya awamu ya tano kuisha. Dkt. John Magufuli Rais anayemaliza awamu yake ya kwanza amepewa ridhaa ya chama hicho...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge Njombe Mjini; Emmanuel Masonga amuwekea pingamizi Deodatus Mwanyika baada ya kukiri kosa la jinai

    Emmanuel Masonga(CHADEMA) amuwekea Deodatus Mwanyika(CCM) pingamizi kwa kuwa alikiri na kuhukumiwa kwa Ukwepaji Kodi na akalipa Fidia ya 1.5 Biliona pamoja na Fine ya 1.5 Million. Deodatus Mwanyika mgombea wa ubunge Jimbo la Njombe Mjini
Back
Top Bottom